Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14  Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
Gonga94 ยท Stories

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
tuna ukaribu Ivyo haikumchukua muda kupata taarifa zangu zote. Alichokifanya ni kumpigia simu Lily na kumueleza kila kitu kilichonitokea.

Lily alishtuka sana maana Baada ya mimi kumtumia ule ujumbe kuhusu Michael, alijaribu kunipigia mara nyingi sana lakini simu yangu ilikuwa imezimwa. Asijue kuwa mda huo shoga ake nipo kwenye hatari ya kung'olewa jino kwa spana

Basi Lily akamueleza kila kitu, jinsi nilivyokuja Dar es Salaam, nilivyoanza kufanya kazi, jinsi nilivyokutana na Michael, na vile nilivyokuwa nafanya kila kitu kwa ajili ya Michael! Hadi kufika stage ya kufanya kazi ya mlinzi kama mwanaume kwa ajili yake.

Mnajua mpaka Tobias hakuamini kama mtu anaweza kufanya jambo kubwa namna hiyo kwa sababu ya mapenzi. Aliona ni upuuzi lakini hakutaka kusema chochote.

Baada ya kukusanya taarifa za kutosha toka kwa Lily, Tobias alirudi kwa Bishop kumueleza kila kitu alichoambiwa. Akamsimulia alivyosimuliwa na mwisho akamuuliza kama

"sasa utamfanya nini huyu msichana?"

Bishop akajibu "Kama ni ivyo sitamuua wala kumuumiza lakini sitamwachia aondoke"

"Kwanini? Kama hana nia mbaya, kwa nini usimuachie tu?"

"Kwa sababu tayari anajua mengi kuhusu hii nyumba. Anajua tunachofanya hapa ndani. Nikimuachia polisi wanaweza kumtumia ili awaambie kila kitu. Hata kama hakuwa na nia mbaya, siwezi kumuamini tena. Atabaki hapa mpaka mimi mwenyewe niamue cha kumfanya"

"Sawa, basi tufanye nini sasa?"

Bishop akamjibu "Nenda umtoe kwenye selo. Na pia Hatakaa tena getini nina wasiwasi atakimbia, Mpe chumba cha karibu na changu. Nataka niendelee kumchunguza zaidi maana bado simwamini"

"Sawa" Tobias akakubaliana nae

Wakati huo mimi nilikuwa nimechoka kupita maelezo. Machozi yalikua hayatoki tena, nilikaa tu kama zombie Mda sio mrefu Tobias aliingia na kuanza kunifungua kamba za mikono na miguu.

"Mbona unanifungua?" Nilimuuliza

"Bishop kasema nikuachie uende ukaoge,

ubadilishe nguo, upumzike"

"Kwanini sasa? Jana tu alitaka kuniua!"

"Kwa sababu jana alifikiri wewe ni npelelezi. Ila now amejua ukweli, ndiyo maana anakuruhusu utoke"

Nikamuuliza "Inamaanisha naweza kurudi nyumbani?"

"Hapana, Unabaki hapa ila tu kutoka nje ya hii nyumba ndo huruhusiwi"

"Kwanini? Mimi sitaki kukaa hapa tena. Nataka nirudi nyumbani nipumzike"

"Unaweza kupumzika tu hapa. Alafu Sasa ivi tayari unajua mambo mengi kuhusu sisi unadhani Bishop anaweza kukuacha uondoke kirahisi?? Anaogopa polisi wanaweza kukutumia dhidi yake. Kwa hiyo kasema njia salama ni wewe kubaki hapa"

Nikasema "Sawa kwa sababu nilijua hata nikibembeleza Bishop hataniachia. Nilikubali tu.

Baada ya kunitoa kule Tobias akanisindikiza hadi kwenye chumba cha wageni kilicho kua karibu na chumba cha Bishop. Nikaambiwa nikaoge na nikapumzike, pia Nilikuwa nanuka kwa sababu nilikuwa kwenye siku zangu na sikuwa nimevaa chochote.

Basi Nikaingia bafuni moja kwa moja nikaoga. Nilipomaliza, nikakuta nguo zangu zote zimeshaletwa kule chumbani ivyo nikavaa. Ila sikuwa na pads kwa hiyo nikaanza kufikiria kwenda kumtafuta Tobias ili anisaidie.

Lakini kabla sijatoka, mlango ukafunguliwa ghafla bila hata kugongwa. Alikua Bishop kabeba mfuko mweupe mdogo. Akanipatia ule mfuko, nikautazama, ndani kulikuwa na pads. Nikasema "Asante"

lakini hakunijibu. Alikuwa ananitazama tu.

Kwakua sasa wote walijua mimi ni mwanamke, sikuona haja ya kuendelea kujificha. Niliachia nywele zangu na nikavaa gauni langu ambalo nilikua nalo toka mwanzo. Sio siri mimi ni karembo sana sema ndo ivyo sijajizingatia.

Saa ngapi Bishop asianze kuniangalia kuanzia juu hadi chini. Namna alivyonitazama ilionyesha kabisa ananitamani maana Daah! Jicho Alipogundua ananiangalia kupita kiasi, akageuka lilimlegea sio kitoto. Yeye mwenyewe haraka akaondoka kimya bila kusema kitu.

Embu kwanza.....nakuja..........

Maoni

You're not logged in

profile
majario 14 Nov 2025 12:02
weka comment
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily

tuna ukaribu Ivyo haikumchukua muda kupata taarifa zangu zote. Alichokifanya ni kumpigia simu Lily na kumueleza kila kitu kilichonitokea.

Lily alishtuka sana maana Baada ya mimi kumtumia ule ujumbe kuhusu Michael, alijaribu kunipigia mara nyingi sana lakini simu yangu ilikuwa imezimwa. Asijue kuwa mda huo shoga ake nipo kwenye hatari ya kung'olewa jino kwa spana

Basi Lily akamueleza kila kitu, jinsi nilivyokuja Dar es Salaam, nilivyoanza kufanya kazi, jinsi nilivyokutana na Michael, na vile nilivyokuwa nafanya kila kitu kwa ajili ya Michael! Hadi kufika stage ya kufanya kazi ya mlinzi kama mwanaume kwa ajili yake.

Mnajua mpaka Tobias hakuamini kama mtu anaweza...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-chapter-14-kwa-sababu-tobias-alijua-mimi-na-lily

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-chapter
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12  Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12 Basi Akauliza "Mbona hujala?"
NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13  Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9  Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
 *NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ*   Chapter 10  Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 10 Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ*     Chapter 8  Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7  Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.59K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest