Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Nov -0001
528 views
VYOTE NDANI GONGA94
SHANGAZI KIDOGO TU EPISODE 5 season 2
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHANGAZI KIDOGO TU
EPISODE 5
Baada ya mjomba kukohoa nikajua tayari nmeyakanyaga rasmi. Nilianza kutetemeka nikijuwa hapa sina jipya sasa.. Nilikuwa mara nijifiche chini ya uvungu .
" Tunafanyaje shangazi "
" Bhana mi mwenyewe sijuwi"
" Naona tu mambo yashaisha'
" Ni kweli uncle wako anaweza akakuua"
" Mmmh ! Mpaka nawaza. Leo"
Mjomba alianza kuongea toka yupo huko" nilikuwa najuwa toka muda kuwa wewe unakula kitimbua cha shangazi yako"
Nilishtuka nakuanza kutetemeka zaidi huku mapigo ya moyo kama yanakimbia kama hussen bolt ....
Nilisikia mlango wa stoo unafungiiliwa na panga linavutwa . Nikajua leo ndo leo mwisho wa maisha yangu. " Nimesema toka nje "
" Mume wangu msamehe kosa ni langu"
" Tena we ndo ukae kimya, naanza nayeye namaliza na wewe"
" Mjomba nisamehe mjomba nisamehe"
Muda huo mimi na shangazi tumeushika mlango kwa nguvu ili mjomba asoinhie ndani....
Akasema ngoja achukue shoka avunje mlango alipotoka tu . Tulifungua mlango.na shangazi na kutoka mbio . Tulipita kwenye mlango mkuu huku akitufukuzia kwa nyuma tulikimbia lakini alikuwa bado yuko nyuma yetu nikajua leo ndo mwisho.wa maisha yangu.
Tulikimbie bado yuko nyuma kavaa kaushi nyeusi na bukta nyeusi mkononoli kashika panga. Tupo mbele yake yupo nyuma yetu . Huku akisema " nitakayemkamata namuua "
Nmemshika mkono shangazi ..
Tulivuka barabara mbio mbio ile yeye kuvuka lilitokea roli na kumvaa . Huwezi amini alikuwa chini ya roli linammbuluza tulilia sana mimi na shangazi maana baada ya kusimamisha roli alikuwa tayari ashapoteza maisha
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ
Ni huzuni kwa kweli kumpoteza jomba la majomba sababu ya tabia yetu ya burudani lwa wote
Maiti ya mjomba ilipelekwa mochuari. Shangazi alilia sana sio siri mimi sikulia hata kidogo kwa sababu sikujua adhabu yangu ni ipi mbinguni motoni au wapi yaani sijuwi mawazo chungu nzima nawaza nafanyaje......
Basi baada ya mazishi ya mjomba shangazi alitaka niendelee kuishi na yeye najua nikiishi naye nini ? Kitatokea tutaendelea kupeana tu bila kujua nafsi ya marehemu itahuzunika sana
Sio siri najuta sana na shangazi kidogo tu ππndo maana leo nimewasimulia kwa heri natumai mmejifunza kitu .Asante sana kelvin mlowe kwa kuwa mvumilivu na msikivu wa kuandika stori hiii najua kuna funzo wamepata asante ....
************MWISHO βοΈ*******""""""""""
Follow the HADITHI ZA KELVIN MLOWE β€οΈβπ₯ channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029Vaw5SzK7YSd3RKAO8G46
INAYOFUATA JIRANI ACHA UKOROFI
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona...
SHANGAZI KIDOGO TU
EPISODE 5
Baada ya mjomba kukohoa nikajua tayari nmeyakanyaga rasmi. Nilianza kutetemeka nikijuwa hapa sina jipya sasa.. Nilikuwa mara nijifiche chini ya uvungu .
" Tunafanyaje shangazi "
" Bhana mi mwenyewe sijuwi"
" Naona tu mambo yashaisha'
" Ni kweli uncle wako anaweza akakuua"
" Mmmh ! Mpaka nawaza. Leo"
Mjomba alianza kuongea toka yupo huko" nilikuwa najuwa toka muda kuwa wewe unakula kitimbua cha shangazi yako"
Nilishtuka nakuanza kutetemeka zaidi huku mapigo ya moyo kama yanakimbia kama hussen bolt ....
Nilisikia mlango wa stoo unafungiiliwa na panga linavutwa . Nikajua leo ndo leo mwisho wa maisha yangu. " Nimesema toka nje "
"...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shangazi-kidogo-tu-episode-5-season-2
Maoni