Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
20 Aug 2025
28 views
VYOTE NDANI GONGA94
Isak anataka kuondoka kwa sababu ya uchungu wa kudanganywa na Newcastle.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Newcastle nao walimdanganya Isak ili wamfanye asalie klabuni hapo lakini kwa bahati mbaya, Isak alishtukizia hilo mapema na sasa kaweka wazi kuwa hatochezea Newcastle tena.
Kinachosubiriwa ni Isak aseme tu ni ahadi gani hizo alizokuwa amepewa na Newcastle๐คฃ
Klabu inataka kumtumia Isak kuwapa matokeo mazuri msimu huu ila haipo tayari kufanya kile walichokubaliana na nyota huyo.
Mbaya zaidi ni kuwa Isak huenda akakosa nafasi ya kujiunga na Liverpool kwa sababu ya Newcastle kugoma kuingia kwenye mazungumzo ya kuhusus Isak na Liverpool.
Mbona hivi visa vya mfarakano kati ya klabu na wachezaji vimeongezeka sana siku hizi??
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AFISA Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Karim Boimanda ametoa sababu za mchezo wa Dabi ya Kariakoo
utakaopigwa Machi 01, 2026 kuhamishiwa katika uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar badala ya Benjamin Mkapa kama ilivy...
*DAKTARI WA JESHI SI UNGENIOMBA TUU* *1-5* Kuna wakati kwenye maisha hatuwezi kabisa kuamua hatma zetu, nadhan ni kwa sababu huwa hatujui maisha yetu yamebebwa na nini... Umaskin, shida na tabu za maisha huwa ni funzo kubwa sana kwetu, na kwa baadhi yet
ndio njia ya kutuongezea juhudi katika upambanaji wetu... Naitwa alice ndio jina ambalo nimepewa na wazaz wangu, nimeza...
๐ CHIZI MLA NDOGO WAKE ZA WATU๐ฅ SEHEMU YA 12. ( Onyo ukiwa mtoto au ujakomaa akili usisome simulizi hii) ๐ Msaidizi kashajua ni yeye aliyempa maneno mazuri ndio anataka auliwe...๐
Akaongea lugha ya kiganga. " Mbwindo mwanaliamba lia mfipa moto mchibuyu. ( Ishara ni kuwatapeli hawa sio wateja wenye ...
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Isak anataka kuondoka kwa sababu ya uchungu wa kudanganywa na Newcastle.
Newcastle nao walimdanganya Isak ili wamfanye asalie klabuni hapo lakini kwa bahati mbaya, Isak alishtukizia hilo mapema na sasa kaweka wazi kuwa hatochezea Newcastle tena.
Kinachosubiriwa ni Isak aseme tu ni ahadi gani hizo alizokuwa amepewa na Newcastle๐คฃ
Klabu inataka kumtumia Isak kuwapa matokeo mazuri msimu huu ila haipo tayari kufanya kile walichokubaliana na nyota huyo.
Mbaya zaidi ni kuwa Isak huenda akakosa nafasi ya kujiunga na Liverpool kwa sababu ya Newcastle kugoma kuingia kwenye mazungumzo ya kuhusus Isak na Liverpool.
Mbona hivi visa vya mfarakano kati ya klabu na wachezaji vimeongezeka sana siku hizi??
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/isak-anataka-kuondoka-kwa-sababu-ya-uchungu-wa-kudanganywa-na-newcastle
Maoni