Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7  Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo
Gonga94 ยท Stories

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
bwana! Alafu hawa majamaa wenyewe ni vidume vilivyojazia, yani sio poa kabisall.

Ila nilijitahidi ivo ivo nikamaliza kwa muda. Baada ya kumaliza kupika, kilichobaki ni kupakua chakula. Nikatafuta sahani kabatini, nikakutana na sahani tatu tu na bakuli moja. Alafu upande wa pili wa kabati Nilikutana na masinia makubwa matatu. Nilipoyaona sikuyajali sana, nikaendelea kutafuta sahani nyingine.

Wakati nipo kwenye harakati za kutafuta Dennis akaingia jikoni "Bado hujamaliza kupika? Tumengoja sana, tunanjaa balaa

"Nimemaliza kupika, kinachobaki ni kupakua tu"

Akanijibu "sasa unasubiri nini?"

"Sioni sahani nyingine, kwani Mnatumia nini kula?"

Dennis akatabasamu kidogo "Hujaona yale masinia pale kabatini?"

"Nimeyaona"

"Basi tumia hayo, Sisi wote tunakula kwenye masinia kasoro Boss Bishop"

Nilishtuka maana Nilidhani kila mtu anakula kwenye sahani yake, kumbe si hivyo. Haya Nikaandaa chakula kwenye masinia mawili, moja likiwa na ugali mkubwa, lingine likiwa na mchuzi na nyama.

Unakumbuka niliwaambia pale dining kulikuwa kumetandikwa jamvi?...enheee Basi sasa wale majamaa wanakaa chini kula pamoja kwenye. sinia

Kila siku wanakula hivyohivyo. Ndio maana sikupata sahani nyingi kumbe ni masinia. wanatumia

Nikawa nawashangaa vile walivyokua wanakula, apo kila mtu kavua t-shirt, wapo tumbo wazi

wanafinya ugali kama hawana akili nzuri Dennis akaniangalia akasema "Unangoja nini sasa? Njoo ule"

Nilikuwa nina njaa pia na chakula chote kilikuwa

kimeisha jikoni, Nikaona nikae tu nile nao lasivyo nitashinda njaa. Ila bwana kula na vidume sio rahisi. Ni walikuwa wanakula kwa spidi alafu sasa

hawajali hata kama chakula nicha motol

Hamuwezi amini niliishia kula matonge mawili tu na kipande kimoja cha nyama. Maana kufunga na kufungua masinia yapo empty, watu ni wanajipepea na t-shirt zao

Baada ya kula nikachukua yale masinia nikayaosha yote kisha nikasafisha pale tulipo lia chakula. Sema wali enjoy sana msosi wangu coz hawakuacha kunisifia

Kama kuna Mmoja alisema "We jamaa unapika vizuri kama demul Umetoa sotojo kali kweli! Ni kula kujilamba"

Mimi nikacheka kidogo tu nikasema "Asante" alafu nikaondoka haraka sababu sikutaka mazoea nao ill wasije kunishtukia..

Kuna mda Tobias aliniita, nyuma ya jiko nahisi hakutaka maongezi yetu watu wayasikie. Mkononi Alikuwa ameshikilia karatasi.

tangu umefika hapa, "nimekuangalia nimegundua kitu"

Nikauliza "Kitu gani?"

"Najua wewe ni mwanamke. Nimeishi na mama pamoja na mdogo wangu wa kike so najua. tofauti ya mwanaume na mwanamke. Huwezi kunificha"

Nilishtuka nusu ya kuzimia. Yani siku hiyo hiyo nilisha qundulika mapema kiasi iko?? Chap Nikaanza kumuomba "please usinifukuze, maisha yangu yanategemea hii kazi

"Ivi wewe huogopi? Unadhani Bishop akijua

wewe ni mwanamke atafanya nini? Hii ni hatari sana. Tena ushukuru kwamba mimi ndio nimegundua wa kwanza maana kama Bishop mwenyewe angejua basi mda huu ungekua upo

kaburinil... Inabidi uondoke, Usiku tukitoka na wewe uchukue vitu vyako uondoke kimya kimya. Nikirudi nataka usiwe hapa

Nikajibu kwa huzuni "Sawa" lakini moyoni sikuwa tayari kuondoka. Ni siku yangu ya kwanza kazini, mshahara ni mkubwa nisingependa pia kumpoteza Michael.

na

Basi Jioni ilipofika Bishop, Tobias, na wale vijana wote wakaondoka, Sikujua wameenda wapi na kusema kweli sikuwa najali. Kitu pekee nilichokuwa nafikiria ni namna ya kubakia pale

tu.

Badala ya kuondoka kama alivyonielekeza Tobias, mimi nikabaki pale kimya nikingoja arudi niendelee kumuomba. Mda huo Lily nae akapiga simu utadhani alinusa kuwa nipo matatizoni.

Nilipo pokea akasema, "we shege Mbona hukunipigia kunambia kilicho jiri huko?"

" Usijali, mambo ni sawa, ila kuna tatizo

"Tatizo gani tena? Hata siku moja hujamaliza tayari unaanza matatizo?"

"Si Ivyo, Tobias amenigundua mimi ni mwanamke

Lily Alishtuka "Umesema nini??"

"Ndiyo, amegundua na amenambia niondoke haraka sana"

"Basi ondoka! Unangoja nini huko?"

"Siwezi kuondoka, hii kazi ndio maisha yangu. Nikiondoka nitapata wapi tena kazi?? Michael si ataniacha mazima kisa nimeshindwa kumhudumia?...hapana! nitajaribu kuongea na Tobias akirudi

Lily akasema, "Mungu wangu, wewe unapenda matatizo! Bishop ni hatari sana, please rudi nyumbani kabla hajakudhuru"

"Usijall, nitarudi lakini si sasa Nikakata simu, nikajilaza kitandani nikijipa moyo kwamba kila kitu kitakwenda kuwa sawa.

Ilipofika saa nane usiku nikasikia honi getini, Nikaruka fasta nikaenda kufungua. Bishop na vijana wake walikuwa wamerudi. Walionekana wamechoka sana sijui ni kitu gani walitoka kufanya usiku ule wa manane.

Sasa Tobias aliponiona bado nipo pale alishtuka na kukasirika maana alinishaniambia niondoke. Sikujali macho yake, Nikafunga geti pale bila wasiwasi.

Wale vijana wakaingia ndani moja kwa moja kulala, ila Bishop akaniangalia na kusema "vijana wangu wamesema chakula chako ni kitamu sana. Nataka kuonja

"Sasa hivi?"

"Ndiyo! Unadhani ni saa ngapi?"

"Mhhh..... Ungependa nipike nini?"

Akanijibu "kile kile ulichopika mchana, ugali na nyama Kisha akaingia zake ndani

Bishop alipoingia tu ndani, Tobias akanigeukia "Unajua hii kitu ni hatari kiasi gani? Shege, Boss Bishop ni hatari

"Ninajua please niache nifanye kazi hapa! Nina shida ya kazi ndo maana nang'ang'ania kufanya. kazi hapa

Tobias akavuta pumzi kidogo "Sawa, nenda kaandae chakula cha Bishop then Kesho nitakupa jibu la maamuzi yangu

Nikatabasamu na kukimbilia jikoni, apo Ilikuwa saa nane usiku mjue. Na Bishop alitaka msosi

Unajua nini kitatokea baada ya hapo?

Nakuja

Maoni

You're not logged in

Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 7 Basi nikaanza kupika fasta ili nimalize mapema, lakini kusonga ugali wa watu kumi sio mchezo

bwana! Alafu hawa majamaa wenyewe ni vidume vilivyojazia, yani sio poa kabisall.

Ila nilijitahidi ivo ivo nikamaliza kwa muda. Baada ya kumaliza kupika, kilichobaki ni kupakua chakula. Nikatafuta sahani kabatini, nikakutana na sahani tatu tu na bakuli moja. Alafu upande wa pili wa kabati Nilikutana na masinia makubwa matatu. Nilipoyaona sikuyajali sana, nikaendelea kutafuta sahani nyingine.

Wakati nipo kwenye harakati za kutafuta Dennis akaingia jikoni "Bado hujamaliza kupika? Tumengoja sana, tunanjaa balaa

"Nimemaliza kupika, kinachobaki ni kupakua tu"

Akanijibu "sasa unasubiri nini?"

"Sioni sahani nyingine, kwani Mnatumia nini kula?"

Dennis akatabasamu kidogo "Hujaona yale masinia pale kabatini?"

"Nimeyaona"

"Basi tumia hayo, Sisi wote tunakula kwenye masinia kasoro...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nimekoma-mimi-chapter-7-basi-nikaanza-kupika-fasta-ili-nimalize-mapema-lakini-kusonga-ugali-wa-watu-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nimekoma-mimi-chapter
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17*  Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* *Chapter 16&17* Ile siku jioni akili yangu yote ilikuwa kwa Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15  Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 15 Baada ya Bishop kuondoka, nililala kwa sababu nilikuwa nimechoka sana na mwili wote
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14  Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 14 Kwa sababu Tobias alijua mimi na Lily
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12  Basi Akauliza "Mbona hujala?"
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 12 Basi Akauliza "Mbona hujala?"
NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13  Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 13 Baada ya kugundua kuwa mimi ni mwanamke, alishuka kwenye gari
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9  Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 9 Kesho yake asubuhi niliamka mapema sana, maana ndo siku ya pati. Bishop
 *NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ*   Chapter 10  Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*NIMEKOMA MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 10 Basi turudi kwenye ile pati. Yule jamaa aliyenisukuma kwenye pool alifukuzwa
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ*     Chapter 8  Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
*nimekoma MIMI ๐Ÿ™Œ* Chapter 8 Basi sikuwa na namna, Ilikuwa ni lazima nipike kwa ajili ya Bishop. Nikaanza heka heka pale
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

897
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10

480
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16

433
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8

412
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17

298
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

209
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12

200
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

180
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

138
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

85

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.74K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.44K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.43K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.38K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.36K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! Youโ€™ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibeโ€ฆ Kajol looking all fiery and expressiveโ€ฆ Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energyโ€ฆ and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest