Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

MAMA WEEEE UTANICHANA???? ???????????????? Sehemu ya 18

1st Jun, 2025 Views 78

????MAMA WEEEE UTANICHANA????
????????????????

Sehemu ya 18

???? Alifanya ivi...????

Aliipuliza simu kwa mdomo wake kule zai akawa anasikia upepo tu.

" Zai anasema.
MPENZI MPENZI MPENZI.

" Simu ikakatwa na akamtumia sms pale pale.

( Achana na mume wa mtu)

" Boss alishangaa na akamuuliza.

" Mbona unamtumia sms ivyo.

" Nishakupenda mazima nataka dogo aachie ngazi atoe wazo la kuwa na wewe.

( Upande wa zai analia anatafakari sms)

" My ata kama zai namuacha lakini si ivi ghafra nitamuumiza.

( Sasa boss mkojo umemshika akaenda chooni kukojoa hapo mama mdogo wa zai akaandika sms kwa zai kupitia simu ya boss)

" Wewe kumbe umeachana na mumeo na mumeo ni mfanyakazi wangu futa namba yangu kwenye simu yako.

( Zai anasoma anazidi Kulia nani katoa hii taharifa ndio anawaza muda huo huo zai anavaa nguo anaita uba nia aende kwa mama yake mdogo kumwambia aya majanga yaliyomkuta na bahati mbaya kwa zai amekuja deleva yule yule ambaye gali yake unakutana na mawaidha zai ana mawazo yake uku mawaidha yanasema)

" Naam sisi Wanaume bhana Baadhi yetu ifike mahali tubadilike kwa karn hizi inabidi tuambizane ukweli tu kwa usalama wa maisha ya wengine

Yaani umemuoa Mwanamke kwa tadhima ya wazazi wake huku hali yako duni kimaisha maskini binti wawatu akawa hana tamaa akidai Kama ni pesa mutatengenza wote

Mumeishi nyote akikuvumilia kwa uchache wakipato chako gafla unafanikiwa maisha yako Alhmdulih umepanda kimaisha tafauti na ulivyo kuwa mwanzo

Badala yakumuheshimu mke wako kwani kila nyuma ya mafanikio ya mwanaume Mwanamke yupo nyuma ghafla unabadilika sasa haha

Ndio wanasema uhalisia Wa Mtu huweze ujua akiwa maskini ngoja apate pesa Ndio uwanze kumsifu manake amefaulu alikuwa hazini atatafuta mchepuku azini naye kibri kinampanda kisa ana pesa

Utamsikia Sasa Ndio Akasema mke mmoja hatoshi kisa ana vipene vyake ywawaza kuongenza mke wakati nyumba kapanga haha tena akiambiwa hashauriki kabisaa atakachosema yeye Ndio kifatwe duh

Ndio ukakuta baadhi yawanawake hawataki kabisa kuolewa na Mume aliyechini kiuchumi na Baadhi yawanaume wanalalamika mabinti wanapenda pesa Sio kwamba mabinti wote wana tamaa laa hash tatizo wanaume wengine wakipata huwanza kuzisaliti ndoa zao

Mpende Sana Mwanamke aliyekukubali kwa hali yako ya maisha na ukifanikiwa mthamini kwani huenda mafanikio yako yametokana na ushauri wake yeye

Kuna watu walikuwa wanatafuta kazi miaka yote gafla ameoa amefanikiwa Katika maisha amepata kazi Sio kila Mwanamke unayemuona ni chomba cha starehe wengine ni chomba cha mafanikio waheshimu Sana wanawake.

" Zai akawa analia kwenye gali deleva alidhani mawaidha yamemgusa kumbe analilia penzi lake.

" Dada mbona unalia ivyo?

" Acha tu kaka yangu wewe hendesha gali nifike tu.

" Dada aya mawaidha kiukweli wanaume atuyapendi kwa sababu yanagusa tabia zetu baazi ila nashangaa wewe yanakuliza kwanini unalia dada?.

" Mawaidha mazuri ila mimi kinaniliza chengine kaka twende tu usiwaze kuhusu mimi.

( Wakati zai anaenda kwa mama yake mdogo uku boss akaondoka uku anatafakari atafanyaje zai awe sawa na mama mdogo wa zai alifuta sms aliyomwandikia zai pamoja na namba kabisa kafuta boss anaondoka ajui kuwa ata namba ya zai kwenye simu yake aipo)

Zai anafika kwa mama yake mdogo wanakutana zai analia uku anamuonyesha sms mama yake mdogo yani hapa ndio waswahiri wanasema usilo lijua sawa na usiku wa giza na mama mdogo wa zai akawa anasema,

" Mwanangu kwa sasa ivi usimpigie kwanza kama wiki ivi hasira zimpungue hili ukimpigia mutaongea vizuri Jamani kuna watu wabaya kweli.

( Mama mdogo wa zai anashika simu ya zai anafuta sms pamoja na namba yani kashapenda mazima anapigana vita ya peke yake kimya kimya)

Akamuwekea maji chooni zai akaoge atulize mawazo.

" Zai anaona kama upendo anapewa na mama yake mdogo kumbe anazugwa Basi akaoga akarudi akalala ukumbini,

Sasa mama yake mdogo akaenda tandika sokoni kununua mboga aje ampikie mwanawe,

Kumbe nyuma uku boss akawa anakuja kumuuliza kuwa namba ya zai mbona sioni kwenye simu sasa boss anagonga mlango na anayefungua ni zai,

Wanakutana USO kwa USO zai akapiga magoti machozi yanamtoka anashindwa kusema kitu boss anashangaa anajiuliza maswali apati jibu ila akamnyanyua na akamkumbatia akamwambia,

" Zai nakupenda sana nilikuwa nakutania tu je unanipenda zai?.

" Ndio nakupenda sana.

" Sasa mama mdogo wa zai anarudi anakuta gali nje akaingia ndani moja kwa moja anakuta zai kakumbatiwa na anasikia neno lile.

" Ndio nakupenda sana.

" Mama mdogo wa zai roho ikamuuma akafanya kituko cha aibu sana,

Dah yani...

ITAENDELEA...JUMATANO
PATA FULL KWA TSH 1000
NO YA MALIPO NI 0657 774735
JINA MKEGANI MPONDA
MTANDAO NI TIGO.
   

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

side chick episode 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

SIDE CHICK EPisode 2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY???15

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 18

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 17

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 16

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 8

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CAREEN Sehemu ya 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

RATIFA Sehemu ya 32

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA? Sehemu 13.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP2

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

JINA LANGU SHAMSA EP1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY ???11

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

BOYCHILD PART 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 4.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DRAMA OF LOVE part 3

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 29

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

LOVE Part 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 28

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NAWASHWAA Sehemu nne.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 26

mrindia rewards 100 Comments 0
 

NJERI part 25

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest