Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9  Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
Gonga94 ยท Stories

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alikuwa. ameenda pati kwaajili ya watu wake wa kibiashara.

Basi niliamka mapena na kitu cha kwanza nilichofanya ni kumpigia Michael. Nilim-miss vibaya mno nikahitaji angalau nisikie sauti yake, lakini hakupokea simu. Sikuweza kuelewa ni kwanini hakupokea ila siku mind sana.

So niliweka tu simu pembeni na kuanza kazi.

Nlifagia eneo lote la nje, nikaandaa chai ya asubui kwa vidume vyote vile, alafu nikasafisha na ndani pia. Hadi namaliza kusafisha, watu wa decoration walikuwa washafika na kuanza. kupamba. Mda sio mrefu nao watu wa maakuli wakatia timu.

Baba la Baba Bishop alivaa suti nyeusi akawaka hatari! Alafu sio yeye pekee yake mpaka vijana wake walikua ndani ya black suit. Na dressing code ya ile sherehe ilikua ni nyeusi. Kwa haraka haraka utadhani walikua wana hudhuria kwenye mazishi kumbe ni party.

Mda sio mrefu na mimi nikapewa yangu, Tobias aliniletea akaniambia "vaa hii ili uonekane smart

"Ok asante" nikaipokea na kwenda kubadilisha. Ilinikaa vizuri na sijui hata vipimo vyangu walivijuaje.

Kwa juu nikavaa na kofia yangu kama kawaida.. Huwa nilikua Navaa kofia kila siku ili kuficha nywele zangu.

Basi bhana Wageni wakaanza kuingia. Ila cha

kushangaza wote walikuwa wanaume, palikua hakuna hata mwanamke mmoja mjue jinsi gani Bishop hakutaka mazoea na watoto wa kike. Sijui walimkosea nini jamani.

Kubwa kuliko walikuja na magari ya kifahari, yani ukiwatazama tu utajua ni watu wenye hela ndefu. Ila tu biashara zao sล‚o za halali

Haya, Wakaanza kupata vinywaji, kusalimiana na wenzao kisha baada ya mazungumzo. wakahamia kwenye makulaji. Mimi Kazi yangu ilikuwa kuhakikisha kila mtu ana kinywaji na chakula mezani.

Nilichoka sana siku iyo maana tulikuwa

wahudumu watatu tu. Yani mimi na wengine wawili, alafu Wageni walikuwa wengi sana, so Ilikuwa ngumu kuwahudumia wote kwa wakati

Nakumbuka kulikuwa na jamaa mmoja alitaka champagne. Nikaenda kumletea, lakini kabla sijarudi nikaitwa na mwingine alikua anataka. wine. So nikampelekea huyu wa wine kwanza then yule wa champagne akawa wa mwisho.

Ile nampa champagne yake tu nikashtukia napewa kofi la uso, sijakaa sawa jamaa anaanza kunifokea kama mtoto mdogo. "Unajua nimekaa muda gani nikisubiri kinywaji??"

Nikasema kwa upole "samahani"

"What? Samahani??? Samahanii?!" ghafla akanisukuma nusu nidondoke bahati nzuri nilikua nina balansi ivyo sikudondoka.

Kuona vile hakutosheka mpuuzi yule akarudia

tena kunisukuma kwa nguvu na safari hil nikateleza nikaangukia kwenye swimming pool

Ile pati ilikuwa inafanyika nyuma ya nyumba ambapo kulikua na swimming pool. Na mjue ya kwamba mimi siwezi kuogelea kabisa, so nikaanza kutapatapa nikiomba msaada

Wa kwanza kuona ni Tobias! Chap alikimbia kuja upande wangu lakini alichelewa kwani Bishop aliruka wa kwanza kuja kunisaidia. Imagine Bishop karuka ndani ya maji kuniokoa! Alafu alikua chap maana alinidaka na kunivuta kunitoa pembeni ya swimming pool.

Lakini nilipodumbukia kwenye swimming pool kofia yangu nayo ikatoka, so nywele zangu zikaonekana sema uzuri nilikua nimezibana.

Sasa Bishop akaniangalia bila kunimaliza akajiuliza huyu ni mwanaume au mwanamke??? Mbona amekaa kama demu??? Kwakua nilikua nimebandika vile vindevu bandia, akajiaminisha kuwa mimi ni kidume. Bishop akapotezea, akaniweka chini akaanza kunipa huduma ya kwanza.

Aliweka mikono kwenye kifua changu akakibinya kwa nguvu ili nitapike maji. Lakini bado haikusaidia kitu, Akaona afanye njia nyingine. Haraka akashika pua yangu kisha akapuliza hewa mdomoni yani akafanya mouth to mouth . Lips zetu zikagusana bhana.

Saa ngapi jamaa asishtuke?? Ukweli lips zangu ni laini sana alafu ndogo kama za mtoto mdogo. Bishop akabaki ananitazama kama amechanganyikiwa flanii.

Bahati nzuri Tobias akasogea haraka, akamsukuma Bishop pembeni akasema "Acha niendelee mimi"

Kweli Bishop akasogea ndipo Tobias akanipa huduma ya kwanza kwa kubinya kifua changu hadi nikatema maji na kurudiwa na fahamu.

Tobias hakuchelewa, alinibeba moja kwa moja hadi chumbani kwangu, akaniweka kitandani. Akaniuliza, "Uko sawa?"

"Niko sawa"

"Unajua ilikuwa karibu Bishop ajue ukweli kuhusu wewe?"

Nikasema "sikutarajia"

Akanijibu kwa hasira kidogo "Nilikwambia uwe makini, sasa angalia! Bishop ameshaanza kuwa na mashaka, hasa kuhusu nywele zako"

Ndipo nikakumbuka "Mungu wangul Kofia yangu nimeiacha kwenye swimming pool!"

"Kwa sasa Usijali, Kwanza badilisha nguo alafu usitoke nje kabisa. Kaa hapa ndani

"Sawa"

Ndipo Tobias akatoka Nikabaki peke yangu. Nilikuwa natetemeka vibaya mno coz Nilihisi kabisa Bishop lazima atakuwa na mashaka.

Nikabadilisha nguo, na kuvaa nyingine kavu nikiwa najua kabisa mambo sasa yameharibika....

Je nini kitaendelea?

Maoni

You're not logged in

Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop

alikuwa. ameenda pati kwaajili ya watu wake wa kibiashara.

Basi niliamka mapena na kitu cha kwanza nilichofanya ni kumpigia Michael. Nilim-miss vibaya mno nikahitaji angalau nisikie sauti yake, lakini hakupokea simu. Sikuweza kuelewa ni kwanini hakupokea ila siku mind sana.

So niliweka tu simu pembeni na kuanza kazi.

Nlifagia eneo lote la nje, nikaandaa chai ya asubui kwa vidume vyote vile, alafu nikasafisha na ndani pia. Hadi namaliza kusafisha, watu wa decoration walikuwa washafika na kuanza. kupamba. Mda sio mrefu nao watu wa maakuli wakatia timu.

Baba la Baba Bishop alivaa suti nyeusi akawaka hatari! Alafu sio yeye pekee yake mpaka vijana wake...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-chapter-9-kesho-yake-asubuhi-niliamka-mapema-sana-maana-ndo-siku-ya-pati-bishop

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-chapter
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14  Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12  Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12 Basi Akauliza "Mbona hujala?"
NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13  Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
 *NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ*   Chapter 10  Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 10 Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ*     Chapter 8  Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7  Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

889
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

467
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

431
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

407
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

288
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

206
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

189
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

80

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.42K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.59K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest