Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.



"Laura,  nikuambie kitu?


"Ndio niambie mpenzi"


"Laura,    wewe ni wathamani kubwa sana maishani mwangu,  unajua kuwa siku ya kwanza tuu kukuona pale kambini,  moyowangu uliniambia huyu ndio yule uliekuwa unamtafuta, na nilipo kusogelea  hata mapigo yangu yamoyo yaliniambia kwa inshara kwani yalibadilika gafla,  Laura  nilijaribu kupingana na hiyo hali kwakujaribu kukuweka mbali nami,  lakini hatma pia zilikuwa zinatukutanisha,    kwani ile siku nilipokuambia ukae tule wote,   nilifurahi sana huo muda niliuweka katika kumbu kumbu zangu,  nakupenda  Laura wangu"



"Naje  mbona ulikuwa ukinitesa sana kambin


"Yote hayo niliyafanya ili nikuweke mbali namimi kujaribu kupingana na hatima yangu lakini nilikuwa nakutana tena nawewe hata nilipokutamkia kuwa nakupenda ilitoka ndani ya uvungu wa moyo wangu kabisa Laura"


"Kweli General Ethane?



"Ukweli baby"


"Hata mimi nilijihisi hivyo hivyo kama wewe mpenzi,  nafurahi kama hadi leo hii tumekuwa wapenzi,  nakuahidi sitokuumiza kabisa maishani kwangu,  General Ethane nakupenda sana"


"Asante Laura"


Tuliongea mengi sana,  japo kuwa mwanzo nilikuwa na hasira nae,  lakini katika maongezi yake,  alinifanya nikalegeza maamuzi,  na  kukili upendo wangu kwake,  kiukweli Ethane ni mwanaume mwenye kila sababu yakupendwa na wanawake wengi,  alikuwa nimzuri mwenye kuvutia kwa kila kitu,   muonekano tabia yake  na anajali sana,  baada ya kuongea sana tulilala usingizi,   hadi palipokucha nikiwa nimetoka kuoga navaa nguo ilinitoke,  nilisikia mlango wangu unagongwa,  hivyo nikatoka na kuufungua,  kumbe alikuwa mjomba,  nilimsalimia na kisha akaniuliza:



"Vipi hali yako kipenzi changu?


"Salama mjomba sijui wewe?


"Mimi nipo salama  kabisa '


"Nafurahi kusikia hivyo,   natoka sio muda tupate breakfast pamoja"


"Ok sawa lakini nilitaka nikapate mbele ya safari lakini kama unakuja basi nitapata nawewe nipo nakusubili dining"


"Sikucheleweshi lakini mjomba?


"Hakuna chakuharibu ratiba yangu kama upo wewe kipenzi changu"


"Asante mjomba"


Kisha nilienda kumalizia kujiweka sawa, na  kisha nikatoka na kuelekea  dining,   shangazi nae alikuja na alipotukuta akasema:


"Inawezekanaje  hamunialiki na mimi kwenye hii breakfast nzuri ya pamoja,  eeh! mtu na babaake mna roho mbaya sio?


"Hapana sisi hatuna roho mbaya,   kama upo tayari karibu nawewe ujumuike nasisi,     maana kutokea huwa ni nadra sana,  au sio mjomba?


Aliongea mjomba ila mimi nilibaki nikitabasam kisha nika sema:


"Kabisa mjomba,   naomba iwe ni sheria sasa kilasiku asubuhi,   muda saa moja kamili tukutane mezani itakuwa nzuri sana hasa kwa anaewahi kazini sio mjomba?


"Hakika kipenzi changu,  nitakuwa naondoka na upendo wote duniani,  na  nitakuwa nafuraha sana"


"Wow!  Ninzuri eeh!  Safi sana haya dada naomba niletee maziwa ya moto yenye kahawa"


Aliongea shangazi tulitabasam tuu mimi na mjomba,  kiukweli  ilikuwa niasubuhi yakipekeee, kilammoja alikuwa na furaha haswaa, tulipata breakfast  ya pamoja na kisha mjomba alituaga na kwenda kazini,  tulibaki mimi na shangazi hapo mezani,  shangazi akaniambia:


"Haya kipenzi changu,  niambie kuhusu Ethane wako natamani kusikia"


Nilitabasam na kisha nikamuambia:


"Mama!   Ethane ni mtu mstaarabu sana,   mwenye upendo  wakweli anaejali mno,   na nimtanashati kwelikweli na sijui nimuelezee vipi, lakini nimwanaume aliekamilika kilasifa yupo vizuri"


"Mmh! Kwahiyo yupo vizuri kumzidi baba eeh!?


"Aaah! No hapana mama hafiki kwa mjomba bwana"


Tulicheka wote kwa furaha kisha shangazi akaniambia"


"Nafurahi kukuona unafuraha mpenzi, kiukweli nidua yangu siku zote upate mtu utakae mpenda wewe mwenyewe"


Niliinuka na kumfuata kwenye kiti chake shangazi na kumkumbatia,  kisha nikarudi kukaa na kuendelea kuongea mambo mengine,  tukiwa hapo kwenye viti vya dining,  alikuja  dada wa kazi akamuambia mama kuwa kunamgeni sebreni,  hivyo mama aliniambia:


"Haya kipenzi baadae"


Aliinuka na kuondoka, namimi niliinuka na kwenda chumbani kwangu,  alipofika sebreni shangazi alishangazwa na mgeni aliekuja,  alikuwa ni mamayangu mzazi  nimuda mrefu sana,   leo ndio kakumbuka kama anamtoto ndio  kaja kuniona,  alimsalimia shangazi kisha akamuambia:


"Wifi zasiku nyingi?


"Salama sijui wewe?


"Nisalama kiukweli, sijui nyie pamoja na Laura nae anaendeleaje nisiku sijamuona sijui atakuwaje sasa?


"Mh! Leo ndio umemkubuka?


"Nimambo mengi yameyokea,  ila leo nimeona nije kumuona,  kaka nae hajambo?


"Hajambo, kwani hujawasiliana nae?


"Hapana sijawasiliana nae maana simu yangu haina vocha ndio maana"


"Ok sawa basi ngoja nimfahamishe kuwa upo hapa"


"Sawa lakini niitie Laura  kwanza,   ili nimuone sikunyingi sana jamani sijamuona binti yangu,    atakuwa mdada mkubwa sasa"


Shangazi slibsdilika na kumjibu:


"Naomba twende hatua kwa hatua sawa?


Mama alitia macho hakumuelewa kabisa shangazi kwanini kapaniki namna hiyo.




Je nini kitatokea shangazi yake Laura atamtuhusu Laura akaonane na mama yake kirahisi hovyo baada ya muda mrefu alimfanya Laura kuwa kama binti yake eeh unatamani kujua  endelea kufuatilia...........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15




"Laura,  nikuambie kitu?


"Ndio niambie mpenzi"


"Laura,    wewe ni wathamani kubwa sana maishani mwangu,  unajua kuwa siku ya kwanza tuu kukuona pale kambini,  moyowangu uliniambia huyu ndio yule uliekuwa unamtafuta, na nilipo kusogelea  hata mapigo yangu yamoyo yaliniambia kwa inshara kwani yalibadilika gafla,  Laura  nilijaribu kupingana na hiyo hali kwakujaribu kukuweka mbali nami,  lakini hatma pia zilikuwa zinatukutanisha,    kwani ile siku nilipokuambia ukae tule wote,   nilifurahi sana huo muda niliuweka katika kumbu kumbu zangu,  nakupenda  Laura wangu"



"Naje  mbona ulikuwa ukinitesa sana kambin


"Yote hayo niliyafanya ili nikuweke mbali namimi kujaribu kupingana na hatima yangu lakini nilikuwa nakutana tena nawewe hata nilipokutamkia kuwa nakupenda...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-15

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

897
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

479
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

200
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest