Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


0742133100

Aliendesha  na kuanza safari yakurudi dar,  japo kuwa muda ulikuwa umeenda lakini hakujali,  alifika dar mida ya saa saba ya usiku,  na kwenda moja kwa moja kwake alilala hadi palipokucha asubuhi na mapema,  alitoka na kwenda kwa General mstaafu anamuheshimu kama babaaka,  alienda kuongea nae na kumuomba jioni ya leo akamsaidie kupeleka barua ya kunichumia mimi,  yule mbaba alikubali na kufurahi sana, kwani amekuwa akimsisitiza kupata mwenza wa maisha sasa ndio kamfurahisha sana,  hatimae muda ulipofika nikiwa nyumbani mimi na shangazi yangu pamoja na mjomba, tulisikia kunawageni wamekuja  hivyo mjomba alimuambia dada wa kazi awakaribishe ndani,  alifanya kama alivyo ambiwa hivyo wageni waliingia ndani,   wakasalimia na kisha walijitambulisha mimi nilikuwa tayari nimeenda chumbani kwangu muda huo, 



"Mimi naitwa Mr Donald John ni General mstaafu,  nipo namwenzangu nae ni kanali  mstaafu anaitwa Mr Luis,  sisi niwageni wa binti yenu  Laura"


Mjomba alijua wamekuja kikazi hivyo akafurahi kuwaona na kuwaambia:



"Ooh! Kumbe  karibuni sana Laura yupo chumbani kwake ngoja tuwaitie"



"Hapana bado hatujaelewana vizuri,  sisi tumekuja kuleta barua ya kumchumbia binti yako Laura,   kijana wetu Ethane  kamuona na kavutiwa nae tunaomba kuunganisha undugu"


"Ok  sawa hakuna shida karibuni sana,   namimi nimjomba na huyu ni shangazi yake,   ndio walezi wake  tunaipokea barua kwa mikono miwili,   msijali tutawaambia siku mje kuchukua majibu"


"Sawa tunashuka na tunaomba tuwaache,   kwani tumewavamia tuu bila kuwaanda,   mlikuwa na ratiba zenu tusizivuruge"


"Hamna shaka mnakaribishwa sana hapa ninyumbani"



Kisha waliaga na kuondoka,   mjomba aliwasindikiza hadi getini,  kisha akarudi ndani,  na kumuambia shangazi:


"Ulikuwa unajua kama kunaugeni unakuja?


"Hapana sikuwa najua"

"Muite Laura"


Alikuja mdada wa kazi na kuniambia:


"Mjomba wako anakuita"


Niliinuka na kwenda sebreni nikiwa kawaida tuu,  kwanj tangu jana nimeizima simu yangu,   baada ya kufika dar na sijawasiliana kabisa na Ethane kiukweli,   sikuwa na raha kabisa nilipofika sebreni nilimuambia mjomba:


"Mjomba umeniita?


"Ndio"

Shangazi akanishika mkono nakuniambia :


"Haya kaa hapa kipenzi changu"


Nilikaa na kuwasikiliza wameniitia nini, mjomba akaanza kuongea:


"Kunawageni wako walikuwa hapa  Mr Donald na mr Luis,   wanadai   wao ni washenga wa Mr Ethane,  je unamjua Mr Ethane?


Nilishtuka kusikia nilibaki nikiwa nimetoa macho tuu,  mjomba akaniita"


"Laura,  nimekuuliza swali mama?


Nilijikuta najisikia vibaya sana,  baada ya kukumbuka nilichokisikia kutoka kwa mamaake,   mwisho niliinuka na kukimbilia chumbani tena huku nikilia, shangazi alimuambia mjomba :


"Ngoja nikaongee nae ukiona hivyo hayupo sawa"


Mjomba alibaki akisubili,   na shangazi aliinuka na kuja chumbani nilipokua,  akanikuta nimejilaza kitandandani huku nikilia,  kisha alikaa pembeni yangu na kuniuliza:


"Laura kwani huyu sindio Ethane wako yule General eeh!?


Nilimuitikua kwa kichwa,   kumaanisha ndio yeye,  kisha shangazi akaniambia:


"Sasa siulipaswa kusherekea,  kwani unaenda kuolewa na mwanaume ulie mpenda,  sasa kulikoni hembu naomba ufute machozi na uniambie nini tatizo?


Shangazi alinifuta machozi na kunituliza kisha aliniambia:


"Niambie nini tatizo nitamfuata nikamzubue makofi mimi,  wewe niambie tuu kakufanya nini?


"Mama wewe achatuu  tulipoenda dodoma kwa mamaake ili akanitambulishe,  kumbe mamaake alishamuandalia mchumba mwanae mwingine anaemtaka yeye,  sasa tangu nipo hapo nyumbani yule mamaake hakuwa hata anataka kupiga story namimi,  sikuwa namjua nilijua ndiontabia yake,  kumbe hakuwa ananipenda,  jana alikuja mmama mmoja na binti yake hapo nyumbani,   tena niliitwa niwape vinywaji  mimi huyuu,  baada ya kuwapa vinywaji niliwaacha wenyewe,  muda sio mrefu nae Ethane alipofika alitumwa dada wakazi kumuita,    akaenda sasa niliona kakaa sana nikasema niende namimi,  kwani labda wanapiga tu story namimi kukaa pekeangu  nilikuwa tayari nimeboreka,  nilipokuwa nakaribia hapo sebreni nilikuwa namsikia mamaake akiongea,   mama huwezi amini maneno aliyokuwa anamuambia mwanae,  na huku akijua  mimi nipo na ninani yake mwanae,  nilihisi kumchukia na kuamua kuondoka kurudi dar"


"Nimaneno gani hayo ndio nataka kuyasikia"


"Alikuwa anamuambia yule binti aliekuja na mamaake ndio mchumba aliemchumbilia yeye,  na hataki kuona hao wengine  aliowaleta yeye"


"Vipi,   Ethane nae alijibu nini"


"Hakujibu kitu,  ndio mnanishangaza kusema kuwa kaleta washenga"


"Sasa ndio uelewe kuwa Ethane hakukubaliana na uamuzi wa mamaake,  na kama angekuwa kaukubali asingekutumia barua yakuomba kukuchumbia,   upo kipenzi haya mpigie mchumba wako sasahivi na umuunge mkono anahangaika kwaajili yako wewe"


"Sawa mama"


"Fanya haraka"


Kisha mama aliinuka na kwenda sebreni akamsimulia mjomba kilakitu,  kisha  mjomba aliamua kumkubali Ethane,  aliona kuwa  huyu ndio mwanaume anaestahili kunioa mimi,  kwani ni mwanaume   mwenye msimamo na maamuzi pia,  anaweza kunilinda kwa chochote kile hata kukabiliana na ndugu zake,  kisha akasema:


"Tuwaambie waje wachukuwe majibu yao kesho kutwa,  sawa mkewangu sitaki kuwa chelewesha,    kwani nimwanaume anaestahili tusije kumpoteza"


Shangazi  alicheka sana na kisha aliniita mimi,   nilikuwa chumbani nikatoka na shangazi akaniuliza:


"Vipi umesha ongea na Ethane?


"Bado mama nimempigia simuyake inaitatuu"


"Usiogope  uenda akawa yupo bize au kalala,  akiwa sawa atapokea tuu kipenzi  sawa?


"Sawa mama"


Kisha mjomba alinivuta na kunikumbatia hapo,   tukiwa tumekaa kwenye kochi na huku akiniambia:


"Ethane ni mwanaume bora kipenzi sawa?

Nilibaki nikitabasam tuu,  wakati tunaongea mala simu yangu ikaita,   na mjomba akaichukua na kuipokea yeye,  kisha akamuambia:


"Hallow "


"Ethane wewe ni mwanaume wakweli,  haya watume hao washenga wako kesho,   waje wachukue majibu ya barua uliyowatuma sawa?


"Sawa mjomba,  Shikamoo mjomba"


"Marhabaah, haya ongea na mwanangu  nisimsubilishe  sana"


Tulifurahi sana,   nikachukua simu na kwenda chumbani kwangu,  huku tukiwa tunaongea  na Ethane,   nifuraha isiyo na kifani kwakweli,  





Je nikweli Ethane atamuoa Laura ambae mamaake hamtaki au atabadili maamuzi endelea kuifuatilia ilikujua..........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19



0742133100

Aliendesha  na kuanza safari yakurudi dar,  japo kuwa muda ulikuwa umeenda lakini hakujali,  alifika dar mida ya saa saba ya usiku,  na kwenda moja kwa moja kwake alilala hadi palipokucha asubuhi na mapema,  alitoka na kwenda kwa General mstaafu anamuheshimu kama babaaka,  alienda kuongea nae na kumuomba jioni ya leo akamsaidie kupeleka barua ya kunichumia mimi,  yule mbaba alikubali na kufurahi sana, kwani amekuwa akimsisitiza kupata mwenza wa maisha sasa ndio kamfurahisha sana,  hatimae muda ulipofika nikiwa nyumbani mimi na shangazi yangu pamoja na mjomba, tulisikia kunawageni wamekuja  hivyo mjomba alimuambia dada wa kazi awakaribishe ndani,  alifanya kama alivyo ambiwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

394
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

253
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

173
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

104
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest