MIMBA YA DHARURA* *_____________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA SITA*
Kabir alinyamaza, alimuangalia bila hata kupepesa macho. Midomo yake ilifunguka lakini hakutamka neno.
Kabir alinyanyuka kitandani, akikaa kitabdani huku akimshika mkono Nadia. “Nadia… unasema una mtoto?
" Ndio mimi ni mama.
" Ni mtoto wa Jayden?
Nadia alitingisha kichwa akimaanisha hapana. Kabir alikaa vizuri huku akiwa kamkazoa macho.
" Siku ile kwenye kile kibanda cha Wamasai ukipanda mbegu kwenye tumbo langu la uzazi.....
Kabir alimuangalia usoni kama vile umaskini anachokisikia, kuna muda alionekana kutaka kutabasamu lakini tabasamu liligoma kuchomoka.
" Kwahiyo mimi na wewe tuna mtoto?
" Ndio mtoto wa kiume anakaribia mwaka sasa.
"Kwa nini huniambii mapema? Umekuwa ukipitia maisha haya peke yako wakati mimi nipo?”
" Ningekwambiaje ikiwa tume Kutana kwenye wakati mgumu ambao ulinivunja moyo.
Niliona kama hautaweza kunipa nafasi.
Kabir akimvuta na kumkumbatia kwa nguvu.
Nadia akiendelea kuongea
"nilipojua nina ujamzito nilihisi dunia nzima imenigeukia. Nilizomewa, nilikejeliwa, kila mtu aliniona mchafu. Lakini nilijipa moyo nikasema nitaishi kwa ajili ya mwanangu. Nitamlinda, nitamlea, hata kama dunia yote itanipinga. Lakini Kabir, nilijua siku moja ukweli utaujua. Ndio maana leo nimeamua kukuambia
Machozi yaliwatoka taratibu.
“Mtoto wetu anaitwa Tawakal. Kabir yeye ndiye damu yako. Yeye ndiye mtoto wako , wewe ndio baba Tawakal
" Kwanini siku zote huku niambia Nadia?
"Niliamua kubaki kimya kwa sababu niliona kama haungeweza kukubaliana na mimi , Nilihofia nitakukatisha ndoto zako. Lakini moyo wangu ulikuwa mzito sana kuficha siri hii. Kabir, sasa umejua.
“Mungu wangu kwa siku zote hizo nimekuwa nikiteseka nikidhani nimekupoteza, kumbe nilipoteza pia damu yangu mwenyewe. Nimekuwa baba bila hata kujua. Nadia, kwanini Mungu alinificha jambo hili muda wote?”
Nadia alilia huku akiegemea kifuani mwake. Kabir naye machozi yakamtoka,
“Nadia ahadi yangu ni moja, Kuanzia sasa, sitawaacha nyote wawili. Nataka kumuona Tawakal, nataka nimkumbatie, nataka ajue ana baba ambaye atapigana kwa ajili yake na mamake.”
“Kabir… unanimaanisha kweli?”
“Ndio, Nadia,” Kabir akajibu kwa sauti yenye msisitizo.
“Nimevumilia mengi, lakini hii lawewe na mtoto wangu ndiyo nafasi yangu ya pili. Na siwezi kuiacha ipotee.
Nadia akajikuta akitabasamu Kwa mara ya kwanza alihisi mzigo mzito umeondoka mabegani mwake. Siri iliyomtesa kwa muda mrefu sasa ilikuwa imefunguliwa.
" Mpenzi sitaki tupotezi muda hapa naomba tuondoke nikamuone mtoto wangu.
Walitoka pale kitandani wakioga kisha kuvaa nguo zao na kuondoka pale hotelini na kwenda nyumbani kwa Nadia.
Walipofika walimkuta Tawakal amelala.
Waliongozana mpaka chumbani.
Kabir alipomuona mtoto wao Kalala kwa amani aliachia tabasamu na kwenda kitandani alijikaza pembeni ya Tawakal alimshika kichwa chake na kupaza nywele zake, alishika maajabu yake .
" Nadia kweli huyu ni mtoto wangu. Haina hata haja ya kipimo cha dna yani ni mimi mtupu.
Nadia alimuangalia jinsi alivyokuwa na furaha akabaki anatabasamu.
" Nadia asante sana kwa kujitakia mtoto mzuri.
Hii ndio familia yangu ya kweli .
Usiku ule kabir hakutaka kuondoka nyumbani kwa Nadia.
Alinyanyuka pale kitandani akamfuata Nadia pale alipokuwa kasimama alitingisha mikono yake kwenye kiuno cha Nadia kisha akavuta kwake na kumkumbatia.
Waliangaliana usoni kila mtu akiwa na tabasamu.
Kabir alimpiga nusu kwenye paji la uso huku akiendelea kushukuru .
" Asante sana mpenzi. Nadia naomba siku ya leo nilale hapa na nyie.
" Vipi kuhusu mke wako, hatakuwa na wasiwasi?
" Niliahantumia msg nimemueleza sitarudi.
" Basi sawa.
" Nataka kesho mwanangu akiamka anione baba yake nikiwa nimelala pembeni yake, nina shauku kubwa ya kuona macho mazuri ya mtoto wangu.
Nadia alimsaidia kabir kupunguza nguo nmbasda ya hapo waliangusha kitandani na huna lilianza upya . Baada ya hapo walipitiwa na usingizi.
Kulipokucha asubuhi kabir aliamka mapema sana alikuwa pembeni ya wapendwa wake . Alimuangalia Tawakal alivyokuwa akijinyoosha. Tabasamu hazikukauka usoni mwake.
Hatimae Tawakal alifumbua macho na kukutana macho kwa macho na baba yake. Kabir hakufanya hajuzi alimnyanyua mtoto wake na kumpakata.
" Tawakal baba yako nipo hapa. Aliongea kabir kana kwamba Tawakal alikuwa anamuelewa.
Offer offer offer
Soma yote kwa sh 800
Whatsp 0784468229
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni