Kwetu morogoro fun
Masha akavunga kama amelalaa,Mr Alberto alimpandisha juu aliona chumba kimoja kana udalili wa kuishi watu akahisi itakuwa ndio chumba cha Mashaa
Na kweli alipatia kilikuwa ndicho, kimepambwa mno chumba kinanukia udi na marashi mazuri
Akamlaza kitandani , akamtazama kwa muda moyoni akasema mbona sina hisia zozote na huyu dadaa mbona simuhisi kabisa kama ndiee , nimemuharibia usichana wake,ili kulinda heshima yangu lazima nimkubali ,Alberto Hakuna njia ingine tena ya kukwepa hili kama ataamua kunichafua kwa kitendo nilichomfanyia naweza kuishia jela kabisa ,kila kitu kilichojengwa na baba yangu itakuwa ndio mwisho daah "
Akainuka akaingia bafuni akaoga vizuri wakati anapaka mafuta alishikwa mgongoni akageuka aliemshika alikuwa Masha
"Ooh umeamkaa?" Mr Alberto alimuuliza huku anamtoa mikono yake akamsogeza pembeni
"Umechelewa sana nimekusubiri sana"
"Yeah tumechelewa kumaliza kikao nisamehe "
,"sawa" masha akasogeza midomo yake ili apate lips za Mr Alberto
"Subiri masha tunaweza kuongea??" Akamsogeza tena pembeni akaikwepa midomo ya masha
Akamkalisha pembeni kulikuwa na Kochi
"Masha kwa nashukuru sana kwa msaada wako ,lakini naomba tena nikuombe msamaha kwa ile shida ilijitokeza ile siku naomba unisamehe sanaa nina shida ambayo labda leo sio siku sahihi ya kukuambia lakini mie naomba nikuombe kitu"
Masha akameza mate akajikaliza vizuri, kumsikiliza mana Mr Alberto alikuwa anaongea kwa unakini sanaaa
"Nambie"
"Naomba Tusiingie kwenye mapenzi nitakupa kila kitu nitakulipa Fidia mara elfu ya nilichofanyaa lakini sipo tayari kwa sasa kuingia kwenye mahusiano nitakuumiza nina mambo mengi badoo"
"Haaa!! Haha!!! Yaan ulivyokuwa unanibaka haukujua kuwa haupo tayari kuingia kwenye mahusiano, Leo ndo unajuaa??? Upo serious??"
"Usinifikirie vibaya,nitakupa kila kitu hata usijali"
"Mimi nimesaidia maisha yako ndivyo ulidai lakini mimi uliniharibia maisha yangu ukageuza shilingi,,nataka ndoa yeah kama kweli nimesaidia maisha yako nioe"
Masha alikuwa mkali sanaa baada ya kusikia et asiolewe na Mr Alberto akaanza kulia baada ya kuona hata ukali wake haukusaidia
"Umeniharibia maisha yangu leo unanitelekeza kwelii"
"Siwezi kukutelekeza masha siwezi nitakupa maisha ,Nafasi yeyote unayo itaka nitakupa lakini sio Ndoa sio Mapenzi nitakuongopea "
"Basi niachee" masha akanuna akataka kuondoka chumbani ,Mr Alberto akamshika akamkumbatia hakutaka kumuumiza
"Haikuwa nia yangu kukuumizaa masha"
Masha ndo akaangua kilio cha nguvu roho ilikuwa inamuuma ukweli ukwelii kukataliwa na Alberto kwake ilikuwa ni zaidi ya mkuki ndani ya moyo wake mipango yake ya muda mrefu aliiona inaenda kuangamiaa
Moyoni akasema lazima nifanye jambo hapa la sivyo nitapoteza kila kitu , alikuwa anajisemea moyoni wakati Mr Alberto alikuwa amemkumbatia Masha akaanza kumpapasa
"Aaah" moyoni alichukia hicho kitu lakini atafanya nini tena na yeye ndio amesababisha hayo
Kumbu kumbu zake zilirudi mbaliii sanaa akiwa na familia yake akiwa kijana wa miaka 16 , anakumbuka walitoka Familia kwenda mji wa California Akiwa yeye ,baba yake mama yake na mdogo wake ambao ulikuwa ndio mji mzawa wa baba yao
siku hiyo walikutana na mwanamke mmoja ambae alikuwa Mwanamke wa baba yao kabla hajakutana na mama yao
Yule mama alikuwa wa kizungu hakuwa ame move on kwa baba yao , lakini ndio hakuwa na nafasi tena kwa mzee
Alipo ona familia ipo karibu yake, alinunua juice kiroho safi tu akaenda kuwasalimia watoto pamoja na famiilia hakuna aliekuwa na shida nae hata mzee alijua walisha maliza tofauti zao
Baada ya story za hapa na pale akatoa zawadi za watoto
Alikuwa na Juice mbili moja akampatia Mdogo wake Alberto na ingine akampa Alberto kisha akaondoka haraka
Yalipita masaa mawili tu tangu Alberto alipo kunywa ile Juice,,Mwili wake ulianza kupata joto kalii Homa ikamuijia ,hali yake ikabadilika na kuwa mbaya sana
Familia ilichanganyikiwa,hospital Majibu walipewa kuwa Alberto alikunywa kinywaji chenye sumu yupo kwenye hatari ya kufaa , Alberto hakuwa na fahamu mwili wake ulikuwa unatoa joto kalii
Pamoja na kupewa matibabu bado hali haikuwa nzuri
Doctor akawaambia kuwa kuna njia moja ya kutoa hii sumu mwilini amekunywa nyingi sanaa
Njia ya kutoa hii sumu ni kupitia mbegu za kiume inaweza kumsaidia akarudi kuwa sawa japo sisemi moja kwa moja itaisha mwilini
Baba yake akauliza inamadhara hii sumu akaambiwa ndio inauwa baada ya siku kadhaa ukiiwahi inatoka kwahiyo kazi ni juu yenu ...
Walitoka hayakupita hata madakika mama yake akaja na bint mmoja ,ilikuwa ndio mara yake ya kwanza kushiriki mapenzi ...
Itaendelea.... saa 11:00 jion
KWETU morogoro.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.