π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π *1 - - - - - - 5* SEHEMU YA 1 "Bajaj " niliita Bajaj uku naikimbilia kama nimemuona mkombozi alienitoa kwenye shida kali ya kukosa usafiri , Nikiwa nakimbia Kwa bahati mbaya nikadondoka ,puuuuh kama mzigo ππ
Nilivyoanguka nikalala apoapo ,nikajisemea atakae nionea huruma atakuja kuniamsha anipe liftππππ nilivyo naakili chache sasa nimelala chini karibia na lami .maaan nilikuwa nimechoka Yan uwez amin nimekaaa kituoni kuanzia saa Moja asubuhi mpaka saa nne na robo ,hama usafiri ,Yan nikipata ela niaame tuu uku Goba .
Yan apo nilikuwa naelekea zangu kuomba kaz mahali maaan niliskia Wanauhitaji mkubwa wa wafanyakazi kwenye kafteria Yao.
Na mm ndo kwanz nilikuw fresh from school maana yake nimetoka shule majuz juz tu apo baad y kumaliza form six ,nikaja Dar Es Salaam Kwa dada angu .
Dada angu ni mkali sana na hatak mtu mzemb hivyo hakutaka nikae akanishikiza sehemu ilinijipatie Vincent cent .
Nililala pale chini Kwa muda mrefu adi nikachoka nikaamua kusimama tu Baada ya dakika Kam Saba nikaskia honi piii ...piii ..,nageuka iv usawa wa sehemu ambpo naskia honi nakuta ni gar Zur aina ya Ford ranger .
Nikaiangalia Ile gar Kwa muda Kisha nikajisemea mmmh gar Kam Ile inipigie Mimi hon mmmh embu niache kujidanganya ππ nikajigeukia zangu. upande wa pili ,mara cjakaa sawa naskia Tena. ....piii....piii ,nikawanashangaa watu wa pale stend walivyo na uhaba wa usafir .Kuna mkaka akaniambia we mdada Kam hutak kwenda embu mwambie uyo bwana wako atupandishe sisi ,maaan tunaona hauna shida kabisa Yan .
Nikamwambia hii we kaka vp ,uku naelekea kwenye usawa wa gar ,eti nafika tu nakuta uyo mtoaji lift mwenyew kanuna uyo ananimbia ingia ndan .
Mmmmmh nikaguna mbona unanifokea .
Yule mkaka akaniambia Aya ngoja nikwambie vizur mrembo ingia ndan y gar nikawaza ila sababu ya shida nilizonazo adi kweny ugoko nikaamua niingie,πππ.
Nikaingia nyuma ya gar nikaket .Nashanga mtu hatoi gar nikamuuliza kaka mbona huondoki akanijibu we ushawai kuona lini mtu anapewa lift alafu anakaa nyuma alisema lift anakaa mbele,unataka nionekane Mimi dereva wako au embu njoo ukae uku mbele .
ππEeeeh jamn uyu mkaka vip ,mbona anamkasiriko ivo kama nimemuibia Figo lake ππ .
Kistaarabu nikaamka nitoka ,Kisha nikazunguka upande mwengine wa gar ,ila nafungua tuu nakutana na gwanda za jeshi ,kwanz nikasita Kisha nikamuangali .
Akaniambia viipi unaogopa ,Kwan hujawai kuona nguo Kam izo au ziweke uko nyuma uje ukae ,nikafanya kama alivyosema Kisha nikakaaa .
Baada ya sekunde chache akaanza kuendesha gari sasa katikat ya safr akaanz kuniuliza unaitwa Nan Binti .
Nikamjibu naitwa Shaima .
Akaniuliza una miaka mingap na uko unaenda wap nikamjibu Nina miaka kumi na tisa .Akaacheka Kisha akaniambia mmmh kumbe we mdogo ivo ,Aya unaend wap ,nikamjibu kazini ,uko mbele kuna Mgahawa mmoja unaitwa Umoja restaurant naend Mimi ni Mpishi .
Yule mkaka akatabasamu ,Kisha akasema sawa ,
Mimi sikuelewa kwanini akanijibu sawa ,Yani sawa ya Nini ila nikapotezea ,yule mkaka akadrive Kwa kama dakika 25 Kisha akaniambia tumefika .
Nikamuangalia Kisha nikamuuliza umefika na nan ,Kwan na ww unakuja uuku akaniangalia Kisha akasema embu angalia nje kwanz maaan unamaliza maneno ,Ile naangalia nje nakutana na wanajeshi wanazunguka zunguka ,Kisha nikaaangalia kwenye kinyumba kizur juu kimeandikwa Umoja restaurant .
Itaendelea ....
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π
___________________________________
SEHEMU YA 2
Akaniambia Shuka sasa unashangaa Nini ,
Kwauoga nikashuka uku namuangalia mara mbilimbili ,moyoni nasijisemea Yan dada ndo kanichoka
iv kaaamua kuja kunitupa Kwa awa watu kwel jamn ,
Yan apa ndo inaniingia akilini kwanini alikaataa kunielezea kazidi kukoje ,kumbe ni kambini .
Wakat najiongeresha akilini ,yule mkaka nisiemju atajina akaja mbele yangu Kisha akaniuliza vp mwenzangu unekwama apo au huwezi kutembea .
Ikanibidi niongozane nae sasa tukiwa njiani ,watu wanatushangaa maana yule mwanajesh ni mda sasa hajawai kuonekana na jinsi ya kike .
Adi watu wakajua labda ni shoga
Ila Leo baada ya muda kaja na Mimi na Tena nimekuja nae kutoka kwenye gari moja .
Ukiachana naicho wadada wengi hasahasa wale wa restaurant tulivokuw tunaenda walikuw wanampenda sana yule mkaka adi Kuna baadhi ya wanajesh wakike walikuwa wanajigonga gonga kwake ili awapende .
Alivyo na roho mbaya sasa yule kaka akaniachia pale nje Tena Kwa kunisukuma Kisha akaanza kuondoka,nikaskia mdada mmoja anamsalimia Robert mambo ,ila hakuitiliaa wenzie wakaanza kumcheka .
Apo ndo nikajua kumbe anaitwa robert ,yule dada alikuwa ni wa pale pale restaurant ni manager,alivyoona watu wanamcheka akaanz kufoka nyie embu nendeni jikoni mmemaliza kazi adi mnaleta umbea embu poteeni apa .
Wafanya Kaz wote wakatii amri wakaondoka ,ila nikabaki Mimi.
Akaanza kuniuliza kwa ukalia ,Aya wewe nae vpi kuninsimamia apa unashida au ,
Nikamjibu naitwa Shaima ,ni mdogo wake na Resty .
Yule dada alivosikia ivo akasema aaaaaaah kumbe ndo wewe Aya karibu mdogo wangu karibu apa ndo kazini utakapo fanyia kaz mpaka utakapo enda chuoni .
Ila Nina angalizo umeona hili eneo linawanajeshi wengi na kama unavowajua wanajeshi Kila sketi inayowapitia wanaitaka ,hivyo sitaki uwe na mazoea nao hasahasa yule aliekuleta ,yule ndo Hana adabu kabisa Yan ,alivokuwa akiongea ivo nikamuona muhudumu mmoja alikuwa nyuma yake anafuata meza akaanza kucheka na kuguna kuashiria kama nadanganywa ππ .
Yule madam akaendelea akasema nikikuona na mwanaume yoyote hasahasa awa wanajeshi nakusemea Kwa dada Ako . Aya nenda jikoni kaanze kazi .
Nikamwambia ila madam hujanielekeza jikoni Bado ,akaniambia aaaah nshasahau kama ww ni mpaya akaita Jamila ...Jamila .
akaja yule mdada aliekuwa anaguna "Abee madam "
Madam akamwambia mchukue uyu mwenzio muoneshe jikoni kuanzia Leo tutakuwa nae jikoni .
Jamila akajibu sawa madam.
Yule madam baada ya kutoa maelekezo yake Kwa wote akaondoka .
Baadae nikiwa jikoni ,Jamila akaja akaniambia shoga angu kwanz nimesahau kukuuliza naitwa Nan nikamjibu naitwa Shaima .
Akaniambia ivi Shaima nikuulize kitu nikamjibu uliza tuu unamahusiano gan na Robert .
Nikamuuliza na mm Robert gan akasema si yule kamanda uliekuja nae ,aaaaah kumbe yule Mimi mbona cna mahusiano nae yule ni msamalia mwema tu alinisaidia uko njian maaan kulikuwa na shida ya usafir
Itaendelea ..
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π
___________________________________
SEHEMU YA 3
Jamila akaniangalia Kisha akaguna na kuniambia kuwa makini tuu ,maan yule mkaka ukiongozana nae ujue huna kibarua .
Nikamuuliza kwanini akaniambia we hukuona madam Pendo alivyo na hasira alivokuja .Yan yule mwanajeshi hanaga mazoea na wanawake tangu mke wake alivomuachaga na akamtelekezea mtoto .Sasa watu wengi wanakisia huwenda yule mwanajeshi si rizki ndo Maana mkewe akamuacha na pia ndo maaan Hana mazoea na wanawake kutwa yupo na wanaume tu .
Uyu madam wetu ,yeye alikuwa anaempenda Robert Toka siku ya kwanz kamuona ,na ndooamna kutwa anajigomga gonga kwake na ukiachana na yeye wanawake kibao apa kazini Wanamtaka Robert ndomaaan ata Robert hajagibkula apa maaan wanawake wanavyonshobokea anajioneaga kero tu ,na anakwepaga madam sababu hiyo
hiyo .
Nikashangaa ,nikamwambia we Jamila wewe unayoyasema ni ya kweli au unanitishia tu mwenzio .
Akaniambia we bisha ila yakikukuta ukafukuzwa kaz usiseme sikukwambia ,na ata apa kazini wanawake kibao wamefukuzwa kazi sababu ya Robert .
Jamila alivyomaliza kunipa umbea wa muda tukacheka pale jioni ilipofika nikatoka nje kutafuta usafiri nikakosa .
Yan hii shida cjui itaniishia lini nikija shida nikitoka shida ,hamna usafiri ,nikaamua kujitembelea zangu tuu maaan sikuwa na jinsi ,eeeeeh cndo yakanikuta yaleyale ya asubuhi naskia honi ya gar nyuma yangu na kibaya zaidi madam Pendo nae alikuwa ananiona maaana alikuwa kwanyuma kuleee .
Sasa apo nawaza nikubali au nikatae ,kichwan nasema nikikubali apa ,majungu yataanza naweza ata nikakosa kaz kesho ,moyo unasema nikikataa usiku huu natembea mwenyew mtoto wakike nikibakwa humu njiani .
Wee moyo ukashida nikaend kupanda gar ,nikafanya kama cjamuona madam Pendo .
Nilivokaaa tayar Robert akaniuliza vip mbona ulikuwa unajishauri sana kwani Mimi nakula watu au .
Nikamwambia hamna Kuna kitu nimewaza tu,akasema sawa bas .
Robert akaniuliza locationa y nyumban nikamuelekeza ,tukaagan ila nashuka tuu Kwa mbali nikamuona dada kasimama ,kama ananisubur Kwa hamu .
Nikawa naenda usawa wake uku natetemeka Kwa uoga ,nafika namwambia shkamoo dada ,hakuitikia ila badala yake akanipigia Kofi ,nikaanza kulalamika dada Nini mbona unanipiga
Dada akaanza kunisema Yan ,nimekupeleka kazini ukatafute ela au ukatafute bwana ,ndo kwanz siku ya kwanza ushaanza kuiba mabwna wawatu ivi unajielewa kwel .
Nikaanza kulia ,uku namjibu ila dada unanionea Tena sana ,kkwna nimetoka na mwanaume wa Nan .
Aya na uyo aliekuleta na gari ni Nan ,dada akaniuliza
Alivyosema ivo nikabaki kimya maana najua ata ningejielezaje ,asinge nimelewa na Bado angenisema.
Nikamwambia kama ulikuwa hunitaki kwako ungeniambia sio unakuja kunitesa ,nikaingia ndani uku nalia ,apo moyoni nasema Yan uyu Pendo uyu subr kesho ,kwaiyo kuongozana na mtu imekuwa shida .
Itaendelea ....
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π
___________________________________
SEHEMU YA 4
Kesho yake nikaamka mapema na sio kawaida yangu ,nikajiandaaa Nilivyomaliza. nikaondoka ata sikumuamsha kumuomba nauli maaan sikutaka makelele ,nilichukua ela nilizokuja nazo.
Nikatoka home Bado kulikuwa na kagiza Giza ,kutoka nyumbani kwetu adi barabar ya lami Kuna kaumbali kidogo kwaiyo nikawa natembea apo natembea nasema nisije nikakabwa tu viela vyangu vikaendaπ
Basi nikawa natembea harahara , nikimuona mtu njiani natamani hata kukimbia ππ.
Leo sikukumbana na shida ya usafiri kabisa Yan ,nikajua kumbe ilikupata usafiri dawa nikuwai kuamka .Nikajipandia zangu bajaja uyoooo adi kazini .
Ile nafika tuu mlangoni nakutana na Jamila ,nikamsalimia sasa apoapo nikamkumbuka kilichonikuta jna ,nikaanza kwakuchekkaππ ,maaan ni mambo ya kuchekesha
Jamila akaniuliza kulikoni shoga angu mbona wacheka ivo umeokota ela Nini ,nikamwambia Yan shoga angu Bora ningeokota ela nijue moja ,Yan Jan Robert sindo kaaniita kunipa lift alafu madam Pendo alikuw Kwa kule nyuma ,wewe Yan niliogopa ila nikajivika ushujaaa nikaingia kwenye gari uku simuangalii usoni ππππ
Jamila akaanza kunicheka ,Yan ww Leo hauna kazi subri madama afike tuone ,ila ww hauna kaz π
Nikamwambia Yan we acha tu adi nimesemewa Kwa dada apa Nacheka uku natetemeka ππ .Mie nashoga angu tukacheka pale Kisha tukaelekea jiokoni kuanza kaz.
Muhudumu wa ileile restaurant akaja kuniita ,akaniambia madam ananita .Mimi na jamila tukaangaliana Kisha tukaguna .
Nikawanajongea uelekeo alipo madm .
Nilivyofika nikamwambia madam abeee ,akaanz kunisema iv wewe kumbe hauna adabu eeeeh Yan Jana ,Mimi nimekwambia Nini na wewe umefanya Nini ,ukiona wanaume unatatalika mwenyw vp ndugu yangu ,unakazi ya kuparamia wanaume wawatu ,Yan mischana ya sikuhizi haichagui chaka .
Nikaona wee kumbe hunijui eeeeh Yan nimemnyamazia ananiona kama punguani ,mshenz uyu nikamuangalia kwanz juu mpaka chini nikamwambia Aya we yule kashawai kukutamkia anakupenda au ni wewe unatatalika kama Mimi π
Yule madam akaniaangali Kwa hasira Kisha akasema naomba utoke mbele ya macho yangu kabla sijakufukuza kaz we Binti.
Nikamwambia loooooooooh Kwa kazi gani haswa ,hii ya kulipwa ellfu kumi na mbili Kwa siku. ,hiii nayo ni kaz ,zikiitwa kazi hii itasimama ,Yan naungua jikoni uku ela yote ninayopatc inaishia kwenye channel safiri na maziwa .Wewe kama unataka kunifukuza kaz nifukuze mie sijali Wala nini .
Yule madam inaonekana alikuwa anatafuta upenyo maaan nilivyosema ivo tu akaniambia Aya Binti ingia ndan kusanya kilichochako ondoka ofisini kwangu .
Nikamjibu sawa alafu nikamsonya. πππila Mimi jamn. ni maskini jeuri naaacha kaz alafu Sina kazi na ndo kwanz siku yangu ya pili kazini iv dada atanielewa kwel .
Nikiwa njiani natembea uku Nina stress nikaskia sauti unaniambia vip Leo mbona umewai kutoka au ndo ushafukuzwa kazi ,kuangalia iv ,maaan hii sauti kama naijia vile nakuta nirobert .
Nikamwambia Hamna nawai tu nyumbani ,akaniambia acha kuvunga bwan nimeskia Kila kitu kama umefukuzwa kazi na Pendo na sababu ni Mimi ,njoo bas nikupe kazi kwangu .
Nikamuangalia ,Yan mtu hata simjui anataka nikamfanyie kazi kwake kama ni chinjachinjaπππ.
ila kwakuwa nilikuwa na shida Tena sana ,nikakubalia ,haiku itaji mjadala apoapao nikapelekwa kazini .
Jamn Jaman Yan Kuna watu wanaishi na wengine wakina sie tunaishia , yan typpo Kwa njee tuuu mjengo ni mkalii ,achana na mjengo iyo security yake Kuna mtu analinda kwenye get la kwanza Geti la pili ni mbwa .Aya tukaingia ndani sasa nilichokiona
Itaendelea ....
π£ππ‘ππ π π’π§π’π π’π§π’ ππ π ππππ πππ‘ππ¦π’π π
___________________________________
SEHEMU YA 5
Yan mie ni mshamba ila sio sana ,nimeejiiita mshamba sababu nimekuta mlangu unafunguluwa Kwa password Kam Simuπππ ,sasa nikajisahau nikasema wooow ππ Robert akaniambia vip hujawai ona vitu kama iv au ,adi nikaona aibu ππππ.
Tukaingia mpaka ndani Ile nafika tu kitoto kimoja cha kiume nikahandasome Ako kana lips za pink na nimweupe Kam baba ake kakaja daddy umekurudi akaenda akamkombatia ,mie nimebak nashangaa moment ya mtu na mwanae .
Robert akamwambia mbona humsalimii aunt ,kale katoto kasema aunt gan Mimi uyu sio aunt yangu ,namtaka aunt Pendo wa kule kazini kwako .
Nikaona ooohoooo mtoto anamuumbua babaake ππ,
Nikawa na shauku y kusikia jibu la baba atasemaje ,
Ila Robert anaakili sana ,akaipangua akwambia Aya kaniletee homework zako tufanye .
Mmbea nikaumbuka ,maana nilikuwa naisubiri jibu ππ ,Pale nikapewa majukumu yangu ,kwamba nikakuwa namtake care mwanae tuuu ,maaan kulikuwa na dada wakaz special ,Mimi nim ameniajili kama yaya w mwanaume Bright .
Nikamuuliza vp kuhusu kuingia kazini ,akanijibu ni juu yako kulala apaapa au uwe unaondoka nyumbani ila Mimi napendekeza ulale hapahapa maaan ukiwa unachelewa nakufkuza kaz .
Eeeeh makubwa Yan kashaanza adi kunitishia kunifukuza kazi ,ila niseme ukwel uyu kaka alikuwaa ni mtu wa amri ila ni mstaaarabu sana ,ila amri zake tuu ,
Nikawaza wee kish nikamwambia Leo naomba nilale alafu kesho ntaende kuchukua vitu vyangu nije ili kuepuka kelele z dada angu .Maana rasmi kaz ilikuwa inaanza kesho .
Robert akasema sawa ,ila anaondoka kurudi kazin Bado hajamalaiz alitoka kula ndo aakutana na Mimi ivyo akaamua kuniletea kwanza .
Robert akaondoka ,akaniacha Mimi na mwanae maana yule mfanyakaz mwengine alienda kutembea vityu vys jikoni .
Robert alivyofika kazini tu akakutana na Pendo . Pendo akamwambia Robert naomba Leo tuonane Nina maongezi na wewe .
Robert akamwambia hapana Mimi cna maongezi. na wewwπππ.
Pendo akamwambia Kam hutak ntamwambia mama Ako au umejisahaulisha tulimuigizia Mimi na wewe niwapenzi ili asiwe anakusumbua uoe ,sasa chagua uje n Mimi au nikakuharibie ,Robert akamwambia nitumie location na mda tutaonana baada Kisha akaondoka zake .
Pendo akaanza kujiambia yan Leo Robert lazima unipende tuu ,siku zote unakwepa mitego yangu ila Leo cdhani.
Usiku mida ya saa moja iv Robert na Pendo wakatoka wakaend kweny hotel kubwa ya nyota Tano .
Wakaongea Kwa muda ila hamna ata laamaaan walilokuwa wanaongea .Robert akaomba kwenda msalani alivyoenda tuu ,uku nyuma Pendo akamuekea dawa kwenye kinyaji cha Robert .
Aliemuwekea dawa za kuongeza hisia ili Robert akija anywe alale nae .Robert alivyorud bila kujua akanywa kile kinywaji ,Pend akaanza kufurahi Kisha akainuka akaenda reception kuchukua chumba ,ila Robert aligundua Kuna kitu hakipo sawa apo maaaana alihisi anahamu sana ya kufanya mapenzi .akaamua kuondoka bila Pendo kumuona ,akapanda kwenye gari akaondoka ila Ile hamu ilianza kumzidia .
Akafika nyumbani ,muda uo ni usiku wa saa Tano Mimi nimetoka jikoni kunywa maji nimevaa zangu kanga tuu maaan mie huwa kwenye pochi yangu natembea na kanga .
Nilivyofika sebleni nikakutana na Robert nae anaingia ,Robert Hali ilimzidia Sana na ukijumlisha alivyoniona nimevaaa kanga Tena nyepesi imenichora vimaziwa vyangu na viipis maan ninakashape flani iv .
Nikawa sielewi uyu vipi ,maaan akaja kunikombatia Kwa nguvu alafu ananiambia anataka ,sasa anataka Nini nikamsukuma ,sasa naweza bas kumsukuma akaaanza kunikiss Kwa vurugu mdomoni uku ananishika ziwa nikawa naangaika ila alivyoshuka shingoni tuu nikalegea kama sio mimi .
Itaendelea ..
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni