Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


0742133100

Tuliongea sana na kupanga mambo mengi yamaisha yetu,  hakika nilifurahi mno kwa upande wangu,   siku iliisha na siku iliyofuata wale washenga walikuja na kupewa majibu,   wakaondoka tukaanza kujiandaa kupokea mahari,    hatimae siku ilifika ya kupokea mahari,   mahari walileta wale wale wazee na ikapangwa tarehe ya  harusi,   ilikuwa haraka haraka Ethane hakutaka kuchelewa tena,  tukiwa kwenye maadalizi ya harusi,  Ethane aliona ipo haja ya kumjulisha sasa mamaake,  mama yake hakufurahi kabisa,  aliamua kuwataarifu baba mkubwa na shangazi zake Ethane,  aliwaambia kwa namna ya yofauti mno,  kiasi kwamba siku moja Ethane akiwa na hekaheka ya maandalizi ya harusi,   alipigiwa simu na  babamkubwa wake,  na akiwa anahitaji kuonana nae,   hivyo alimuambia yupo njiani anakuja alipo waonane,  hivyo Ethane aliacha kilakitu kwa furaha na kumsubili bamkubwa wake, na alinipigia simu na mimi akanitaarifu,  nilifurahi sana na kumtakia mazungumzo mema na baba mkubwa,  alikaa kwenye hotel  moja hapo mjini nzuri ya kifahari  akimsubilia bamkubwa wake,  nakweli baada ya muda mchache alifika bamkumbwa,  Ethane alimkaribisha vizuri japo kuwa bamkubwa alikuwa wa tofauti kabisa,  alionekana nimwenye hasira sana,  kisha Ethane alimuita muhudumu na kumuambia:



"Haya msikilize anachotaka"


Bamkubwa alijibu kwa hasira:


"Sipo hapa kupata kinyaji chako  nipo hapa kwa jambo moja tu,  kukuweka wazi"


Ethane alitoa macho kwa mshangao mkubwa,   kisha akamuambia:


"Sawa  bamkubwa lakini kwanza tuliza munkari kisha tutaongea kwanini upo hivyo?


Kisha Ethane alimuambia muhudumu:


"Nenda ulete juice ya matunda gras mbili  na maji"


Kisha muhudumu aliondoka,  na  Ethane akamgeukia  bamkubwa na kumuambia kwa heshima:


"Haya  babaangu ninakusikiliza"


"Hivi Ethane ndio tuseme umekuwa,  au ndio cheo cha u General kinachokupa kiburi hadi kumzarau mamaako"


"Kwanini bamkubwa?


"Umemdharau mamaako"


"Kivipi bamkubwa?


"Mama yako alinipigia simu na kuniambia kuwa,  unamdharau sana kila anachokuambia humsikilizi,  na alikukataza kumuoa huyo binti unaetaka  kumuoa,  ila hutaki kumsikiliza na ukaendelea na taratibu zako za kumchumbi,  unajua alipofariki babayako ulipewa ukuu wa familia,  na kuwa kama kiongozi katika ukoo sasa unawezaje kuwa kiongozi  mwenye kiburi  namna hii"


Kiukweli Ethane alisikitika sana kusikia taarifa hizo  kutoka kwa bamkubwa wake na mbaya zaidi zilitoka kwa mama yake mwenyewe,  hivyo aliamua kumuelezea  kilakitu bamkubwa wake,  na kisha akamuambia vile anavyonipenda alimuomba ridhaa ya kuja kunioa bamkubwa alimuelewa Ethane na kisha akamuambia


"Usihofu mwanangu tupo nyuma yako,   na kwakuwa tupo hai bado tuta muwakilisha babayako vyema kabisa,  hivyo wewe malizia maadalizi nitawaelewesha wote walielewa vibaya kuhusu wewe,   na kisha tutakaa na mamayako kumsahihisha atatuelewa tuu,  usihofu na msalimie sana mkwe wangu mtarajiwa"


Kiukweli Ethane alifurahi sana,  na  walipo maliza mazungumzo bamkubwa aliondoka,   na  Ethane aliamua kuenda kumalizia maadalizi yake ya harusi.

Hatimae siku ilifika nilivaa na kupambwa vizuri sana,  nilipendeza mno  mithiri ya binti mfalme,  na mjomba ndio alinishika mkono na kunipeleka hadi  madhabuni,   kisha alinikabidhi kwa Ethane,    na baada ya hapo taratibu ziliendelea ,  watu walikuja wengi sana hadi wafanya kazi wenzetu walikuja na ndugu jamaa na marafiki pia walikuwepo,   tuliapishwa kuwa mke na mume kisha tulielekea ukumbini,  ilikuwa ni harusi yakipekee ilivutia sana kwani mumewangu Ethane na wenzie wakaenda kuvaa mavazi ya kijeshi ukumbini,  nilifurahi mno sherehe ziliendelea  watu walifurahishwa sana na vitu vilivyoendelea ukumbini,   tulicheza mziki na kunywa vinywaji mbali mbali, nilitambulishwa kwa viongozi wote ndugu jamaa na marafiki,  kilamtu alikuwa na furaha na sisi,   muda ulienda sana mwisho  tulimaza sherehe,  na tulienda  fungate iliakuwa zanziba,  tulikodiwa boti na ofisini kama zawadi na wafanyakazi,   wenzetu walitupa zawadi nyingi sana,   tulipofika hotelini kiukweli nikiwa na shauku sana ya kumkumbatia mumewangu,  kisha  nikamuambia :


"Haya sasa hembu njoo hapa,  kwani tayari siogopi tena,  umesha kuwa wangu mimi wapekeangu"


Ethane alicheka na kuniambia:


"Huogopi sio"


"Ndio siogopi kwani nitapigana na mwanamke yeyote atakae kuchekea,   kwani wewe niwangu mimi tuu"

Tulifurahi sana,  kisha akanifungua zipu ya gauni niliyokuwa nimevaa,   na kunisaidia kutoa urembo niliokuwa nao,   nami  nilimsaidia pia kuvua nguo nae,  na baada ya hapo tulienda kioga bafuni pamoja,   ilikuwa niraha sana asikuambie mtu,   nilifungulia  maji ya bomba la mvua yakawa yanatumwakigia,   tukiwa tunatizamana kisha Ethane akanisogerea na kunimbia:


"Siombi ruhusa kukubusu tena,   nakubusu kilanikiwa na hamu ya kukubusu nitakavyo,  haya   hembu njoo hapa"


Alianza kunichum chum kisha akauzamisha mdomo,   na kuzinyonya vizuri rips zangu vizuri kabisa kimahaba,   kisha nilianza kuvurugwa namimi taratibu,   baada ya hapo nikajikuta namimi natoa sapoti taratibuu,   nilimnyonya vizuri rips zake,   na kisha Ethane  alishuka na kuanza kunyonya vizuri  chuchu zangu,  chuchu zilizo simama  mithiri ya embe sindano,  alizifyonza vizuri huku akiuguruma kwa raha,  na mimi pia nilikuwa nahema kwa shauku,   kisha alinigeuza  na kunishikisha ukuta,    hapo sasa  nilikibinua kikalio changu,   na kutanua kidogo miguu kisha aliingiza taratibu mashine,  kisha  kuanza kazi ya kupampu ilikuwa raha sana,   nilikuwa natoa sauti tamu za mahaba tuu,   yaani pia Ethane nae alikuwa akiunguruma kama simba mwenye njaa na kaona nyama hiyoapo,  tulikuwa na wakati mzuri mno hakika nikajikuta namuambia Ethane:


"Mimi niwako,   mali yako pekeako General  Ethane,  fanya vile unaweza,   nipe hadi nichanga nyikiwe,  kwani nakupenda sana Ethane"


"Mmmh! Asante Laura,   mmmh! Ooh yeah! Nipe yoote mkewangu ooooh! sssh mmmh!


Hadi ana pee ilikuwa raha jamani nilijihisi nipo dunia ya pekeetu kiukweli, tulipomaliza tulioga na kwenda kitandani kulala,  tulilala tukiwa tumekumbatiana hadi asubuhi ilipofika,  ilikuwa nzuri sana fungate yetu ya wiki nzima,  ilipoisha tulirudi nyumbani na kuendelea na taratibu za maisha yetu, mama yake Ethane aliamua kunikubali tuu atafanyaje ndio tayari nimeolewa na mwanae dada yake Ethane alitutumia zawadi kutoka nje ya nchi,  mimi alinitumia gari nzuri sana na ni mpya kabisa,  Ethane alitumiwa simu pamoja na laptop nzuri sana,  nilimsamehe mamaangu mzazi na kuendelea na maisha  mengine,    mungu ametujaalia mtoto wa kike mrembo sana jina lake ni Paula,familia yetu sasa imeongezeka na itazidi kuongezeka kwa uwezo wa mwenyezi Mungu..

Namshukuru Mungu kwa kunipa mume wa ndoto zangu kiukweli nina furaha sana..

MWISHO.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20



0742133100

Tuliongea sana na kupanga mambo mengi yamaisha yetu,  hakika nilifurahi mno kwa upande wangu,   siku iliisha na siku iliyofuata wale washenga walikuja na kupewa majibu,   wakaondoka tukaanza kujiandaa kupokea mahari,    hatimae siku ilifika ya kupokea mahari,   mahari walileta wale wale wazee na ikapangwa tarehe ya  harusi,   ilikuwa haraka haraka Ethane hakutaka kuchelewa tena,  tukiwa kwenye maadalizi ya harusi,  Ethane aliona ipo haja ya kumjulisha sasa mamaake,  mama yake hakufurahi kabisa,  aliamua kuwataarifu baba mkubwa na shangazi zake Ethane,  aliwaambia kwa namna ya yofauti mno,  kiasi kwamba siku moja Ethane akiwa na hekaheka ya maandalizi ya harusi,   alipigiwa simu na  babamkubwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

394
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

253
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

173
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18

104
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

8

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest