"Ngo ngo ngo!" heri liligongwa kama mara tatu hivi.
"Msiuuuuuπ huyo nani mshamba anagonga geti wakati kuna switch ya kengele pale getini" niliongea kwa hasira huku nikielekea getini.
Nilipofungua geti uso kwa uso nikakutana na kijana mrefu, mchafu wa ngozi mpaka mavazi aliyovaa kidogo nikaogopa na kuhisi ni kichaa. "Una shida gani?" Nilimuuliza.
"Samahani dada kama mna Makopo naomba unisaidie na mimi nipate ridhiki" aliongea kwa unyonge na kunifanya nipate huruma, haya ingia uzunguke nyuma ya nyumba kuna pipa la taka." Nilimwambia, akavuka geri na kuingia ndani, wakati anatembea kuelekea nyuma ya nyumba mimi nilikuwa nyuma yake namtazama.
"πMh huyu kijana sijui kakosa nini, Dah ni mzuri sana kwanza ana urefu wa kupendeza na anaonekana akipata maisha mazuri ni bonge la HB" nilianza kujisemea kimoyo moyo huku nikimtathimini kijana yule. Kwa kweli Nilijikuta nimeanza kumpenda.
Nikaamua kumfuata kule nyuma ya nyumba lilipo pipa la taka, "umepata pata angalau kijana wangu?" Nilimuuliza. "Hata haya mama yanatosha nikipata japo buku la msosi namshukuru Mungu. " Alisema yule kijana. Nikajikuta nikimtizama machoni bila kupepesa, naye alifanya vivyo hivyo lakini macho yake yalijaa utando wa machozi.
Pasi na kutegemea nikajikuta mkono wangu umeshika kidevu chake ambacho kilikuwa na ndevu chake, nikajikuta nimizichezesa kwa kucha zangu ndefu. "Unajua wewe ni kijana mzuri sana, wewe ni HB na unaonekana hata mambo ya kitandani unayaweza" nilishtukia nimeropoka.
"Ahsante mama acha niende nikauze kwanza maana nina njaa" alisema yule kijana. "Napana hebu twende kwanza ndani nikakupatie chochote kitu" nilimwambia. Nikapngozana naye hadi ndani, kulikuwa na chakula ambacho kilibaki asubuhi wakati nilipokuwa namuandalia mume wangu aende kazini kwani yeye ni mwanajeshi hivyo asubuhi anatakiwa apate msosi wa maana.
Basi wakati yule kijana wawatu anakula pale sebuleni mimi nikaelekea chumbani na kumpigia simu mume wangu kwamba anakuja saa ngapi, lengo langu nilitaka kufanya mapenzi na yule kijana lakini sikujua namna ya kumshawishi, mume wangu alidai kuwa atarudi saa mbili usiku, hapo nikasema yes ndio vizuri huyu kijana anikamue kisawasawaa lakini nitamuombaje mapenzi?" Hapo nikawa nawaza, baada ya sekunde kadhaa nikapata jibu nika.......
R.B.T.M #Itaendelea.