Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


GENERAL alinituliza hapo na kunitoa kwenye hali niliyokuwa nayo,  kisha tulianza kupiga story mbali mbali kutuhusu sisi wenyewe,  kisha nilikumbuka na kumuambia:


"Hayasasa nipe zawadi yangu uliyoniambia umeniandalia"


"Ooh! nikweli ngoja nikupe mpenzi wangu,   unajua  ulinivuruga ulivyokuja,   ulikuwa unahali mbaya sana, sipendi kuona ukilia mpenzi sipendi mtu yeyote akuumize sawa?


"Asante mpenzi wangu "


Kisha alienda kwenye gari na kuja na kimfuko kidogo kizuri,   ndani kuna box nzuri ya zawadi,  kisha alinipa hako kamfuko na kuniambia:



"Haya fungua mpenzi"



Nilifungua kile kifuko na kutoa box iliyokuwepo  ndani yake,  kisha nikatoa  na kuifungua ndani ya box,   nilikuta mkufu mzuri wa gold ambao unakidani chenye herufi yamwanzo ya jinalangu,   nilifurahi sana kwani kwangu ilikuwa ni zawadi nzuri mno,   na yathamani sana,  kisha nilimkumbatia na kumshukuru nikamuambia:


"Ninzuri sana nimeipenda asante"


"Asante wewe kwa kuipenda,  kwani ningumu sana kujua kitu kipi kitakuwa kizuri,    hasa kwa mwanamke umpendae, nafurahi kama nimefanikiwa kuufurahisha moyo wamtu ninaempenda,   Laura nakupenda sana kutoka ndani ya moyo wangu,   wewe ni wathamani mno amini hivyo"


"Asante mpenzi wangu"


"Haya tuagize nini utapenda ili tule"


"Chochote mpenzi wangu,   wewe agiza mimi nitakula"


Kisha General aliagiza mchemsho wa mbuzi na ndizi tulikula ilikuwa tamu sana pamoja na juice ya nanasi nilifurahia nikasahau matatizo yaliyonikuta asubuhi tulipo maliza kula tukaingia kwenyegani na kuanza safari alitaka kunirudisha nyumbani lakini nilimuambia:


"Hapana kwasasa sitaki niwakute wapo macho nataka nifike niwakute wapo chumbani kwao"


"Utwapa wasi wasi lakini kipenzi"


"Hapana hawakuwahi kujali kuhusu mimi baada ya kumjua mama mzazi nitakuwa najisikiaje?


"Basi kipenzi naona bado haupo sawa"


Niliona nibadili mada kwa kumuuliza kuhusu mambo ya kikazi:


"Ethane vipi nikipangiwa kazi mkoa utanifuata au ndio utanitelekeza?


"Nawezaje kuuterekeza moyo wangu kipenzi  siwezi hata kidogo hivyo nitatafuta namna yakuwa karibu nawewe tuu"


"Wow!  Asante mpenzi"


"Unaonaje twende fukweni tukale ice-cream utafurahia huko"


"Kweli eeh!  Basi twende"


Tulienda hadi siku inaisha ilikuwa nisiku ngumu mno,   alinirudisha nyumbani mida ya saa tatu hivi usiku,   nilipofika nilinyata na kuingia chumbani kwangu,  kumbe shangazi aliniona nikiingia,   na kisha nilienda kuoga na baada ya hapo nilipanda kitandani kulala,    baadae shangazi alikuja na kunitizama na kisha aliondoka,    baada ya siku chache tuliyaongea yakaisha,  ila kiukweli sikuwa nataka kumuona mama mzazi kabisa niliamua hivyo,   maisha yalisonga mbele ilifika muda tulipangiwa  vituo vyakazi,   ambapo nilipangiwa hapa hapa dar,   nilifurahi sana nikaanza kwenda kazini nikiwa ndani ya sare za jeshi,  niliweza kuwa karibu na General Ethane pamoja na rafiki yangu Nancy,   tulifurahi mno,  siku moja ilikuwa ni siku ya  weekend,    nilisema nikashinde na General Ethane,   kwani  huwa nammis sana kutokana na ubize wa kazi,  nikiwa nyumbani kwake  niliandaa chakula na kisha tulikula pamoja,  na sikuhiyo nilimis sana shoo,   hivyo Ethane  hakuninyima alinipa tena yamaana niliifurahia sana,  tulipo maliza  tulioga pamoja nakisha tukiwa tunavaa nguo huku tunacheza,  mara simu ya Ethane iliita,   kuitizama ilikuwa inayoka kwa mamaake dodoma,  aliipokea na kuongea nae mamaake,  katka mazungumzo yao  kunajambo naona halikumpendeza Ethane,  hivyo alimuambia mamaake:


"Nitakupigia tutaongea badae sio sasa"


Ila mama nahisi aliendelea kusisitiza kuongea muda huhu,  Ethane aliikata simu na kuizima kabisa,  nikamuuliza:


"Mbona hivyo kwani mama Ethane anataka nini?


"Aah! Wewe achana nae"


"Baby usichukie ndio mzazi unapaswa kumuelewa,  na msikilize kisha  umfanyie kile anataka ili iwe baraka kwako mpenzi wangu"


"Sawa kipenzi"


Niliona ameitikia tu basi ila hakuwa sawa kabisa,   nilitafuta namna yakumfanya afurahi nilikuwa namchekesha chekesha,   ilituu asiwe katika hali aliyikuwa nayo,  tukaenda  sehemu za bich na tukaanza kukimbizana,  ilituu nimfanye awe sawa  nilimchangamsha kiukweli,  kisha muda ulikuwa tayari umeenda,   Ethane alinichukua na kunirudisha nyumbani kwetu,   naye akarudi nyumbani kwake,  ndipo alipopata nafasi ya kuongea na mamaake vizuri,   alimpigia simu na kuanza kuongea:



"Mama hapana mimi tayari ninae mtu ninampenda nae ananipenda,  tafadhari sitaki tena matatizo"


"Nakuambia  huyu anaadabu nimtoto wa rafiki yake babaako,   utafurahi ukimuona kweli nakuambia,  nimrembo sana mwanangu '


"No mama,  achana na  hayo mambo"


Inaonyesha mama tayari anataka Ethane aende kuoa huko dodoma naye hayupo tayari kuniacha  namimi




Je nini kitajiri hapo endelea kufuatilia ..............

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO

SEHEMU YA 18

0742133100

Siku moja Ethane alinichukua na kunipeleka moja kwa moja hadi dodoma yumbani kwao, nilimkuta mamaake alinikaribisha vizuri,  na kisha Ethane alinitambulisha;


"Laura huyu hapa nimamaangu mzazi,   mama huyu ni Laura ndio mwanamke ninae kwenda kumchumbia nampenda sana"


Nilinyoosha mkono kumpa mamaake na kumuambia:


"Nimefurahi kukufahamu mama"


Aliitikia yakutafuna tafuna,  hata sauti haikutoka vizuri nilishindwa kumuelewa kabisa,  nilielewa huenda ndio sauti yake ilivyo,  tukiwa bado tupo hapo dodoma  siku kama yatatu hivii,  Ethane alikuwa katoka kaenda mjini,   walikuja wageni hapo nyumbani alikuwa mmama mmoja na mdada mmoja,  aliwaribisha vizuri na kisha aliniita mimi:


"Laura hembu wasikilize wageni hata kinywaji"


Nilifanya kama alivyosema,   japokuwa kuna wahudumu  hapo nyumbani,  niliwauliza wote nakisha nilienda kuwaletea,  baada ya hapo mama Ethane aliendelea kuongea na wageni wake,  mimi nilienda chumbani kwetu kujipumzidha,  haikuchukua muda Ethane nae aliingia,  alipofika sebreni alimsalimia yule mgeni mmama na binti yake,   kisha alikuja chumbani nilipokuwa mimi aliniletea zawadi nikazipokea kwa furaha,  akaniuliza:


"Uko poa lakini?


"Ndio baby niko poa"


Kisha tukiwa tunaongea ongea alikuja muhudumu yaani mfanyakazi na kuniambia:


"Boss Ethane mama anakuita yupo sebreni "


"Nakuja mpenzi"


Aliniaga na kwenda  kumsikiliza mamaake alichomuitia,  alipofika hapo mamaake alimuambia :


"Hembu kaa hapo nikutambulishe"


"Huyu ni mke wa mzee kilie yule aliekuwa rafiki wa babayako,   unamkumbuka?


"Ndio namkumbuka,  karibu sana mama nyumbani"


Ethane alimpamkono na kumkaribisha huyo mama nyumbani,   kwa heshima na upendo,  kisha yule mama aliitikia:


"Asante sana mwanangu,   umekuwa sana  baba jamani,  nimuda mrefu haupo ndio maana sikuoni"


"Aah!  Nikweli majukumu yakazi  ndio  yanatubana  mama"


Kisha mama Ethane aliendelea kutoa utambulisho:


"Na huyo hapo ni binti yake anaitwa Veronica,    nimrembo anaheshima sana mwanangu,  ndio nimependekeza tukamchumbie kwaajili yako"


Wakati anaongea hilo neno nilikuwa nipo karibunao  kabisa,   kwani niliona Ethane anachelewa kurudi,  nikaona nimfuate hapo hapo uenda wanapiga story tuu namimi nikajumuike nao,  lakini nilichokisikia kiukweli kilinifanya nijihisi vibaya sana,   nilijiona kama nimefosi kuja kwenye hiyo nyumba ambayo hawanitaki,  niligeuka na kuanza kurudi taratibu kwa bahati mbaya nikajikwaa,   kwani nilikuwa natetemeka kwa hasira,   ndio nikawashtua  Ethane alikuwa wa kwanza kuinuka kutizama,   akaniona naishia kurudi chumbani,   hivyo aliona mambo tayari yameharibika hapa  akaanza kunifuata, nilipofika nilichukua begi langu na kupakia kilicho changu,   kisha nilitokea mlango wa nyuma haraka haraka,   hata Ethane alipofika hakunikuta alianza kukimbia kunifuatilia,   nilidandia piki piki  mbio kuelekea stend ya mabasi,  kwa bahati nzuri nilibahatika kukuta gari ndio ilikuwa inatoka tuu,   nikaingia hivyo hivyo hata siti sikupata nilikaa pale mbele karibu na dereva,  tukaondoka  Ethane alipofika stendi akaambiwa nimeingia kwenye gari iliyotoka robo saa iliyopita,  Ethane alijisikia vibaya sana  aliumia mno,   na kisha alitoa simu na kuanza kunipigia sikupokea ile simu,  iliita na kuita sikutaka kabisa kupokea,  kisha Ethane alirudi nyumbani  na kumkuta mamaake pamoja na yule binti Veronica,   ila mamaake Veronica alikuwa kaondoka,  aliingia kimya kimya hadi chumbani kwake, alipofika  alijilaza kitandani chali akiwa anamawazo sana,  yule binti Veronica akaingia huko chumbani na kujikalisha karibu na Ethane,  Ethane alikuwa na hasira sana akamuambia kwa sauti ya chini chini:


"Toka chumbani kwangu"


Yule binti alimtizama na kuzani mzaha akajifanya anamsogelea ili amfanyie masag alipomgusa tu Ethane aliinuka na kumshika mkono kwa nguvu akamuambia:


"Wewe bado mdogo sana,  hivyo tafuta mchumba utakae mpenda nae atakupenda,   acha kusikiliza wale wazee wanakupotosha,   haya inuka nenda kwenu"


"Lakini mimi tayari nimekupenda mbona usihofu kuhusu hilo"


"Wewe nimesema nenda kwenu tafadhari"


Yule binti aliinuka na kuondoka zake alipofika sebreni,  mama Ethane akamuuliza:


"Mbona unaondoka imekuwaje?


"Kanifukuza hataki hata kuniona"


"Usijari twende huko huko,  mimi ndio nimeamua asijifanye anajua sana"


Kisha walienda hadi chumbani kwa Ethane na kumuita:


"Ethane.!  Huyu binti nikwaajili yako nimekuambia,   nausimfukuze atalala nawewe hapa huyu nimkwe wangu mimi"


"Mama mimi ndio mwenye chumba  simtaki mtu chambani kwangu,  kwanza istoshe umefanya hadi Laura kaondoka,  sitaki nasema huyu mtu wako"



Mama Ethane alifosi kumuingiza binti Veronica  kwa Ethane,  mwisho Ethane alichukua begi lake na kutoka,   aliwasha gari yake na kuondoka zake"



Je nini kitajiri kwa Ethane na Laura  endelea kuifuatilia.............

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100



GENERAL alinituliza hapo na kunitoa kwenye hali niliyokuwa nayo,  kisha tulianza kupiga story mbali mbali kutuhusu sisi wenyewe,  kisha nilikumbuka na kumuambia:


"Hayasasa nipe zawadi yangu uliyoniambia umeniandalia"


"Ooh! nikweli ngoja nikupe mpenzi wangu,   unajua  ulinivuruga ulivyokuja,   ulikuwa unahali mbaya sana, sipendi kuona ukilia mpenzi sipendi mtu yeyote akuumize sawa?


"Asante mpenzi wangu "


Kisha alienda kwenye gari na kuja na kimfuko kidogo kizuri,   ndani kuna box nzuri ya zawadi,  kisha alinipa hako kamfuko na kuniambia:



"Haya fungua mpenzi"



Nilifungua kile kifuko na kutoa box iliyokuwepo  ndani yake,  kisha nikatoa  na kuifungua ndani ya box,   nilikuta mkufu mzuri wa gold ambao unakidani chenye herufi yamwanzo ya...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-17-na-18-0742133100

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

420
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

276
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

178
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest