Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13  Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
Gonga94 ยท Stories

NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
akiwa na hasira kali. Akanishika mkono kwa nguvu "Ni nani aliyekutuma?"

Wakati huo nilikuwa sijui hata kinachoendelea. Nikajibu "Una maanisha nini?"

Akarudia tena kwa hasira "Ni nani aliyekutuma?"

Nilikuwa nimechanganyikiwa hata sijagundua kama tayari anajua ukweli wote. Alipoona nasua sua kujibu akatoa bastola akaninyooshea mfukoni

Weeeh nusu nikojoe wapendwa ndo nikagundua mambo yameharibika. Nlitetemeka mpaka figo huku machozi yakianza kunitoka.

"Hakuna aliyenituma hakuna!"

"Hii ni mara ya mwisho nakuliza! Ni nani aliyekutuma?"

Namna alivyonielekezea bunduki, nilijua kabisa hatanii. Pale pale Nikapiga magoti nikaanza kumuomba sana, nikimwambia hakuna mtu aliyenituma lakini hakuni amini kabisa. Na ili kunitisha, Akainua bastola juu akapiga risasi mbili hewani Pahl Pahl Kisha akanielekezea tena. This time akiwa tayari kufyatua ubongo. wangu

"Sema alie kutuma, 12. 3. 4."

Nikasema huku nikilia "Hakuna mtu aliyerituma, nimekuja hapa kutafuta kazi tu. Tafadhali nisamehel

Lakini bado hakuamini, Macho yake yalionesha kabisa yuko serious na amechoka na majibu yangu. Sikua nala kufanya zaidi nilifumba macho taratibu, machozi yakinitoka nikisubiria kufa.

Nikaanza kukumbuka familia yangu ambayo siku ihudumia vizuri sababu muda wote nilikua namfikiria tu Michael, Nikajuta sana, nikaona kabisa ndo naenda zangu akhera Ivoo

Bahati nzuri zile risasi mbili alizopiga hewani zilisikika na akina Tobias. Chap wakaja nje wakiwa wamejikoki maana walizani wamevamiwa. Lakini wakashangaa nimewekwa. mtu kati, na pistol nimenyooshewa

Tobias akajua kabisa hapa mambo yameshaharibika. Akanitazama kwa yale macho ya kusema "Nilikwambia". Akaji fanya kama hajui vile

"Boss Kuna nini?"

"Huyu ni spy katumwa aje kunipeleleza.......! Unajua kama ni mwanamke?"

Wengine waliposikia vile walishangaa wakabaki

mdomo wazi wasiamini. Tobias pekee ndo hakuonyesha kushangaa "Mimi sijui chochote. Sasa unataka kufanya nini naye?"

Bishop akasema kwa hasira "Nitamuua"

"Usimuel Ukimuua hutajua aliyemtuma. Acha aishi kidogo, utapata ukweli

Bishop akamtazama Tobias akimuuliza, "Unajaribu kumtetea?"

"Hapana simtetel, ila ukweli ndo huo. Ukimuua. sasa, hutajua ni nani yuko nyuma yake"

Bishop akanyamaza kwa dakika moja, akifikiria. Baadaye akashusha bunduki yake akaichomeka nyuma ya jeans.

Bila kuongea chochote Akanivuta kwa nguvu akinipeleka nyuma ya nyumba. Kumbe kule nyuma kulikuwa na chumba kidogo kama gereza na mimi sikuwahi kujua maana Mara nyingi nilikuwa jikoni au chumbani tu.

Basi mtoto wa Banza nikafungiwa huku nikiambiwa sitakula, kunywa tena kila siku nitakula mateso mpaka niseme aliyenituma ni nani. Sasa nimtaje nani jamani wakati hata sikua. nimetumwa na yeyote

Yanu ilikuwa siku mbaya sana kwang, Asubuhi niligundua labubu wangu ananicheat alafu jioni siri yangu imevuja nikaishiwa kufungwa

Vipenzi, Nililala njaa usiku mzima hata mma sikupewa. Na icho kigereza kichafu, kuna baridi kali & mbu kibao. Mbaya zaidi Nilikuwa kwenye siku zangu na sikua na chochote cha kujisitiri. Aisee Nililia sana usiku kucha kama mwehu..

Asubuhi Bishop akarudi, safari hii akiwa nะฐ sanduku mkononi. Alinitoa kwenye kile kigerezani, akanikalisha kwenye kiti, akifungal mikono yangu na miguu kwa kamba. Kisha Akafungua lile sanduku sasa, mwenyewe. analiita sanduku la kazi

Ndani kulikuwa na vifaa special kwaajili ya mateso. Nilivyoviona tu mwili wote ukasisimka. nikasema leo nafwa huku najiona

Na jinsi Bishop ambavyo hakutaka mchezo, akatoa spana moja kubwaa akanionyesha. "Nitakung'oa jino moja hadi lingine. Usijali nitafanya polepole ata usiwe na presha. We unachotakiwa kufanya ni kuniambia jina la alie kutuma uje kunichunguza kwenye nyumba. yangu

Nikamuuliza "Nikikwambia ukweli utaniacha niondoke?"

"Ndio, nitakuacha uishi"

Nikacheka kidogo "iyo si kweli. Utaniua hata baada ya kujua ukweli. Lakini nisikilize... nimechoka. Kichwa kimejaa mawazo chungu nzima. Asubuhi niligundua boyfriend wangu. amenicheat. Nilifanya kila kitu kwa ajili ya yule. mpuuzi. Nilikuja hapa kufanyia kazi ngumu kama mwanaume, eti nimnunulie iPhone 17, viatu, nguo, kila kitu. Nilihatarisha maisha yangu kwa ajili yake. Lakini kumbe amenidanganya.

Nilipaswa nitumie pesa zangu kwa wazazi wangu kijijini ili wale vizuri, walale vizuri. Lakini nilimchagua yeye badala ya familia yangu, na mwisho wa siku kanidanganya. Kwa hiyo ukiniuliza nani alinituma, naweza kusema ni boyfriend wangu. Nilikuja hapa kufanya kazi kwa ajili yake. Na kama unataka kuniuwa, niue tu. Nimechoka... Sitaki kuishi tena. Badala ya

kunitesa, nipige risasi sasa hivi. Niuel

Nilisema hayo machozi yakitiririka maana kweli nilishachoka. Basi Bishop alinitazama kwa muda akiwa amechanganyikiwa. Hicho hakikua alicho tarajia kuwa ningekisema. Aliweka vifaa vyake. pembeni Akaondoka bila kusema kitu.

Alirudi ndani Akamulta Tobias pembeni,

akamuuliza, "Unajua kitu chochote kuhusu huyo msichana?"

Tobias akadanganya "Hapana, sijui chochote"

"Nataka uniletee taarifa zote kuhusu yeye. Chunguza hadi anapoishi uniletee habari zote. Nakupa masaa mawili tu

Tobias "Sawa Boss" kisha akaondoka.

Na hapo ndipo mambo yalipoanza kubadilika kabisa... mnajua kwanini?

Nakuja...

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari

akiwa na hasira kali. Akanishika mkono kwa nguvu "Ni nani aliyekutuma?"

Wakati huo nilikuwa sijui hata kinachoendelea. Nikajibu "Una maanisha nini?"

Akarudia tena kwa hasira "Ni nani aliyekutuma?"

Nilikuwa nimechanganyikiwa hata sijagundua kama tayari anajua ukweli wote. Alipoona nasua sua kujibu akatoa bastola akaninyooshea mfukoni

Weeeh nusu nikojoe wapendwa ndo nikagundua mambo yameharibika. Nlitetemeka mpaka figo huku machozi yakianza kunitoka.

"Hakuna aliyenituma hakuna!"

"Hii ni mara ya mwisho nakuliza! Ni nani aliyekutuma?"

Namna alivyonielekezea bunduki, nilijua kabisa hatanii. Pale pale Nikapiga magoti nikaanza kumuomba sana, nikimwambia hakuna mtu aliyenituma lakini hakuni amini kabisa. Na ili kunitisha, Akainua bastola juu akapiga risasi mbili hewani Pahl Pahl Kisha...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-chapter-13-baada-ya-kugundua-kuwa-mimi-ni-mwanamke-alishuka-kwenye-gari

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-chapter
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14  Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12  Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12 Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9  Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
 *NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ*   Chapter 10  Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 10 Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ*     Chapter 8  Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7  Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

897
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

200
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest