Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA 🙈 ♥️ ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️  SEHEM YA 09
Gonga94 · Stories

NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA 🙈 ♥️ ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ SEHEM YA 09

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Alex alitulia pale kwa Dakk 20 zaidi
Kisha akasogea Mpaka kwenye picha alichukua Zile Picha Na Kutimka Eneo lilee

Alex Alivyofika Kweny Makazi yake Alitoa Zile Picha Kutazama Trisha ni nanii ??

Alex Alitoa Macho asiamin macho yake Bint alie mpamia Hasubuhi Ndie Bint anaetakiwa Kumuua

Na Hapo Alex Alikumbuka Vizur Kuhusu mtu alieleta Picha Zile hapo Aliwaza Kati ya Yule Aliekua akiwapiga Picha Kwa kujificha na aliekua akimpga Picha wakiwa Wote Ni nani aliemuuza Bint??

Alikumbuka Siku ya Kwanza kumzimsha Yule Bint mtu aliempgia Simu Akaja
Hapo ndo Alikumbuka ni yule Jamaa waliekuwa Wanapiga Pic Wote
Alimsave (FUTURE HUSBAND)

NA Ndie Alieleta Picha Zile Pale
Alex Alikumbuka Vizur Muonekano wa Muddy Ndie Aliemuona Sehem Zote 3
"Kwahy Huyu Ni askar Asiye Muadilifu Sàsa Anamuuuza HADI Mpenz wake Duh"

Alex Alikua Anaongea mwenyew akistaajabu mauza uza ya Wapenz wale
"Na yule aliokuwa anawapiga Picha ni nani na Kwanini??"

Alex aliendelea Kujiuliza Maswali ambayo hakuwepo wa Kumjibu

****************************,************
Swala La Trisha Kuambiwa Picha Zinapelekwa Ukweni kwake Ilikua Furaha Sanaa KWA Upande Wake Alimpgia Ray Akampa Habar Hizo
Dada ake pia Alimpa Habr njema

Lakni si Ray wala Dada ake Hakuna Aliefurahishwa na Taarifa zile Wote Walikua wanajua Pale ,KWA Muddy hakuna Muoaj

************************************************************

Asubuh Alex alipanga Kuamkia Kwao Trisha Ili Kujua Anaanzia Wapi Kazi yake Na Kumsoma Bint huyo

Aizack nae Alikua ameshapajua kwao Trisha Asubh Hiyo alifika Kumtafuta Trisha Kwakua Aizack hakutaka Kujulikana Kama Mtu anefatilia Hiyo kesi

"Dada Habari"
"Poa tu"

"Samahani HIVI Naweza pata Dalali hapa Mtaan Kwenu wa Vyombo vya Moto"

Aizack alisimama sehem KWA Muda MREFU Sana Akiwa anawinda Trisha Kupita Njia Hiyo

Subira yake Ilizaa Matunda Trisha Alikua anatoka Kwenda mishe Mishe Zake Na akakutana Na Aizack

Aizack alijifanya anatafuta Dalali Ili anunue Piki Piki

"Mmh madalali Wapo ILa Ni huku mbelee Twende na mimi naelekea Njia Hiyo hiyo "
Trisha alitoka Akiongozana Na Aizack bila Kujua haswa Yeye Ndie Target na Sio Dalali

Wakat Huo Alex Alikua Akiingia Huo Huo Mtaa KWA Mbelee Aliona Trisha Na Jamaa Mmoja Wakiongozana Huku wanaongea

"Kuna Hii Aina Ya Piki Piki Ndo naitaj HIVI ulisha wahi Kuiona Mahara Popote"
Aizack aliongea Huku Akitoa Picha Ili kumuonesha Trisha Ni muda Huo Huo Alex Alifika Pale

Kitendo cha Trisha mumuona Alex Kilihamisha Kabisa Umakini wa Kuangalia ile Picha

"Hey We Mr Handsome"
Trisha alianza Kumshobokea Alex na Kusahau Habar za Aizack

Alex alimkumbuka Vizur Aizack Ndie Mtu alie Muona Akiwapiga picha Trisha Alipo Kuwa na Mpenzi wake

Alex hakuongea Kitu alimvuta Mkono Trisha Na Kwenda Nae Pembeni
Aizack hakuelewa Yule Jamaa ni nani Na Kwanini ameingia Kumtoa Trisha Pale.

Itaendeleaaa...
NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA 🙈 ♥️ ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒊𝒎𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊
🔄🔄🔄🔄🔄🔄🔄🔄🔄🔄
:::

Full 1000

SEHEM YA 10

Alex alimvuta Trisha Mpaka pembeni Alikua Kapaki Piki Piki yake Akampakia Na Kuondoka KWA Kasi

Trisha Hakujua Hata Anako pelekwa Ni wapi Lakin Alinuamin Alex bila Hata Kujua Ni nani Piki Piki ilitembea Dakk Nyingi
Hapo Trisha Alianza Kuingia Na Wasi Wasi Sehem waliyo kuwa wanaelekea ni Sehem ambayo hakukua na Muingiliano mkubwa wa Watu

Kila Walivyozidi Kusogea Mbele Nawatu walizidi Kupungua
"We kaka Tunaenda wapii" Trisha alimuuliza Alex
Hakujibiwa Piki Piki ilikua Mafuta Tu

Alex alikua Amedhamiria Kwenda Kumaliza kazi yake Huko Huko

Trisha Alianza kumpiga magongoni Alex akitaka Asimamishe Piki Piki

Kwa Bahat Mbaya Kitambaa Chake Alichoshika Mkononi Kilianguka Chini huku Piki Piki ikiendelea Kutembea

"Simama Leso Yangu"
Trisha alipiga Kelele
Hazikusaidia Alex alikua Kimyaa

Trisha alijirusha kutoka Juu ya Piki Piki Akaanguka Chini
Ilikua Gafla Sana
Ilisababisha Alex kuyumba Yumba
Aliwah Haraka Kushika Break

Trisha Alikua Chini Miguu yake Haikumpa Support ya Kuinuka
Kimbaa Chake Kilikua Muhim sanaa

Alex alimsogelea
"Kitambaa Changu SIWEZI kukiacha Naomba Unichukulie Tafadhali"

"yaaan wewe unajirusha Kwenye Piki Piki kwa sababu ya Kitambaa"

"Ni Muhimu sana kaka Handsome Nichukulie Kitambaa Changu Huko Nyuma Kimeanguka "

Alex Alirudi Nyuma Kuchukua Hicho Kitambaa

"Yan mi wa Ajabu Kweli Natumwa Naenda Si Natakiwa Kumaliza Kazi hata hapa Hapa aaghaaa!!!"
Alex alienda Kuchukua Kitambaa huku akilalamika

Aliinama Kuchukua Na Kuondoka Kurudi alipo Trisha
Wakati Anampa kile Kitambaa Ndio Alipo staajabu sana
Baada Ya Kuona Ile Leso ni yake

Alikumbuka Siku za nyuma aliwah kumpa mdada aliekua analia Kwenye Kituo cha Daladala

Alex Alirudisha Kumbu Kumbu zake Nyuma Miaka Mingi sanaa
Alipo kuwa Na Mama yake Mzazi
Kitambaa Hicho alikitumia Mama yake Kumfuta Kila anapo Rudi Kutoka Kwenye kuzoa Taka Mitaani alikua akifutwa na Mama yake kwa Kutumia Kitambaa Hicho

Alex alikumbuka mama Yake Ni mtu alietunza Hicho Kitambaa na Kukijali sana

"Mama Si utafute Kitambaa kingine Hichi Naona kimefubaa"

Alex Siku MOJA Alimwambia Mama yake
"Siku moja kwa Kutumia Kitambaa Hichi Hicho Naomba Umfutie Machozi mwanamke Utakaekuja Kumpenda Kuliko mimi mama yako"
"Aah mama Mimi Nakupenda wewe na Nitakufutia wewe Siku Zote za Maisha yañgu Siwezi Kumpenda mwanamke Kuliko wewe mama yangu"

"Ipo Siku utaelewa maneno yangu"
Yalikua Maongez ambayo Alex Alikua anayakumbuka Miaka Mingi sana Kati ya yeye na Mama yake

Akiwa Mbele ya Trisha Alex alishindwa hata kupiga Hatua Alibaki Amesimama Kama mstimu huku Machozi yakitoka
Alimkumbuka sana Mama yake Wakat Huo

Trisha Alibak anamshangaa

"Huyu kaka Anatatizo Gani"
Trisha Alijiuliza Moyoni

Alex Alipiga Goti Alipo kaa Trisha

"Umetoa wap hii leso na Kwanini umetaka Kuumia Kwa Sababu ya Hichi Kitambaa"
Alex kwa Upole Alimuuliza Trisha Maswali yaliyoambatana

"Hichi Kitambaa ni Muhimu sana Kwangu Kuna Mtu alinipa Naamin ipo Siku atakiijia Nami namsubri Hii leso Ni Zaidi Hata Ya Uhai wangu"

Alex aliinuka Akiwa Anatoa Machozi alienda Akapanda Piki Piki yake na Kuondoka Eneo Hilo

"Hee Huyu kaka ni Mjinga Huyu haa sasa Mimi naenda Vipi Nyumbn Jamaniii hata Nauli sina Jamaniii aaah"

Trisha alisimama Akiwa analalama Huku akishuhudia Piki Piki ya Alex ikipotea Kabisa Kwenye macho yake

"Haki Nisije Nikakuona Kwenye maisha Yañgu Yotee We Kaka Ntakufurahisha"

Trisha Aliendelea kulalamika Alitoa Simu yake Ili mpigie Ray Rafiki yake Hata amshauri afanye nini

Akiwa anatafuta Namba anashangaa Mbele Yake Kumuona Mtu Ambae Hakutegemea Kumuona kwa Wakati Ule Pale

Alibak Tu Katoa Jicho Mbele akimtazama huyo mtu

ITAENDELEA
Soma mpaka mwisho kwa offer ya sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA 🙈 ♥️ ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ SEHEM YA 09



Alex alitulia pale kwa Dakk 20 zaidi
Kisha akasogea Mpaka kwenye picha alichukua Zile Picha Na Kutimka Eneo lilee

Alex Alivyofika Kweny Makazi yake Alitoa Zile Picha Kutazama Trisha ni nanii ??

Alex Alitoa Macho asiamin macho yake Bint alie mpamia Hasubuhi Ndie Bint anaetakiwa Kumuua

Na Hapo Alex Alikumbuka Vizur Kuhusu mtu alieleta Picha Zile hapo Aliwaza Kati ya Yule Aliekua akiwapiga Picha Kwa kujificha na aliekua akimpga Picha wakiwa Wote Ni nani aliemuuza Bint??

Alikumbuka Siku ya Kwanza kumzimsha Yule Bint mtu aliempgia Simu Akaja
Hapo ndo Alikumbuka ni yule Jamaa waliekuwa Wanapiga Pic Wote
Alimsave (FUTURE HUSBAND)

NA Ndie...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-jambazi-ila-anayajua-mahaba-sehem-ya-09

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ni-jambazi-ila-anayajua-mahaba-sehem-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

577
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

500
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

228
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

225
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

224
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

140
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

84

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.72K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.55K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.36K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.35K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

“hivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… “ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

“ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema “ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❤️😍❤️😍❤️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, 🥰 nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest