Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kama kawaida,  niliamka kwa kujitahidi sana kuhakikisha sishindwi,  muda wa kwenda pared ulipofika tulienda vikosi vyote,   hapo tukafanya pared  kisha ukaguzi ukafika,  alikuwa tayari General yupo mbele kabisa,   tayari kwa kufanya ukaguzi wa vikosi,  alianza kukagua kikosi kimoja hadi kingine,  akafika kwenye kikosi namba saba ambacho nipo mimi,  alikagua mmoja mmoja hadi kufikia kwangu,  aliponifikia mimi akasimama na kunitizama,   kisha aliendelea  na ukaguzi.

Baada ya ukaguzi kukamilika,   tuliruhusiwa kwenda kupata breakfast chap chap,  dakika kadhaa wakati tunapata breakfast,  nilijikuta nimeshika kikombe cha chai kinamoto kweli kweli   hata kunywa nishida,   nilipiga funda mbili tuu,   kengere ikapigwa hapo hapo,  ikabidi niache kunywa chai nakukimbia, nilijitahidi kiukweli,   tukaanza kufanya mazoezi  mbali mbali ya kijeshi,  nikiwa kati kati ya mazoezi nilisikia naitwa,  nikaitikia na kwenda alikuwa kiongozi wa kambi zote:


"Naam mkuu"


"Unajukumu lako ambalo tuliwapa jana, linaendelea hadi atakapo ondoka muheshimiwa General,   hivyo unapaswa kwenda kufanya maandalizi ya mchana wake"


"Sawa muheshimiwa"


Japo kimoyo moyo nilikuwa najisemea mwenyewe, 

"huu niuonevu mbona mwenzangu jana usiku hakuja,    lakini kila mala mimi tuu,   na wangejua huyo  General simpendi  hata kumuona"


Kisha niliambiwa niende kufanya maandalizi, niliondoka na kuelekea jikoni niliambiwa kitu cha kumuandalia,  nikafanya kama walivyo sema,  na nilipo maliza nilibeba na kukipeleka mezani tayari kwa kuliwa,   muda ulikuwa umefika wa yeye kupata chakula,  alienda kuambiwa,   baada ya dakika chache alikuja  kupata chakula,  alipo fika na kuniona alinitizama na kisha alitabasam, nilimkaribisha:


"Karibu chakula"


Nilijawa na hasira kweli nilipo muona,  lakini nikajikaza tuu,  baada ya kumkaribisha akakaa,  na kisha nilisogea kumchotea chakula kwenye sahani,  nilipo maliza  nilimkalibisha ale,  nae akanikaribisha namimi,  nilimjibu:


"Asante"


Kisha niliendelea kusimama pembeni,  baada ya kuchota chakula na kukiweka mdomoni akaniambia:


"Laura,  kwani wewe ulisomea mapishi"


Nilimjibu huku nikiwa makini:


"Hapana"


"Chakula chako nikitamu sana,  na nakuomba ukae hapa tule wote sasahivi"


Nikamjibu:


"Asante bado ninashibe mkuu,  wewe endelea tuu"


"Sasa hii ni amri sio ombi,  kaa hapa na ule chakula nami"


Nilikaa kwa hasira na kisha nilichukua sahani na kupakuwa chakula kidogo sana nikaanza kula muheshimiwa akaniambia


"Pamoja na yoote,   Laura mimi sio mchoyo,  tafadhari furahia chakula chako,  na naomba usinichukie namna hiyo sawa"


"Asante,  ila mbona sikuchukii mimi"


Nilimjibu tuu,  lakini ndani ya moyo wangu najua mimi mwenyewe,  kisha niliendelea kula,  nilikuwa nimechota chakula kidogo sana,   alivuta sahani yangu na kuniongezea tena chakula huku akisema:


"Unasafari ndefu sana,  na ili ufanikiwe uwe mkakamavu,   unapaswa kula zaidi usionje,  utafia kwenye mazoezi bule, sawa bint mdogo"


Milimtizama na kisha nilimjibu:


"Ila hiki sio chakula cha kruta,  hichi ni cha muheshimiwa General,  ndio maana sina uhuru nacho muheshimiwa"


Ksha alitabasam na kunijibu:


"Umekiandaa wewe mwenyewe,  mimi sina roho mbaya hivyo,   na kingine nimezoea kula na familia,  hivi ninavyokula mwenyewe huwa naboreka tuu,  nafurahi nikipata kampani kama hivi,  tafadhari mambo ya kazi tusiyaweke mezani basi Laura eeh!


Kiukweli nilijisikia kutabasam,  baada ya kusikia maneno yake,  kisha aliniambia:


"Hupendenzi kununa nuna kabisaa,  na kingine unasauti nzuri ya upole,  kama sio binti mkorofi niliyemkuta jana anampiga  mwenzie"


Nilimtizama machoni tukakutana macho kwa moacho nikajikuta naona aibu kwanza anajicho zuri limelegea linaita hatari ukikutana nalo lazima uhisi kitu lakini ni jicho lake lilivyo tuu nikainamisha uso wangu kwa aibu chini akaniambia:


"Laura,  ninaonekana mkorofi sio,   lakini mimi sio mkorofi bwana,   arafu nafurahi utakuwa rafiki tangu,   nisamehe kama nilikukosea sawa"


Nilishindwa hata kumuangalia tena,  nilibaki nimeinamisha uso wangu chini tuu,   huku nakula akanyoosha mkono na kunishika kidevu changu,   na kuniinua huku akiniambia:


"Usinionee aibu,  mimi tayari ni rafiki yako sawa Laura"


Nilitabasam tuu na kuendelea kula kisha alipomaliza kula aliniambia


"Asante  kwa chakula kitamu sana,   nakuacha ninakazi nyingi sana ofisini kwangu,   nitawaona jioni huko mazoezini sawa Laura usinichukie tena"

"Sawa muheshimiwa"


Kisha aliondoka na kuniacha mwenyewe mezani,   nilimalizia kula baada ya hapo nikatoa vyombo,   na kupeleka jikoni kuvisafisha,   nilipo maliza nikaelekea moja kwa moja  mazoezi nilipokuwa, niliendelea na mazoezi kwa amani kabisa, kwani tayari muheshimiwa General kaniomba msamaha,  kwa alicho nifanyia jana,   hivyo niliona kweli pamoja na yoote sina budi kumsamehe, kwanza alikuwa ananikomaza kimazoezi,   kwanini alinizingatia mimi tuu,  nadhani kunanamna anataka niwe, hivyo sina budi kumchukia,  nilikuwa najiambia mwenyewe kimoyo moyo tuu,  sikuhiyo nilifanya mazoezi kwa morari nzuri sana,   hadi mkuu wa kikosi changu alinifurahia,  na kuniambia:


"Sikutegemea kama leo ungekuwa wa moto namna hii,  kutokana na hali uliyokuwa nayo jana usiku,  hivyo nilikuwa nahofu kuhusu siku yako ya leo itakuwa mbaya sana,  lakini tofauti na nilivyo fikilia asante mungu haya endelea kupiga tizi"



Nilitabasam na kisha siku mjibu chochote,   niliendelea tuu na mazoezi tuu, hatimae muda ulikuwa tayari umeenda,   tunakaribia kwenda kwenye pared,   nilijikuta nashauku ya kutaka kumuona muheshimiwa General tu,  muda wote nilikuwa nageuka geuka tuu kutaka kumuona je amekuja kutuona,  kwa gafla wakati nainua uso wangu kutizama kama kaja nilikutana nae uso kwa uso,  nae alikuwa akinitafuta anione tulikutana macho kwa macho,  nikajikuta naona aibu tena,   sikujua ni hali gani tena inanitokea kwa huyu General,  nikawa najisemea kimoyo moyo:

"mmh!  Mbona wote nawatizama vizuri tuu,  na sijikuti katika hali hii,  kwanini iwe kwa General"

Kisha nikajisemea:


"Niujinga wangu tuu,  hembu niendelee na mazoezi mimi"


Niliendelea kufanya mazoezi kisha General alitabasam na kuondoka zake,   kwenda kuendelea kukagua  vikosi vingine,  nilitabasam pia nilipo muona anaondoka huku akitambasam,  makruta wenzangu hawakuelewa ana tabasam kwanini,  baada ya muda  mfupi firibi ilipulizwa,  tukatoka na kwenda moja kwa moja pared, tulipofika tufanya pared yetu hapo,  kisha alitoa matangazo General na kuturuhusu tukaoge,   kisha tukale chakula na kwenda kupumzika,  nilikuwa nimechoka sana nilienda moja kwa moja bafuni kuoga,  na nilipomaliza nilitoka na kwenda bwenini kwetu kubadili  nguo, nilivaa suruali yangu na tisheti zote ni zahapo kambini,  kisha nilikaa kitandani kujisomea vitabu vyangu,  jioni hiyo alienda yule mwenzangu tulie chaguliwa wote,  kwaajili ya kazi hiyo kumuandalia chakula muheshimiwa General,   na mimi niliambiwa na mkuu wangu wakikosi nipumzike,   hivyo nilikuwa nasoma kitabu changu lakini nikimkumbuka General najikuta natabasam pekeangu,  mpaka kina Catrine na wenzie wakawa wananitizama,  sikujali nilipo waona wakinitizama,  niliendelea kujisomea mwenyewe, muda wa kwenda kula ulifika tukaenda kula chakula,   na tulipo maliza kula tulirudi bwenini kupumzika,  nikiwa nimejiegemesha kitandani nahuku ninasoma kitabu changu,  alikuja mwenzangu yule tulie chaguliwa wote kwa kazi ya kumuuhudumia General,  na kuniambia:


"Laura,   unaitwa na General  yupo kule kwake tulipomuandalia siku ile,  sasa hivi"


Nikainuka na kuanza kwenda kina Catrine na wenzie wakaanza minongono  na huku wakicheka walikuwa wakisema:


"Atakuwa anaenda kupewa adhabu tuu lazima,    maana huyu hasikii,  na General hampendi kabisa"


Sikuwajibu hata,   nikaondoka zangu tu tulipofika nje,  nilimuuliza yule mwenzangu:



"Nancy kwani ninaitiwa nini na General?


"Kiukweli sijui,   na mimi tayari nimesha maliza kazi yangu,   hivyo nakuacha nikapumzike sasa,  haya  usiku mwema Laura "


"Sawa usiku mwema Nancy"


Nilijiongelea mwenyewe  kimoyo moyo:


"Mmh! Mimi tena mzee wa majanga,   haya sijui nimefanya nini tena na leo,   na sijui naenda kupewa adhabu gani huko tena ehe!  Mungu  nisaidie"




Endelea kufuatilia...............

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi

kama kawaida,  niliamka kwa kujitahidi sana kuhakikisha sishindwi,  muda wa kwenda pared ulipofika tulienda vikosi vyote,   hapo tukafanya pared  kisha ukaguzi ukafika,  alikuwa tayari General yupo mbele kabisa,   tayari kwa kufanya ukaguzi wa vikosi,  alianza kukagua kikosi kimoja hadi kingine,  akafika kwenye kikosi namba saba ambacho nipo mimi,  alikagua mmoja mmoja hadi kufikia kwangu,  aliponifikia mimi akasimama na kunitizama,   kisha aliendelea  na ukaguzi.

Baada ya ukaguzi kukamilika,   tuliruhusiwa kwenda kupata breakfast chap chap,  dakika kadhaa wakati tunapata breakfast,  nilijikuta nimeshika kikombe cha chai kinamoto kweli kweli   hata kunywa nishida,   nilipiga funda mbili tuu,   kengere ikapigwa hapo hapo,  ikabidi niache kunywa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-04-kulipokucha-tena-alfajiri-namapema-filimbi-ilipigwa-wote-t

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

890
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

290
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest