na kumpigia kwani nilikuwa nimemiss sana, simu iliita kwa muda sana, kisha ilikuja kupokelewa na mdada:
"Hallow"
"Hallow samahani naweza kuongea na Ethane?
"Wewe ninani yake"
"Mimi nimpenzi wake"
Yule dada alicheka na kisha akaniambia:
"Ooh! Pole kipenzi ndio unajidanganya hivyo eeh!?
Kiukweli nilichukia na kukata simu kwa hasira sana huwa nimwepesi wa kupaniki, nilichukia hadi nilikuwa natetemeka yaani, nilianza kulia na kujilaumu kwanini nilikurupuka kuingia kwenye mahusiano na mtu nisiemjua vizuri mimi, nilichukia sana, baadae nikiwa nimejipumzisha huku ninalia tuu simu yangu iliita tena, kutizama ninamba ya General Ethane, sikutaka kuipokea kabisa kwani sikutaka kuumia tena, hivyo nikaizima kabisa simu na kuiweka kwenye box lake, kabla ya kulala shangazi huwa anapenda kuja kunitizama, akaniukuta nipo kwenye hali mbaya kabisa yaani nalia sana, akanikumbatia na kuniuliza:
"Laura kipenzi changu nini tena tulikuwa nafuraha sio muda?
Nilishindwa hata kumjibu nilikuwa nalia tuu, akaniuliza:
"Simu yako ipo wapi kipenzi"
Nikamuonyesha ipo kwenye box, na kisha aliichukua na kuiwasha, akakuta msg kibao zinaingia zilikuwa zinasema:
"Kama ni Laura tafadhari usichukie, hawa watu hupenda utani tupo nao hapa kambini, tafadhari washa simu mimi Ethane nimekumis sana Laura"
Kisha shangazi akanionyesha hiyo msg. na kuniambia:
"Kwani humuamini mpenzi wako kipenzi?
"Namuamini ila mama simjui sana, ndio naanza kumzoea kwa mazingira ya nje, lakini kambini tulipotoka yuko vizuri hana tabia mbaya"
"Ok basi kama kweli unampenda usiogope kitu pambania penzi lako kipenzi changu, na usitake kujua ya nyuma kumuhusu angalia mwendelezo wa mapenzi yenu tuu sawa kipenzi changu, haya chukua simu mpigie sasa hivi"
"Sawa mama"
Nilichukua simu na kumpigia kisha General alipokea nakusema:
"Hallow"
"Hallow"
"Laura?
"Ndio nimimi Ethane"
"Samahani kwa kilichotokea mpenzi wangu, ni wenzangu huwa tunataniana hapa, nisamehe haitojirudia tena"
"Sawa"
Shangazi alitabasam na kunibusu kwenye paji la uso, kisha akanipungia mkono na kwenda zake chumbani kwake, nilibaki pekeangu niongee kwa uhuru:
"Vipi niambie kuhusu mjomba, nini kilitokea amekuelewa?
"Shangazi yangu kanisaidia kuongea nae yameisha sasa, mjomba wangu huwa anahasira sana, ila usijari yameisha sasa"
"Nashukuru mungu kwa hilo, haya niambie mpenzi wangu, maana ninahamu ya kuwa nawewe tuu muda mwingi"
Nilitabasam kusikia hivyo na kisha nilimjibu:
"Unishindi mimi kiukweli siwezi kukaa mbali nawewe, mpenzi tafadhari mimi utani wa namna hiyo mlioniletea leo siuwezi, mtakuja kuniua mimi nakuambia usijiludie tena"
"Sawa mpenzi wangu"
"Ninakupenda sana Ethane wangu"
"Ninakupenda pia Laura kipenzi, umeisha lala tayaru"
"Nipo chumbani kwangu tayari kwa kulala vipi wewe"
"Nipo kitandani pia"
"Ehee! Niambie ulipajuaje nyumbani kwetu, hadi ukaleta kadi getini kwa mlinzi"
"Pale mlipoondoka tuu, nilichukua jukumu la kuwafuatilia hadi nyumbani kwenu, kiukweli niliwaza sana kukupoteza, niogopa sana mpenzi wangu, kesho nitakuja hadi maeneo ya hapo kwenu, nikuchukue uje hadi kambini kwetu upaone ninapoishi sawa"
"Sawa"
"Vizuri umechoka sana hivyo nikuache upumzike, tutaongea vitu vingi sana ukija kunitembelea sawa"
"Sawa haya by"
"By mpenzi wangu "
Kisha tulikata simu na kisha nililala usingizi, maana nimechoka sana kwaajili safari ndefu, kulikucha tena siku nyingine alfajiri niliamka na kujiandaa, mjomba alikuwa hayupo, hivyo nilimuomba shangazi, shangazi aliniruhusu General akaja kunipitia tukaenda kambini kwao, alinitambulisha kwa baadhi ya marafiki zake anaokaa nao hapo kambini, kisha alinipeleka kwenye nyumba anayokaa alinifungulia mlango na kunikaribisha:
"Karibu ndani mpenzi wangu"
"Asante"
Nikaingia ninyumba ndogo lakini ninzuri sana, alikuwa kaipamba vizuri nisafi kama anaishi na mwanamke, nilipoingia nikakaa kwenye kochi akaniambia:
"Laura jisikie upo nyumbani, kuwa huru nikwako, japo nikinyumba kidogo sana, lakini siku moja nitakupeleka dodoma kwenye nyumba kubwa, na ukamuone mamaangu mzazi, atakupokea vizuri sana na atakupa vitu vizuri utafurahia mwenyewe, anaupendo sana anatamani mno nimpelekee mke wangu, hivyo jiandae"
Nilibaki nikitabasam huku nikimtizama kwa macho ya huba akanisogelea na kunipapasa uso na kuniambia:
"Laura unajua wewe nimrembo sana, nakupenda mno"
Alizidi kunichanganya kiukweli nilibaki nikiona aibu kwani ndio uhusiano wangu wakwanza naenda kuuanza ninaaibu sana hata kumtizama usoni namuonea aibu General akaniambia:
"Nikupe kinywaji gani mpenzi kunasoda na juice?
"Usijali nipe maji tu"
"Hapana baby, nakuletea juice yamatunda"
Kisha aliinuka na kwenda kunichukulia juice akaniletea, aliwasha TV hapo huku tunatizama muvi na huku tunazungumza, wakati tumekaa hapo tunapiga story General alinisogelea karibu na kuanza kunipapasa, kisha alinisogerea karibu na kuanza kunichum mdomoni taratibu taratibu, kisha akaanza kunila romance nilijikuta nalegea taratibu akanilaza chali, na yeye alikuja kwa juu na kuendelea kuninyonya shingoni, mwisho alishuka hadi kwenye chuchu, akazishika vizuri na kuanza kuzinyonya vizuri hadi nilihisi mkojo unataka kunitoka, nilikuwa nimejiachia nipo tayari kabisa kwa chochote, akaanza kunivua suluali yangu taratibu huku akininyinya chuchu, wakati yunaendelea hivyo mala mlango uligongwa.
Je ninani anagonga mlango wa General wakati huo Laura yupo chini na tayari kwa kilakitu nini kitatokea endelea kufuatilia.........
.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni