Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 03
Gonga94 · Stories

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 03

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
TAMU YA HOUSEGIRL

SEHEMU YA 03

****

Dada wa kazi (housegirl) Mwaneke alianza kufua furushi kubwa la nguo alilotolewa nje, likijumuisha nguo za wanafamilia wote, mama, baba na watoto wao wawili, kuanzia nguo za nje mpaka nguo za ndani, kazi aliyopewa na mama mwenye nyumba hiyo, mwanadada Yunusi ambae hajui kazi yoyote ya ndani zaidi ya kujipodoa na kula na kulala na hata mapishi huwa hagusi kabisa jikoni, akatoka akisimama mlangoni kumtazama dada wa kazi (housegirl) huyo anavyohangaika na nguo

"Eeh hapa kazi tu hakuna kulala, hakuna hela inayotoka burebure, umeomba kazi, fanya kazi" alimwambia

"Sawa dada" Mwaneke aliitikia huku akizichambua chambua nguo akitafuta za kuanza nazo hasa nyepesi

"Na ufue vizuri hizo nguo zote ziishe na zitakate, siyo ilimradi tu" mwanadada huyo alimjibu huku akimpita akiwa tayari ameshajiandaa, akielekea getini kwa ajili ya kutoka, bajaji ikiwa imeshafika inamsubiri,

"Hivi huyu mwanamke anajionaje kwa mfano?" Mwaneke alimtazama bosi wake huyo mpaka alipoondoka, akazitupa nguo hizo akizichambua chambua kwa hasira na kuzitapanya kisha akasimama huku akiwa amejishika kiuno akishusha pumzi

"Nimekwambia mimi si unajifanya mjuaji, kazi kwako, fua hizo, ungenikubalia ningekusaidia tungefua moja baada ya nyingine kwa mahaba kabisa mpaka tungemaliza" mlinzi alimwambia, Mwaneke akamgeukia akimtazama kwa kumpandisha na kumshusha

"Nani aliyekwambia nataka msaada wako, nani mimi, thubutu, ni heri niziache tu bila kuzifua kuliko kusaidiwa na wewe mtu usiye na mbele wala nyuma"

"Mimi na wewe Mwane ni nani asiye na mbele wala nyuma, ungekuwa una mbele wewe ndo ungefulishwa minguo yote hiyo hahaha"

"Eeh naifua ndiyo, ila siku si nyingi utajua nguvu ya mwanamke siyo kama yako wewe mwanaume, na utajuta kunichukulia poa"
"Thubutu, unaota ndoto za mchana"
"Eeh nitakutuma kuanzia maji mpaka unipeleke chooni kwa kunibeba mgongoni"

"Unaleta dharau Mwane, usinichukulie poa, mimi nikubebe wewe na upara wako huo?" mlinzi alishikwa na hasira baada ya vita ya maneno aliyoianzisha kuanza kumshinda

"Eeh kwani si nitakulipa"
"Acha dharau nitakupiga" mlinzi alilivuta gauni la Mwaneke
"Hebu niache utanichania gauni langu" alijitahidi kujitoa mikononi mwa mlinzi huyo kwa bahati nzuri honi ya gari ilisikika getini

"Wewe bahati yako, ningekupasua, sipendi dharau mimi" mlinzi alimuonya huku akiliachia gauni lake
"Si umechokoza nyuki mwenyewe, acha wakuume, mwehu nini?" Mwaneke aliliweka weka vizuri gauni lake huku honi ikiendelea kupigwa mfululizo getini, mlinzi akakimbilia geti na kulifungua, lilikuwa gari la Benson, baba mwenye nyumba ambae alishusha kioo cha dirisha na kumkata jicho mwanaume huyo

"Siku hizi umekuwaje, umeshaichoka kazi?"
"Hamna bosi, nilikuwa chooni"
"Kama umeshindwa kazi sema atafutwe mtu mwingine anayejua majukumu yake"
"Hapana bosi, naweza majukumu, samahani" mlinzi alijibu huku akijikuna kwa wasiwasi, gari hilo dogo likampita taratibu na kuegeshwa huku Mwaneke akiwa hayupo pale nje tayari ameshakimbilia ndani asionwe na mwanaume huyo, baba mwenye nyumba, alikuwa chumbani kwake ameacha mlango wazi huku akiwa ameishika nguo ya ndani (boksa) ya mwanaume huyo mikononi na yeye mwenyewe alishalivua gauni lake kubwa na pana alilolivaa akijifunga upande wa khanga moja nyepesi mwilini, akimchungulia kupitia dirishani

"Leo lazima aingie kwenye kumi na nane zangu" aliongea na kusogea mlangoni wakati huo Benson alikuwa ameingia sebuleni akitokea nje

"Mwane, Mwane?!" aliita bila kujibiwa, alipokatiza mlangoni kwa mwanadada huyo dada wa kazi (housegirl) akamkuta amesimama huku ameishika boksa yake mikononi, akajibanza asionwe na kumchungulia ili kujua kinachoendelea, akimtazama msichana huyo kuanzia chini mpaka juu, kijikhanga chepesi alichojifunga na jinsi nyuma alivyovimbiana na Mwaneke alishajua kuwa bosi wake huyo yupo mlangoni amejificha anamchungulia lakini akijifanya kama hajamwona bado

"Benson nakupenda sana na ndiyo maana naumia mkeo asipokujali, sijajua kama hakujali nje tu au mpaka huko chumbani kitandani, yaani boksa yako hii mpaka nimekuja nayo chumbani, nikiitazama najisikia kulowa lowa tu kwa jinsi navyokupenda wewe baba" aliongea mwenyewe huku akiigeuza geuza boksa ya mwanaume huyo na kuibusu, Benson mwenyewe akishuhudia, Mwaneke hakuishia hapo akaishika boksa hiyo na kuiingiza ndani ya khanga yake katikati ya mapaja akijipapasia papasia huku akiguna guna kimahaba na kufumba macho kabisa akijitekenyea tekenyea kwenye uch** wake, kitendo kilichomvuruga zaidi mwanaume huyo ambae alijikuta akijishika shika zipu ya suruali yake akijipapas** papas** Jogoo'????wake aliyekuwa ameshasimama tayari na akashindwa kujizuia na kujitokeza kabisa

"Mwane!" alimwita msichans huyo aliyeshtuka na kulisitisha zoezi hilo, akiificha boksa nyuma mgongoni
"Kaka?!"
"Unafanya nini?" alimwuliza huku akipiga hatua kumkaribia, akiingia chumbani
"Nilikuwa nachukua nguo yako tu nikafue na..." kabla Mwaneke hajamaliza sentensi yake alijikuta tayari ameshashikwa kiunoni na mwanaume huyo

"Usinidanganye Mwane nimeona kila kitu" alimjibu na kuanza kumbusu busu shingoni, tayari uchu wa tendo ukiwa umempanda mpaka kichwani

"Kaka jamani niache?!" Mwaneke alilalamika akasukumwa mzima mzima akiangukia kitandani kwake....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 03

TAMU YA HOUSEGIRL

SEHEMU YA 03

****

Dada wa kazi (housegirl) Mwaneke alianza kufua furushi kubwa la nguo alilotolewa nje, likijumuisha nguo za wanafamilia wote, mama, baba na watoto wao wawili, kuanzia nguo za nje mpaka nguo za ndani, kazi aliyopewa na mama mwenye nyumba hiyo, mwanadada Yunusi ambae hajui kazi yoyote ya ndani zaidi ya kujipodoa na kula na kulala na hata mapishi huwa hagusi kabisa jikoni, akatoka akisimama mlangoni kumtazama dada wa kazi (housegirl) huyo anavyohangaika na nguo

"Eeh hapa kazi tu hakuna kulala, hakuna hela inayotoka burebure, umeomba kazi, fanya kazi" alimwambia

"Sawa dada" Mwaneke aliitikia huku akizichambua chambua nguo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tamu-ya-housegirl-sehemu-ya-03

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tamu-ya-housegirl-sehemu-ya
TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 02
TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 02
TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 01
TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 01
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

865
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

666
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

542
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

338
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

165
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

124
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

116
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

100
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest