๐๐ก๐๐๐ฆ__; ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ Sehem ya ::03 &04 &5
๐ฉ๐๐๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐๐๐
Mwanadada Akamlaza Vizur Sky Kisha nae akalala KWA Kutizama Miguu ya Sky(Mzungu wanne)
Wa Kwanza Kuamka Alikua Ni Bint akaandaa Chai Kisha Maji akapekeka Bafuni akanunua na Mswak Mpya KWA Ajili Ya Mgeni wake Kisha akamuamka Mgeni wake Sky Alipoamka Alishtuka sana Akauliza "Hivi nmelala Hapa" "Ulitaka Ukalale wapi Embu Amka Ukaoge Tuje Kunywa Chai" akajibiwa na Mwenyej wake "Kwani sangp" Sky Akauliza "Sa Tatu Hii" "Oooh Mungu wangu Nmechelewa hata na Kazini Hivi Kwanini Usingeniamsha Mapema" Sky alilalamika "Ulinipa Taarifa au mi Naota Tu Au mi Ni Jini Kujua Nitajua Taarifa zako Zote??" BASI Bint akamshushua
Sky akatoka Aende Kuoga Asubuhi Ile Wamama Kibao washajazana karibu na Mlango wa Bafuni "mh" Sky aliishia Kuguna Tu Mana Macho ya Wote yalitua Usoni kwake Hata Kutembea akaanza Kujikanyaga Lkn akajikaza Mpk kuingia Bafuni "Mh Shost leo kavusha" "Hehehehehe Chezea Upwiru wewe" "Na Anavyojikutana Maria Sร sa Mbona Leo Kaenda Kutร futa wa Kumkuna Hehehee" Hayo ni baadh ya maneno aliockia Akiwa Bafuni "Mh Mbona Kazi" Alibak Anajisemea Tu Mwenyew
Aliporudi ndani Ikabidi ampgie Cm rafika Ake Wa Karibu sana Allan Akampa Taarifa kuwa hatofika kazini Baada Ya Chai na Stor za hapa Na Pale Lkn Sky Akabak Kushangaa Bint Uyu hajagusia Kabisa Swala La Kuuliza Kwanini Alikua pale au kutaka Kujua Kwanini Sky Alikua Analia Vile walaa Bint Uyo Hakugusia Kabisaa "Hivi haya Ndo maisha Mnayoishi uku" sky aliuliza "Yapi" "Si hayo we Unaona sร wa Kabisa Asubuhi Asubuhi Watu ameshaweka Vikao Tena chooni aah" Sky alilalama "Aah achana Nao KILA Mtu ana mfumo wake Wa maisha"
Sky alimsogelea Sana Yule Dada Akamtazama Usoni Kisha akamuuliza "Unanipenda"?? Badala Ya Jibu Dada Huyo alicheka sanaa alicheka Mpk sky akaogopa alicheka Mpk akapaliwa Sร sa Sky Akabak anamtazama Tu Hajui Tena afanye nini Baada Ya Kuchekaa Akauliza " Unavyoniangalia Mimi niwakukupenda Wewe"??? "Sร sa Kwanini Nipo hapa" Sky aliuliza "Oke Nataka Unitumie Nani Nkutumie"๐๐ Sky akatoa Macho asielewe Nini anamaanisha Binti Huyo
JE Bint Uyo ni nani na Anataka nini KWA Sky
ITAENDELEA......
๐๐ก๐๐๐ฆ__; ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
SEHEM YA :04
๐ฉ๐๐๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐๐๐
Sky Alitoa macho asielewe Ikabidi dada Yule acheke Tena Akasema "Mi nataka Tu Uwe Rafk Yangu inatosha Ckujui hunijui lkn Hali nliyokuona Nayo pale wala haikunipendeza usingeweza Kuinuka pale lbd Sijui ungekaa pale mpk sangp Nliwah kupitia hali kama ile nliona Dunia sio Yangu mapenzi sio Yangu pumzi zilikarbia kunikata ile Ck ckuona mbele Palikua na Giza na nlkaa Sehem ile Mpk nlipokuja kuzinduka mwenyew hakuna alonishika mkono wala kuniinua Nlpokuona Wewe Niliamin Mapenzi hayana Mwenyew wala Jinsia nlkumbuka Siku yalivyonikuta mimi nilikataliwa Mbele Ya Watu KILA mtu alishuhudia machozi Na kilio changu lkn hakuna aliejali Hivyo sikutaka Wewe upitie hali kama ile Ndo mna nilikuja Kukushika mkono Utoke pale Nilitaman kuinuliwa lkn hakuna alieniinua mie nilihisi we pia unataka Kuinuliwa pale Hivyo nilikuja kukuinua pale Chini Hivo nilifanya Kosa??"" Dada Uyu aliongea huku machozi yakimtoka akionesha kabisa Yalishamkuta kama ya Sky Pia Sky alimkumbatia Bila Kusema Kitu "Unaitwa Nani" Sky alimuuliza Bint Uyo "Naitwa SALMA"
Ndio Ni salma,, Salma Bint wa Miaka 26 Tu Akiishi Mwenyew Salma Ni Bint mchachalikaj mjasiliamal Wengi huita mpambanaji anajishughulisha Na Biashara ndogo ndogo za Ujasiliamali Hutengeneza Vitu vya asili na Kuuza Lkn pia huuza Bidhaa zake Online pamoja Na Nguo za wadada Viatu Nk anaishi mwenyew hana Boyfriend Baada ya Kuachana na Boyfriend wake Mwaka Mmoja Uliopita Elimu yake Ni 4m4 Felia Hana Mtoto wala Hajawah Kuolewa
Ndo kwanza kakutana Na Mkaka ambae hamjui ILa Tu kaamua kumsaidia KWA Sababu Tukio lililompata Ye Pia Liishamkuta Na akaamua Kuachana Kabisa na Mapenz akajikita katika Biashara zake Na sร sa anaendesha maisha yake Huyo Ni salma Mwanamke Asie na matatizo na Mtu naYupo san Bize naMaisha Yake Kuliko ya Mtu mtaan wanasema analinga Sana Hana Mda na Wanaume Wala mwanaume Hajali Chochote wla Kuwaza kuhusu Mapenz Sร sa Kakutana Na Sky ambae Anakidonda Kibichiii Kabisa Kutoka KWA Marry
๐๐ก๐๐๐ฆ__; ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐โค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธโค๏ธ
Sehem ya :::05
๐ฉ๐๐๐๐ ๐๐ ๐บ๐๐๐๐๐๐๐
HUO ndo Ulikua mwanzo wa Kujuana Sky na Salma Wawili hawa Ilikua mara Ya Kwanza Kujuana
"Mi Naitwa Sky Asante san Kwa Jana KWA masaa machache Nmekaa nawewee Nmesahau Hakika Nmepata Nafuu sana Nasema Asantee Nitakua Rafk Yako Leo Na KILA Siku Salma Umekua Shujaa wangu Wa Kipekee sana Marry Nampenda na Nlimpenda Ck zote Sijui Kakubwa na nini kama Mahitaj Nlimpa Kiasi Changu chote mapenz Yangu yote Nlimpa Yeye" Sky alijieleza KWA salma "Mpe Muda Atakaa sร wa naiman Atarudi Tu kwako Mpe Muda" salma Ilibidi tu ampe Tumaini Upya La kumpata Marry "No Simuhitaj Tena Inatosha" Sky aliongea Kwa Uchungu sana "Oooh Shit " Sky aliinuka KWA Hamak sana "Vp"
"Gari Yangu" hapo sร sa Sky akili ikakaa sร wa na akakumbuka Gari aliipak Mtaa wa Nyuma kabla ya Kufika KWA Marry "Ooh Mbona sikuona Gari Maeneo yale" salma Akamwambia "Yeah Nlipak Kule Maeneo ya Bar" "Inabid Uifate" salma Akampa Wazo "Hapana Siwezi Kurudi kule" "Vp unamuogopa Bado Yule Mwanamke?? "" Salma Akamuuliza Sky "Hapana Sitak kuonana nae Lbd kazin Tutakutana" "Ni Ngum sana kwako Kuonana nae unaonesha bado Unahisia nae na Mnafanya Kazi Sehem MOJA Hiyo pia Itakua Ngum sana kwako eeh Kama Gari Huezi Kufata KWA kuogopa Kuonana Nae BASI na Kazi Acha" Salma Akamwambia Sky na Sky akafikilia Ni Kweli Kama atashindwa Kufata Gari vipi kazini na Wapo Hospital MOJA Hapo Ilibidi Tu ainuke Kishingo Upande Salma Akamwambia Tutaenda Wote wala Ucjal Sky akamwangalia Akatabasam Akasema "Umekua Mlinzi wangu Asante Salma" *Ucjali Nitakulinda Kaka angu Mzur" basii wakacheka Kisha safarya Kufata Gari
Walifika Alipo Acha Gari Lkn wala Hawakuonana na Marry wala Kumuona Sky alikumbuka Tukio la Jana Na akainamia Usukani salma Akamshika Kichwa Na Kumlaza Kifuani kwake Akamwambia "Naomba Ulie Hapa Lia kama Unataka Kulia" Sky akalia Akalia Na Kulia Kisha akatoa Ile pete mana ilikataliwa aliiweka Kwenye Dashboard Na safar ya Kurudi KWA Salma Ikaanza walipiga stor Njia Nzima salma Akamuomba Alale Pia KwakeKesho Ataenda Kazini Sky alikubali
Asubh na Mapema Sky anamshwa Na SALMA "Amka Kaoge Chai Then Kazini" "Oooh Ucjali chai Nitakunywa cantin" "Chai lazima Unaamka Au Tunaendelea Kubishana??" sky akacheka KWA mikwala Ya salma Ukweli Alijikuta anamzoea sana Kuliko Kawaida aliogakisha chai "Mi Naenda " Karibu Tena" salma Alimjibu
Baada Ya Kutoka salma Pia alijiandaa KWA Ajir ya Kusambaza Oder zake Za Ck Hiyo
Sky Wakat anafika Kazini Alipak Gari Alipoingia Kwenye Lift alimkuta Marry na Shoga ake Kwenye Lift "Mh hata Nguo hajabadili kweli nmemvuruga" Marry Alisema Kimoyo moyo Lkn sky Alipoingia Alisamlia " Habar ya Asubuhi" marry alibunua Midomo Tu Hakuitika Akaitika Mwenzae ambae pia Ni mfanya Kazi Hapo
Siku Ikaanza KILA Mtu alishika Majukum yake Sky Alipo pata Mda alimpa Story nzima Allan ,,,Allan aliskitika sana Na KUMPA pole Nyingi ,,,,,"Kwahy Unampango wa Kurudiana Nae Au" Allan alimuuliza Sky "Aah hapana Mi mapenz Hapana Sitaki Mzee" Sky akajibu na Ikafata Kicheko "Nliona Asubuhi kaletwa na Uyo mshua wake" Allan aliongezea "Achana nae Tusimpe Airtime Mzee" Sky Ikabidi Abadili mada Kabisaaa
INAENDELEA .......
SOMA MPAKA MWISHOOO KWA SH 1000
๐ต๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐ฝ๐๐ ๐๐๐๐ ๐ด ๐๐๐๐ 0743433005 ๐๐๐๐ ๐จ๐ฎ๐ถ๐บ๐ป๐ฐ๐ต๐ถ
๐ผ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐๐๐๐๐จ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ +255743433005 ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni