Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
za watu,  na kisha nilipewa adhabu  hapo hapo,  niliambiwa  nikimbie bila kupumzika,   mpaka atakapo rudi tena hapo  kikosi namba saba,  kisha aliondoka  na kwenda kukagua  vikosi vingine,  niliendelea kukimbia hapo huku nikiwa nalia kwa hasira,   nilijikuta namchukia kwa maramoja  tuu ndio kafika tuu,  nilikumbuka vile watu walivyokuwa wakisema  juu yake,  ni mkali sana nikaamini kweli nimkali,  alipomaliza kufanya ukaguzi,  kisha aliamuru ipigwe firimbi ya kwenda pared,   ilipo lia firimbi watu wote walikimbia kuelekea kwenye uwanja tayari kwa pared,  walipo fika walijipanga kwa vikosi,   na kuesabu namba,   ilipo fikia kikosi namba saba,   walijipanga na kuhesabu namba,  nakisha ilipofikia namba yangu,  General aliuliza:


"Huyo namba saba yupo wapi?


Aliuliza kwa sauti ya kufoka,  kisha kiongozi wa kikosi namba saba alijibu:


"Mkuu namba saba wetu umempa adhabu,  na ulimuambia asitoke mpaka utakapo enda wewe mkuu"


Alipokumbuka  akaruhusu;


"Ok,  endelea na namba"


Walihesabu namba wote,   kisha walianza kufanya pared hapo ya pamoja,   huku akiwa anazungukia kila mmoja  anakaguliwa,   kiukweli watu wote walifanya pared sio kawaida,  sio kama ile tuliyofanyaga na viongozi wetu,  mara baada ya kumaliza aliongea hapo nakuwaambia:


"Nipo hapa nanyi kwa muda mchache,  ila sito waambia lini nitaondoka  hapa,   ila mtaenda vile nataka mimi muwe sawa?


Wote waliitikia "sawa"  nakisha aliruhusu  watawanyike,  tayari kwenda kupata chakula cha jioni,  mimi niliendelea kukimbia nilikuwa nimechoka sana,  sikuweza  kusimama kwani sikutaka matatizo zaidi,  alipotoka pared alikuja moja kwa moja uwanjani,  na kuniita:


"Kruta namba saba,  haya njoo mbele yangu hapa"


Niliacha kukimbia na kumsogelea, kisha nilisimama mguu upande kwa sarut, kisha akaniambia;


"Kwaleo  utaishia hapa nenda kapate chakula cha jioni nawenzio,  ila kuanzia kesho machoyangu sito yatoa kwako,  unaonyesha wewe ni mzembe mzembe,  haya nenda kantini"


Kisha aliondoka nami niliondoka kuelekea bwenini, nilikuwa nimechoka sana na nilikuwa ninahasira vibaya mno,  nilioga na kisha nilienda kantini kula chakula,  nikiwa huko nakula chakula,  alikuja kiongozi wa kikosi changu na kuniambia:


"Laura  unajua kazi tuliyokupa wewe na yule mwenzio?


"Ndio mkuu"


"Sasa unafanya nini? Haraka ondoka na ukafanye tulichokuambia"


Niliinuka hata sijala chakula changu vizuri,    nimekula matonge mawili tuu,   na naambiwa niende tena kumuhudumia General Ethane,   niliondoka na hasira sana njia nzima nilikuwa nikijiongelea mwenyewe:


"Yaani wangejua huyu mtu mimi simpendi hata kuiona surayake,   yaani mimi sijala kwaajili yake,   ninakwenda kumuhudumia mkorofi kama nini,   nakuchukia General nakuchukia"


Wakati naongea hivyo,  huku machozi yakinitoka yaani,  nilienda kubeba chakula na kwenda kukiandaa mezani vizuri kwa General,   kisha nilisimama tayari kwa kumkaribisha chakula,   na kumuandalia,  nilijua nitamkuta yule mwenzangu niliekuwa nae mwanzo,   sijamkuta sijui nini nae kimemkuta,  wakati nikiwa nawaza hapo huku nikiwa nimesimama,  gafla General alitokea akiwa kavaa pensi fupi hivii,   na tishet ambayo imekatwa mikono tunaiita singrend tuu,   ananukia  vizuri hatari,   na chini kavaa slipaz,  nilipo muona nilishtuka nikatoa sarut  hapo,  alitabasamu na kuniambia:


"Inatosha sasa"


Nilimtizama tuu,  sikuwa na tabasam wala nini,  ninamuogopa  sana, alipo sogea karibu na meza nikamvutia kiti ili akae, na kisha nilifunua vyakula na kumkaribisha chakula kwa kumuambia:


"Karibu chakula"


"Asante,  unaitwa nani?


"Naitwa  Laula,  muheshimiwa"


"Wewe ndio niliekupa adhabu sio?


"Ndio muheshimiwa"


"Haya  njoo unichotee chakula hapa"


Nilisogea na kumchotea chakula,   huku nikiwa namtizama kwa hasira, alinielewa  ila hakutaka kuongea kitu, alichukua kijiko na kuanza kula, akaniuliza:


"Hauli?


Nilimjibu

"Tayari nimesha kula muheshimiwa"

Nilijibu tuu hivyo sikutaka kabisa kula nae meza moja,  kwani ninahasira nae   alinitazama,  na mimi nilikuwa  namtizama tuu,  kisha akaniambia:


"Umekula saangapi,  kaachini ni amli"


Nilianza kutetemeka,   nikihofia anaweza kunipa adhabu kwa kumdanganya,   nakisha nilikaa haraka, alivuta sahani yeye mwenyewe,   na kunichotea chakula akaniambia:


"Haya kula"


Nilichukua chakula, nakuanza kula, alipomaliza kula aliinuka na kuniambia:


"Usiku mwema"


Akaondoka na kuelekea chumbani kwake,  nilipo ona kaondoka,  nilivuta sahani na kufakamia nyama ya kuku yakukaanga,  haraka haraka kisha nilitoa vyombo na kuelekea bwenini kwetu,  nilipoingia bwenini kwetu,  niliwakuta wengine tayari wamesha lala, kasoro group  la Catrine na wenzie,  wanapenda sana umbea  hivyo waliponiona tuu wakaniita:


"Laura hembu njoo utuambie"


Nikawauliza:

"Niwaambie!,  niwaambie nini?


"Aah! Nawewe,  kwani usichokielewa nini sasa?

Nilikuwa sielewi anaongelea nini,   nilibaki meduwaa tu,  alikuja Catrine na kunivuta mkono,  kisha akanisogeza kwa wenzie,  na kuendelea kusisitoza niwaambie, kiukweli nilishindwa kuwaelewa,  nikawaambia:


"Tafadharini naomba mniache,  kwani siwaelewi mimi mnataka nini?


"Tuambie kuhusu General Ethane tafadhari"

Niliwatizama kwa hasira,  na kisha nikawaputa mkono wangu waliokuwa wameushikilia,  kisha nilienda kitandani kwangu kupumzika,  alikuja Catrine mwenyewe na kuniambia:


"Ndio maana ulipewa adhabu,   wewe nijeuri sana,  kwanza sijui upoje"


Nilijisikua hasira sana,  na kisha  nikamsogerea na kumpiga kofi moja,  nikamuambia:


"Jua mipaka yako,  mimi sio wakuchezea"


Alivyo nae mkorofi,   akanivaa tukavaana, kilichofuatia  tukapigana hapo haswaa,   hadi alienda kuitwa mkuu wa kikosi chetu namba saba,   alikuwa yupo na wenzie kwenye kikao na General,  sindio General akaona aje yeye na mkuu wetu wakikosi, wewe acha tuu:




Endelea kufuatilia.....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele

za watu,  na kisha nilipewa adhabu  hapo hapo,  niliambiwa  nikimbie bila kupumzika,   mpaka atakapo rudi tena hapo  kikosi namba saba,  kisha aliondoka  na kwenda kukagua  vikosi vingine,  niliendelea kukimbia hapo huku nikiwa nalia kwa hasira,   nilijikuta namchukia kwa maramoja  tuu ndio kafika tuu,  nilikumbuka vile watu walivyokuwa wakisema  juu yake,  ni mkali sana nikaamini kweli nimkali,  alipomaliza kufanya ukaguzi,  kisha aliamuru ipigwe firimbi ya kwenda pared,   ilipo lia firimbi watu wote walikimbia kuelekea kwenye uwanja tayari kwa pared,  walipo fika walijipanga kwa vikosi,   na kuesabu namba,   ilipo fikia kikosi namba saba,   walijipanga na kuhesabu namba,  nakisha ilipofikia namba yangu, ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-02-asikuambie-mtu-nilijisikia-vibaya-kweli-kufokewa-mbele

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

289
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest