Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *1---2*
Gonga94 Β· Stories

SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *1---2*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

*______________________________________*

*SEHEMU YA KWANZA*

Nilitoka nje nikiwa na mawazo kweli, bahati mbaya nikamwagia mkaka maji,kwa sababu ya stress sikukumbuka ata kuomba samahani, nilivyotaka tu kurudi ndani, akaniita we dada, mimi naenda tu,akanifata na kunilamba mtama, ilikuwa ni ghafla tu, ndo nashtuka, nikainuka nakumweka banzi, kwa yeye mwenyewe akashangaa nimepata ujasiri gani mpaka nimempigaπŸ™„, ile nataka kuongea nikawa nimecheki ivi chini kwa makini ni mjeda πŸ™†, niliishiwa ata nguvu, muda huo nimemlowanisha na maji ya ukoko...

Alisema tu " naona unataka tupimane, amna kaka angu ni bahati mbaya tu mambo mengi, wala hata hakujibu, akanivua nilikuwa nimevaa khanga tu na tait, alinibeba akanitupia kwenye shimo la taka taka, afu akasema" samahani dada ni bahati mbaya, akaniacha akasepa, apo kuna watu nje, nilivuta kanga nikajifunika nikatoka ninanuka nimechafuka, machozi tu yananitoka...

Nilikimbilia bafuni, nilioga nakuoga uku nalia, nimetoka bado nahisi harufu, niliamua kuunga maji ya kuoga nikaoga tena, nikahisi ata nywere zimechafuka, nilijikuta nimepata hasira nilioga tena nikamuandaa na mtoto wangu wa miaka 7 Briton, tulitoka nikaenda kunyoa kabisa, wakati natoka salon, nikapishana na uyo mjeda tena akanisimamisha, sikusimama, akaniwahi kwa mbele akaniambia mrembo samahani unaweza nisaidia namba yako?...

Naona uko na haraka,nahitaji kuongea nawewe, nilimkata jicho " usinifanyie ivyo basi, akaanza kuongea na mwanangu, akataka kumpa pesa nikakataa, sitaki ugomvi na wewe, umeshanilipizia zaidi ata ya nilichofanya nazani inatosha, sitaki vioja nilivyonavyo vinanitosha, akashangaa usinambie wewe ndo yule dada uliyenimwagia maji machafu?, ata zikumjibu nikaanza kutembea tu, nimefika nyumbani nashangaa mtu uyu apa mpaka mlangoni kwangu, wewe kuna kitu chako unanidai?...

" Ndio nahitaji izo no zako, unawazimu no yangu sitoi, nilivyosema tu ivo, akamfunika mtoto macho kiaina, afu akaninyakua simu yangu, akakimbia nayo, ata nguvu za kumkimbiza sikuwa nazo ninayangu kichwani, nikahisi huenda ni jizi tu najisumbua, limevaa tu nguo za kijeda,nilijua ndo nimeibiwa ivo, nikaanza tu kulia uku mwanangu nilimwambia akacheze...

Nikiwa nalia ghafla mtu kaingia ndani na simu na kikapu,hivi hapa utampikia kijana wetu, ale vizuri,nilimtizama nikamjibu kwa ukali, sijakuomba chakula, " sijakuuliza kama unataka ama lah!, nimekupa na lazima uchukue, unapaswa kujifunza kupambana na dunia, sio risasi tu inayoua, hata moyo dhaifu una ua, nilipaniki nikachukia nikamfukuza ndani kwangu, kaganda tu natumia nguvu wapi, kawa kama kisiki, hatikisiki ata kidogo, nilivyochoka kumsukama....

Nikamuacha nikafata kisu,nilikuja nacho nikamtishia, "mrembo πŸ₯° siogopi vita sembuse huu moyo wako? Nilikasilika nikaenda kuchukua maji nimmwagie kama kudeki nitadeki tu kabla sijamwagia akaniwahi na busu lakushtukiza afu akakimbia....
Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapa juu au chini ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu.....

Itaendelea....πŸ’₯

EP2.

Aisee nilitamani ata nimpige bisu, akili imludi kashaanza kunizoea mpuuzi mmoja uyu sasa ngoja nimuandalie dawa,niliandaa pilipili za Kusaga nikaziweka tayari tayari, na hii siku sikuwa na mboga nilikuwa nimefulia, nikachukua ile mboga aliyoleta, ilikuwa samaki, na mboga za majani matunda na viungo, samaki zilikuwa nyingi, nikawaza ata mafuta tu yakuzikaangia sina ila chini ya kikapu nikakuta laki, niliwaza nisijekuambiwa kulipa πŸ€”,ila hakuna ushaidi kama kaleta nitakana nilienda nikahemea mchele mafuta lita 5 nikaludi zangu kupika...

Nimeivisha simuoni mwanangu,nilimtafuta adi nikaanza kulia, nikiwa nalia mjeda akaja na mwanangu wanakimbia taratibu taratibu, nilimweka kwanza kofi, nakumwambia sitaki mazoea, kaa mbali na mtoto wangu na mimi vinginevyo nitakufurahisha, "mama B nakuacha sasa hivi kwasababu ya mtoto, lakini tunakoelekea nitakufundisha namna ya kumheshimu mmeo, aliongea kwa hasira sana, akataka kuondoka akarudi tena, " nina njaa uko ndani kuna chakula?..

Wee koma mimi sio mke wako, wala mfanyakazi wako, siwezi kukupikia kama ulijiletesha tule tuvyakula twako hio ni juu yako, sikukuomba,hakujibu alimtizama B akatabasamu nakuondoka, nilimchukua mwanangu, tukaanza kurudi kwenye chumba changu nilichopanga, nilifika nakuta mlango uko wazi mmh nikashtuka kuingia nakuta mjeda anatenga chakula kula...

Nilichukia yani kwanza nawachukia wanaume kupita kiasi, nilichukua ile pilipili nikamwagia machoni, aisee alichukia,alinishika kama anataka kunipiga, B akaanza kulia, mjeda akaniachia, afu akafunga mlango,alichukua maji akanawa B akawa anamwagilizia, alivyomaliza macho yake yalikuwa mekundu mno, alinishika mkono na B akawa anataka kututoa nje, nikagoma, alimshika B akamtoa nje, akanifungia kwa ndani, sikujua kaenda wapi niliita nakuita wapi, nikachukua simu nimpgie mtu aniijie kumbe simu imelowekwa kwenye maji na maisha yangu yalivyo afu nahalibiwa simu 😭, wanaume mbwa wameniharibia maisha wameona haitoshi sasa ni pesa zangu😭...

Nilianza kulia, nikiwa nalia mlango ukafunguliwa na kufungwa alikuwa mjeda kaludi peke yake, tena anaonekana kabisa anahasira na mimi mno, na mimi pia ninahasira nae, alishika mshiko wa kunitisha, akaanza kusema...Kupata mwendelezo bonyeza link hii hapa juu au chini ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu....

Itaendelea...πŸ’₯

Full 1000
Whatsp 0784468229
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *1---2*


*______________________________________*

*SEHEMU YA KWANZA*

Nilitoka nje nikiwa na mawazo kweli, bahati mbaya nikamwagia mkaka maji,kwa sababu ya stress sikukumbuka ata kuomba samahani, nilivyotaka tu kurudi ndani, akaniita we dada, mimi naenda tu,akanifata na kunilamba mtama, ilikuwa ni ghafla tu, ndo nashtuka, nikainuka nakumweka banzi, kwa yeye mwenyewe akashangaa nimepata ujasiri gani mpaka nimempigaπŸ™„, ile nataka kuongea nikawa nimecheki ivi chini kwa makini ni mjeda πŸ™†, niliishiwa ata nguvu, muda huo nimemlowanisha na maji ya ukoko...

Alisema tu " naona unataka tupimane, amna kaka angu ni bahati mbaya tu mambo mengi, wala hata hakujibu, akanivua nilikuwa nimevaa khanga tu na tait, alinibeba akanitupia kwenye...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/single-mother-na-busu-la-mjeda-1-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi single-mother-na-busu-la-mjeda
 SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❀ EP12.
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❀ EP12.
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *______________________________________*  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *______________________________________* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
 SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❀ EP7
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA❀ EP7
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *______________________________________*  *SEHEMU YA SITA*
SINGLE MOTHER NA BUSU LA MJEDA* *______________________________________* *SEHEMU YA SITA*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72

702
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

651
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

516
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

443
MY WANGU❀️ sehemu ya 73

MY WANGU❀️ sehemu ya 73

390
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)

269
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

255
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

236
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

131
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15

87

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.04K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.81K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.66K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.03K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.44K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.26K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE* *SEHEMU YA SITA* Post Mpya
REAL LOVE* *SEHEMU YA SITA*
@majario LIVE

ndani ya hotel moja kubwa iliyopo posta katika chumba kimoja walionekana devi pamoja na cathe wakiwa wamekumbatiana kitandani, wanyama hawa hawakuwa na wasiwasi wowowte juu ya usaliti wao yani ndokwanza...

MY WANGU❀️ sehemu ya 73 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 73
@majario LIVE

Basi hivyo ikawa ni tunalishana kimya kimya. Mpaka tumemaliza mie nikatoa vyombo. Nikaenda kuosha ndo niondoke. Basi nipo busy naosha vyombo mashangaaa nimeshikwa kiuno kwa nyuma nikageuka namuangalia ni mlige....

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1) Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 24 MPAKA 25 ( MWISHO WA SEASON 1)
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 24 Basi bwana nakumbuka nilikaaa uku nyumbani week.2 . Nipo na babu tu. Sikuwahi kumpigia kabisa princess na wala yeye hakunipigia .na nilishamtia marufuku. So hakunipigia kabisa ataaa....

MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 71 na 72
@majario LIVE

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest