Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
Gonga94 Β· Stories

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

Nilikuwa nakumbuka siku ya kwanza nilivyomuona, vile alivyonishika kule chumbani kwake, kila kitu kilikuwa kinanichanganya. Nilijisikia vizuri sana, mpaka nikaanza kutamani. tena anishike vile alivyonishika.

Nilikaa muda mrefu sana kabla sijapata usingizi, ilikuwa ngumu kulala kabisa. Saa tisa usiku, Bishop, Tobias na wale wanaume wengine waliondoka kama kawaida yao.

Kila siku wanaondoka usiku wa manane, wanarudi asubuhi, halafu mchana wanalala. Nilijiuliza sana, kazi gani hii wanayoifanya usiku kila siku? Ila sikuthubutu kuuliza maana nilijua hata nikijaribu kuuliza hawataniambia. Nilichojua ni kwamba wanafanya kazi haramu, basi

Basi Walipoondoka, niliweza kulala kidogo. Nilipoamka kulikua kumekucha kabisa na bado hawakua wamerejea. Nikaamua na kutoka nje ili kupunga hewa safi.

Nilipokuwa nje nikasikia mtu anagonga geti. Mda huo Mlinzi alikuwa ndani anafanya usafi Ivyo nikajisemea acha nifungue mwenyewe.

Si nikafungua bhana! Heeee eti Michael

amesimama palel Sikutarajia kumuona tena

hata kwa bahati mbaya. "Michael, unafanya nini hapa??? si salama, lazima uondoke sasa hivi nilihofia Bishop akimkuta pale anaweza kumdhuru

LakΔ±nΔ± hakutaka kuondoka Kwa hiyo umeamua kuniacha? Mimi kabisa??"

"Kwani si wewe uliyenicheat, unategemea nifanye nini sasa?"

"Kwa hiyo ukicheat kidogo tu hunisamei? Ulisema unanipenda daima, mbona unaonekana kama umesha nisahau?"

Nilimcheka nikasema "Michael, chochote tulichokuwa nacho kimeisha. Ulinidanganya, ukaniumiza! Ulitaka nifanyaje zaidi ya kuendelea na maisha yangu

"No, huwezi kuendelea na maisha, nani atanijali mimi? Mama yangu ni mgonjwa, nahitaji pesa, na wewe ni mpenzi wangu, ni lazima unisaidie"

Nikamuuliza "vipi yule demu uliyelala siku ile? Kwani huwezi kumuomba yeye pesa? Au nda kachacha

Michael akajaa hasira akanishika mkono "Sasa unajisikia kwa sababu unafanya kazi hapa? Kwa sababu wanakulipa vizuri? Umenisahau mapema hivi?

"Michael, tafadhali toka, tena Toka sasa hivi maana Sina cha kukuelezea"

"Siondoki! Mimi na wewe Hatujaachana mpaka. mimi nikuambie tumeachana. Kwa sasa bado wewe ni wangu, na ninahitaji pesa"

Nilishindwa kuamini huyu ndiye mwanaume

niliyempenda hadi nikajifanya mwanaume kwa ajili yake! Mtu ambaye hana hata chembe ya shukranit

"By the way, nani alikuambia niko hapa?" Nilimuuliza

"Lily amenielekeza

Nikamuambia "Sawa, ila Michael nisikilize vizuri, Nilikuwa nakupenda, hilo ni kweli. Lakini nilivyogundua ulinicheat, ulivyothibitisha kuwa

hukunipenda bali ulinitumia kwa pesa, pale pale nilikutoa moyoni. Mimi Sikupendi tena kijana!..... Kama mama yako ni mgonjwa, pole lakini nenda ukafanye kazi. Wewe ni mwanaume, fanya kazi, tafuta pesa, mshughulikie mama yako. Mimi sio

ATM ya kutoa hela jinsi unavyotaka. Sasa hivi najali maisha yangu na familia yangu. Tafadhali ondoka kabla mwenye nyumba hajarudi

Michael alikasirika, hakutegemea kabisa. nitamwambia maneno kama hayo Ghafla bila kutegemea akanipiga kofi kali sana, nikadondoka chini

Wakati ananipiga kofi, Bishop na wenzake ndo walikua wanarudi kwalyo Wakaona kabisa. alivyonipiga. Pale pale Gari likasimama, Bishop akashuka kwa hasira kali kama faru

Akamvuta Michael shati, akamnyanyua juu kama kisungura. Nilijua kabisa anaweza kumuua. Basi Michael akawa anapiga kelele "Usinigusel Unajua mimi ni nani?"

"Kwa nini umempiga? Hujui kama kumpiga mwanamke ni vibaya??"

Michael akajibu kwa dharau "Inakuhusu nini wewe? Huyu ni mpenzi wangu. Sina haja ya kuambiwa namna ya kumfunza adabu mpenzi

wangu

"So kumbe wewe ndo yule mpuuzi ambae hujui

nini maana ya upendo...... Bora umejileta mwenyewe" Bishop Akampiga Michael ngumi nne mfululizo, damu zikaanza kumtoka mdomoni na puani.

Kisha akamkamata tena huku akimwingiza ndani ya nyumba kwa nguvu. Kule alipokua. amenifungia siku ile??? Ennhee huko huko akampeleka Michael.

Baada ya Bishop kuingia ndani Tobias akaja akaniuliza "Uko sawa?"

"Niko sawa"

"Huyu alikuwa anafanya nini hapa?"

Nikajibu "Sijul, nilishangaa tu kumuona"

"Duuh! Sidhani kama Bishop atamsamehe, vile alivyoona akikuumiza imemkera sana. Nadhani atamdhuru

"Tufanyeje? Ongea nae amuache aende" "Hata nikiongea nae Hatanisikiliza labda wewe umfuate. Wewe tu ndiye anaweza kukusikiliza

Nikashangaa "Kwa nini mimi?"

"Huani tu vile Bishop anabadilika akiwa karibu yako? Kama huamini nenda mfuate alafu uone" sikuelewa Tobias ana maanisha nini kusema Ivi lakini nilifuata ushauri wake.

Nikaamua kweli kumfuata Bishop. Nikamkuta. yuko chumbani, bado amejawa hasira. Niliingia nikasimama pembeni nikichezea vidole vyangu kwa uoga.

"Tafadhali unaweza kumuacha aende? Anadal mama yake ni mgonjwa

Aliposikia Vile aliniangalia nikahisi kama. anataka kunirarua na yale macho yake. "Kwaiyo Unataka nimuachie ex wako?!"

"Tafadhali, mwache tu aende. Tayari umempiga na amejifunza. Kwani ni lazima umfungie kule nyuma?

"Muache akae huko! Angefikiria kwanza kabla hajakupiga mbele yangu

"Lakini na wewe si umempiga pia??"

"Ndio ila bado sijaridhika. Nataka kumfundisha jinsi ya kumheshimu mwananke!"

Akazidi kunishangaza jinsi ambavyo alikua akijibu. Nikamuuliza "Kwani maisha yangu binafsi yanakuhusu nini?"

Akatabasamu na kusogea karibu sana na mimi

akinishika kiuno bila uoga. "Kwa sababu ninazidi kuchanganyikiwa. Nimepoteza akili kwa sababu yako. Kila siku nakuwaza kichwani. Tangu siku ile ya swimming pool,lipsi zangu ziguse zako akili yangu,

haijapona. Na sasa ivi nimegundua wewe ni mwanamke ndo nazidi kupagawa kabisa. Siwezi kuvumilia kukuona ukicheka na Tobias au mtu mwingine maana Naumia. Nataka ucheke kwa ajili yangu. Ukiwa na shida, unitafute mimi. Nataka unipe muda wako, lakini hunipi. Hilo linauma. Je, ni kosa kuomba hivyo?"

Nilibaki nimesimama kama mshumaa, nikishangaa kama kweli ni Bishop huyo ndo kaongea maneno yalee ama naota! Na wala Sikujua nimjibu nini zaidi ya kuganda kama

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop

.

Nilikuwa nakumbuka siku ya kwanza nilivyomuona, vile alivyonishika kule chumbani kwake, kila kitu kilikuwa kinanichanganya. Nilijisikia vizuri sana, mpaka nikaanza kutamani. tena anishike vile alivyonishika.

Nilikaa muda mrefu sana kabla sijapata usingizi, ilikuwa ngumu kulala kabisa. Saa tisa usiku, Bishop, Tobias na wale wanaume wengine waliondoka kama kawaida yao.

Kila siku wanaondoka usiku wa manane, wanarudi asubuhi, halafu mchana wanalala. Nilijiuliza sana, kazi gani hii wanayoifanya usiku kila siku? Ila sikuthubutu kuuliza maana nilijua hata nikijaribu kuuliza hawataniambia. Nilichojua ni kwamba wanafanya kazi haramu, basi

Basi Walipoondoka, niliweza kulala kidogo. Nilipoamka kulikua kumekucha kabisa na bado hawakua wamerejea. Nikaamua na kutoka nje ili...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-chapter-16-17-ile-siku-jioni-akili-yangu-yote-ilikuwa-kwa-bishop

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-chapter
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 14  Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 12  Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 12 Basi Akauliza "Mbona hujala?"
NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 13  Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 9  Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
 *NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ*   Chapter 10  Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 10 Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*nimekoma MIMI πŸ™Œ*     Chapter 8  Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*nimekoma MIMI πŸ™Œ* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 7  Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*NIMEKOMA MIMI πŸ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.74K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.59K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.38K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest