Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 05  Hatimae nilifika  kwa General
Gonga94 · Stories

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
,  nikagonga mlango,   nakisha  niliitikiwa:

"Ingia"

Nikafungua mlango na kuingia,  kisha nilimkuta muhimu General akiwa kakaa na  raptop take yupo bize kidogo mwenyewe nikamuambia:

"Muheshimiwa,  nimeambiwa unaniita"

"Ndio nimekuita rafiki yangu,  sasa hivi ni mtu na rafiki yake,   tafadhari niite Ethane, usiniite  muheshimiwa sawa"

Aliongea huku macho bize  kwenye kazi aliyokuwa anaifanya,   kwenye raptop yake,   nilitabasam tuu  lakini niliendelea kusimama hapo,   General akaniambia:

"Kaa basi kwenye kiti"

Nilikaa na kisha akaniambia:

"Laura sijakuona kwenye chakula,   vipi  umekula lakini?

"Ndio nimekula"

Nilimjibu  kwa sauti yangu ya upole,   huku nikiwa bado  sina uhakika nae,   nilikuwa namuogopa bado,   japo sio sana kama mwanzo,  aliendelea kuniambia :

"Laura natamani kukujua,   unaweza kuniambia kuhusu wewe"

"Kwanini muheshimiwa"

"Aah! Hapana usiniite muheshimiwa  bwana,  naitwa Ethane,  na kingine kwani nivibaya mtu kumjua rafiki yake?

Nilitabasam tuu kisha nilimjibu:

"Hapana"

"Basi niambie namimi nitakuambia"

"Ok   sawa,  mimi naitwa Laura Lewis nimtoto wakwanza na wamwisho katika familia ya Mr na Mrs Lewis,    ambayo inapatokana mkoa wa dar essalam,    wilaya ya ilala maeneo ya tabata ,   nilimaliza elimu yangu ya secondary mwaka jana,   shule ya  kigurunyembe mkoani morogoro,   nazani umenijua au bado"

"No!  Bado bwana,  hujaniambia unapenda nini,  marafiki zako and everything,  si tayari mimi na wewe nimarafiki,  niambie basi"

"Mmh! Haya mimi napenda kusafiri,   rangi yangu ni blue,   chakula napenda ugali samaki,   kuhusu marafiki sina marafiki kiukweli"

"Mimi si nirafiki yako tayari au hutaki"

Nilitabasam tuu sikumjibu kitu, kisha aliiweka laptop yake pembeni na kuniambia:

"Ngoja nikuambie kuhusu mimi sasa,  mimi naitwa Ethane Deogratias,  ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wawili wa mzee Deogratias,  babayangu mzee Deogratias aliaga dunia miaka kumi iliyo pita,   nikiwa bado kijana mdogo,  kabra ya kuaga dunia alikuwa mkuu wa mkoa mstaafu mkoani dodoma,   mpaka leo hii mama yangu yupo mkoani dodoma,   kwani tulisha weka mizizi yetu huko dodoma,  mimi kabila langu ni muhehe,  nina mdogoangu mmoja tu wa kike,   ambae kwa sasa anaishi Canada,    aliolewa huko na mzungu,  namimi ninaishi dodoma na mamaangu,  bado sijaoa,   sina marafiki pia,   ila kwa sasa ninae Laura,  rangi yangu  ni nyeupe,    napenda ugali na nyama,   nakuomba uwe rafiki yangu usiniogope,

Nilimpa pole kwa kumpoteza babaake,    kisha nikamuangalia,   alafu nikajiku natabasam  na kumuitikia,  kisha nilimuuliza:

"Mbona umenichagua mimi,  niwe rafiki yako kwanini?

"Nitakuambia  Laura,  ila sio leo"

"Mmh!  Haya sawa,  na kuhusu mahusiano yako boyfriend  and girlfriend,   maana kwa umli tayari wewe nimtu mzima, hujaniambia kuhusu hilo"

Alikaa kimya kwa muda kidogo hadi niliogopa,   kisha alinijibu :

"Naomba nahilo nalo niweke kiporo, nitakujibu  ila sio leo,  vipi  utakuwa umechoka,   ukapumzike kesho mapema  mazoezi,  nashukuru kwa kampani yako  rafiki yangu"

"Sawa,  usiku mwema na kwako"

Kisha nilisimama na kutaka kuondoka,  aliinika General na kuniita:

"Laura!

Kisha alinisogelea hadi nilipokuwa,  akaniambia:

"Naweza kuku kumbatia"

Huwezi amini nilikuwa naogopa sana,   kwani sijamzoea bado,  nikaanza kujisemea kimoyo moyo:

"Mmh! Mbona anakuja kwa kasi hivi"

Kwakuwa alikuwa tayari mbele yangu,  na yupo tayari kwa hug,  niliona  nisionekane mshamba nilimuambia:

"Unaweza,  kwanini isiwezekane"

Kisha alinikumbatia,  kiukweli sijui alinifanya nini,  nilijikuta ghafla mapigo yangu ya moyo yanadunda  kwa kasi,  niliamua  kumsukuma  kuhofia asije akagundua,  nikafungua mlango na kuondoka mbio, kwenda bwenini,  nilipo fika mlangoni,   nilikutana na mkuu wa kikosi  changu,  akaniuliza:

"Umetoka wapi?

Niliona nikimuambia kuwa nilikuwa kwa General,   sijui atanifikiliaje,  nahivi  muda ulikuwa umeenda sana hivyo niliona nimdanganye, kwa kumuambia:

"Nilikuwa  nafanya mazoezi mwenyewe mkuu"

Kisha nilifungua mlango na kuingia ndani,  mkuu wetu wa kikosi alibaki kama kapigwa na butwaa,   kwani inaonyesha wazi kabisa hakuniamini nilicho muambia kabisa...

Je nini kitafuata ??

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 05 Hatimae nilifika  kwa General

,  nikagonga mlango,   nakisha  niliitikiwa:

"Ingia"

Nikafungua mlango na kuingia,  kisha nilimkuta muhimu General akiwa kakaa na  raptop take yupo bize kidogo mwenyewe nikamuambia:

"Muheshimiwa,  nimeambiwa unaniita"

"Ndio nimekuita rafiki yangu,  sasa hivi ni mtu na rafiki yake,   tafadhari niite Ethane, usiniite  muheshimiwa sawa"

Aliongea huku macho bize  kwenye kazi aliyokuwa anaifanya,   kwenye raptop yake,   nilitabasam tuu  lakini niliendelea kusimama hapo,   General akaniambia:

"Kaa basi kwenye kiti"

Nilikaa na kisha akaniambia:

"Laura sijakuona kwenye chakula,   vipi  umekula lakini?

"Ndio nimekula"

Nilimjibu  kwa sauti yangu ya upole,   huku nikiwa bado  sina uhakika nae,   nilikuwa namuogopa bado,   japo sio sana kama mwanzo,  aliendelea kuniambia :

"Laura natamani kukujua,   unaweza kuniambia kuhusu wewe"

"Kwanini muheshimiwa"

"Aah!...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya-05-hatimae-nilifika-kwa-general

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi general-sili-silali-juu-yako-sehemu-ya
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 13    Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 13 Nilikurupuka na kuinuka nikaifunga suruali yangu na kukaa kisha General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO         SEHEMU YA 09    Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 09 Kisha niliinuka taratibu na kuondoka zangu
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 15
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 15
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO       SEHEMU YA 08  Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI  SILALI   JUU YAKO SEHEMU YA 08 Nilimtizama sana nilikuwa natamani niipore simu,  lakini nikajisemea kama kweli
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 20
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 12   Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 12 Nilipoweka vocha  kisha nilienda chumbani kwangu,  nikachukua kadi ya General
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO  SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 14
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO     SEHEMU YA 10  Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 10 Nilipo mkumbatia kwa nyuma alishtuka na kunishika mikono
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 19
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 04  Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 04 Kulipokucha tena alfajiri namapema,   filimbi ilipigwa,  wote tuliamka na kwenda mazoezi
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO    SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 17 na 18 0742133100
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 03  Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 03 Walipo fika Catrine alikuwa chini na mimi nilikuwa juu nampiga Catrine
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO   SEHEMU YA 02  Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
GENERAL SILI SILALI JUU YAKO SEHEMU YA 02 Asikuambie mtu nilijisikia vibaya kweli kufokewa mbele
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest