Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
bwenini,   niliumia kiasi kwamba  nilishindwa hata kula chakula,   nilipofika  bwenini nilipanda kitandani na kulala,  kiukweli Nancy pia alichukizwa na yale maongezi  ya kina Catrine,   ila alijizuia kuwafanyia timbwili  aliwatizama tuu na kisha aliinuka na kuelekea bwenini nilipokuwa nimeenda mimi,  alinikuta nimejilaza hapo kitandani akaniambia:



"Laura tafadhari utafanya kilamtu ajue kuwa unampenda General,   hembu fanya uzifiche hisia zako  japo kidogo tuu"


Nilikaa kimya sikumjibu kitu,   ila Nancy aliendelea kusema:


Naomba shuka chini twende ukale,   haraka twende acha kuwa mjinga"


Nikainuka na kumwambia Nancy huku machozi yakinitoka:


"Unajua Nancy ninavyo mpenda  General Ethane"


"Najua kipenzi changu  lakini  usiwe hivyo,  jikaze  uitengeneze na kesho yako kwanza,   pamoja na kumpenda huyo General,   na je vipi kama ameoa  inamaana maisha yako wewe ndio basi tena eeh!?


Nilikuwa kimya tuu namtizama kisha nilimjibu:


"Lakini aliniambia hajaoa bado"


"Unawezaje kumuamini mtu umekutana nae muda mfupi tuu  Laura  jamani"


"Lakini Nancy mapenzi sikuzote watu huseama niupofu nami nahisi kupofuka kwakweli,  ila nakuahidi nitajitahidi kujituliza,   lakini tulifanyie kazi swala la kumpata General bado moyowangu  unateseka hata nikisikia mtu kamtaja jinalake tuu,  na kuhusu Catrine huwa hanitishi mimi hata kidogo,  na alivyo mpuuzi hawezi kuwa na General hata kwa sekunde moja,   General niwangu mimi pekeangu"


Niliamka tukaenda kumalizia kula chakula nakisha tuliagana na kwenda kulala,  siku zilisonga nilibadilika kwa kujikaza,  lakini ndani ya moyo wangu udhaifu wangu ni General,   lakini Nancy alipambana kuhakikisha nafanikisha, hadi siku tunafanyiwa sherehe ya kuhitim mafunzo yetu ilifika,  kulikuwa nawageni wengi sana pamoja na ndugu jamaa na marafiki,  tukiwa hapo nilikuwa nawaza sana kwani ndio tunatoka na General tangu ameondoka,    nitafanyaje sijaweza hata kuwasiliana nae tangu ameondoka,  niliona nimfuate mkuu wa kikosi changu kuongea nae,  nilimkuta akiwa yupo na viongozi wengine,  lakini nilimuomba kuzungumza nae kidogo pembeni,  alikubali na kutoka nikamuambia:



"Mkuu samahani kwanza kwa kukutoa pembeni"


"Hakuna shida Laura,   ulikuwa unasemaje"


"Mkuu nilikuwa nashida na namba ya General,    tafadhari kama unayo nisaidie"


"General mbona yupo njiani anakuja hapa,    sio muda  atafika  utamuomba mwenyewe akija"


Yaani huwezi amini nilivyosikia hiyo taarifa,    moyowangu ulipata amani hakika ilikuwa ni taarifa nzuri  sana kwangu  haijawahi  kutokea,    nilimshukuru kwa taarifa  hata yeye  alielewa tuu,    kwani nilifurahia sana kisha nilimfuata Nancy na kumuambia:


"Nancy huwezi amini General yupo njiani anakuja"


"Wow!  Achabasiii nani kakuambia"


"Hivii unajua nilijitosa kumfuata mkuu wa kikosi namba saba,  na kumuomba namba ya General Ethane,  akaniambia mbona yupo njiani anakuja na kuhusu namba nitamuomba mwenyewe,  huwezi amini furaha niliyokuwa nayo baada ya kupewa hiyo taarifa kipenzi,  ninafuraha sana yaani sana namsubili kwa hamu,   leo nitamuambia  nitamuambia kilakitu"


"Natumai utafurahi zaidi"


"Kabisa kipenzi asante sana kwa kuwa namimi siku zote,  mungu akulinde"


"Usijali kipenzi"


Nikiwa naongea kwa furaha hapo na rafiki yangu Nancy,   mjomba wangu alikuja karibu yetu na kuniambia:


"Naona unafuraha sana uncle,   leo tunarudi nyumbani wote sindio"


"Kabisa uncle"


"Ok  basi endeleeni kufurahia nipo palee nimekaa sawa?


"Sawa uncle"


Mimi ninakaa na mjomba wangu pamoja na shangazi yangu ,  mamaangu alimkabizi mjomba kwani hakuwa na uwezo wa kunilea na kunisomesha,  na ndio maana mjomba ndio kaja kwenye sherehe za mimi kuhitimu mafunzo ya kijeshi,  mjomba wangu ananilea vizuri sana na kunipa kila nitakacho,  bahati mbaya yeye hana uwezo wa kupata mtoto,    ndio maana hunichukulia mimi kama mtoto wake mwenyewe,    ananidekeza hatari niombe nini mimi napewa kilakitu,  nilitaka mimi kuja jeshini japo kuwa yeye hakutaka alijua nitateseka sana,  lakini alikubali tuu kishingo upande,  basi bwana wakati sherehe zinaendelea  kwa mbali niliona gari ya General Ethane inapaki,  nakisha alishuka na kwenda kwenye siti aliyopangiwa,  nilikuwa natamani hata nikamkumbatie,  lakini sio rahisi mbele za watu hapo hivyo nilijizuia,  hadi  tunamaliza sherehe  na kuruhusiwa tuondoke na wazazi wetu,  General aliinuka na kwenda ofisini  nilimtoroka mjomba na kumfuata  General,  kabla sijaingia walikuja viongozi wengine walikuwa na vikao vyao,   wakati huo mjomba alikuwa ananitafuta  nimeenda wapi  watu walianza kuonfoka,  mjomba alinikuta nipo pembeni ya ofisi  akaniuliza:


"Unafanya nini sasa Laura tuondoke"


"Mjomba nilikuwa namsubili General kunajambo nataka kuongea nae"


"Nilitaka tupitie  kwa bibiako muda unaenda kipenzi"


Nilifikilia kisha nikaona ngoja nimruhusu aende nitamg'ang'ania General atanirudisha tuu,  nikamuambia"


"Mjomba unaonaje utangulie kisha nikisha ongea nae General  tutaondoka wote kwani nae anaenda dar"


Mjomba wangu ananiamini sana hakufikilia kabisa kama kutakuwa na mahusiano,  ananijua mimi  siamini katoka mahusiano,  akakubali nakuamua kuondoka,   mwisho wa siku watu wote walikuwa wameondoka,  na viongozi ndio wakatoka mida ya saa kumi na mbili kwenye kikao,  nilikaa kwenye kigiza hivi  hakuna alieniona mimi ndio nilikuwa nawaona,  General alitoka na alikuwa anaelekea  moja kwa moja kwenye gari yake ili aondoke,   nilimfuata nyuma kwa nyuma alipo fika kwenye gari yake akiwa anafungua mlango wa gari,  nilimkubatia kwa nyuma.






Je  General atafanyaje akijua Laura  kwani alishaamua kusonga mbele baada ya kukataliwa  endeleeni kufuatilia............
WhatsApp 0742133100

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu

bwenini,   niliumia kiasi kwamba  nilishindwa hata kula chakula,   nilipofika  bwenini nilipanda kitandani na kulala,  kiukweli Nancy pia alichukizwa na yale maongezi  ya kina Catrine,   ila alijizuia kuwafanyia timbwili  aliwatizama tuu na kisha aliinuka na kuelekea bwenini nilipokuwa nimeenda mimi,  alinikuta nimejilaza hapo kitandani akaniambia:



"Laura tafadhari utafanya kilamtu ajue kuwa unampenda General,   hembu fanya uzifiche hisia zako  japo kidogo tuu"


Nilikaa kimya sikumjibu kitu,   ila Nancy aliendelea kusema:


Naomba shuka chini twende ukale,   haraka twende acha kuwa mjinga"


Nikainuka na kumwambia Nancy huku machozi yakinitoka:


"Unajua Nancy ninavyo mpenda  General Ethane"


"Najua kipenzi changu  lakini  usiwe hivyo,  jikaze  uitengeneze na kesho yako kwanza,   pamoja na...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-09-kisha-niliinuka-taratibu-na-kuondoka-zangu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

420
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

275
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

178
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest