Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 20

9th Aug, 2025 Views 116



KWETU MOROGORO GROUP FUN


Abigael alijikuta anamkumbatia Mr Qassano

"Hata sijui nitumie kauli gani ,ubarikiwe sana "

" Usijali Abby, muda wowote unakaribishwa "

Sasa lile kumbatio la Abigael, Qassano mwili ulisisimkaa , akamtoa haraka hakutaka habari zingine

"Tuwahi nyumbani eeh"

Akauwa mada kwa staili hiyo , akawasha gari kwanza akapita super market alinunua kila aina ya mahitaji ya nyumbani ya chakula, alipo toka hapo akampitisha duka la vipodozi akamchukulia lotion na mafuta mazuri pafyum ya kipoaji

Mizigo kibaoo ...

Wamefika nyumbani Recho ndio alikuwa wa kwanza kuanza kushusha mizingo, mama recho akawa bize kupika siku enyewe wakamuita Vicky pembeni wakamwambia usipike leo tutakula wote mchana , hali ya kuwa walimwambia wanampa sehemu ya kuishi tu kula ajitegemee peke yake

Akasema haina shida.....

*******

Masha na Boazi ilikuwa mechi mechii mpaka mchana wapo hoi wotee , Masha alikuwa ashajisahau anampa sifa zote Boazi kuwa anaweza kumpelekesha kweli kweli ..

Masha akamwambia Boazi awe anakuja kumpa hizo raha akajisahau .

Simu ya masha ndio iliwashtua kutoka kwenye huba lao, Masha akajitoa kifuani kwa Boazi Taratibu akasogea ilipo simu yake aliekuwa anapiga namba imehifadhiwa Nesi

Akapokea "enhee nipe habari "

"Aaah mtu wako amegoma kabisa yaani nimetumia njia zote lakini amekataa kabisa kukubali Operation "
Masha hakujibu kitu aliinuka akatoka nje ya chumba , hakutaka anayoongea boazi ajue

Alishuka ngazi akaingia chumba kingine akafunga na mlango kwa ndani

"We Neema wewe ,kwahiyo umeshindwa kabisa??"

"Nimetumia njia zote jamani lakini aaah nimeshindwa "

"Hakikisha mwezi ujao haupiti unajua amekaribia kujifungua yule si unajua lakini nimekupa pesa nyingi sanaaa Neema lakini Unazingua, pale amekataa tu ungemchoma hiyo sindano aisee sijui unafel wapiii aah"

"Nipe hii nafasi ya mwisho mie sikutaka tufike huko lakini wewe ndio ametaka basi wacha afie huko tumboni ,,Nitampatia Sindano ya chanjo na mtoto atakufa tumboni baada ya siku 8 tu. Kwahiyo hatojifungua kikiwa hai"

"Hayo unayoongea natamani hata ungekuwa leo ndio umefanya , yaan sasa hivi ndio ungekuwa unanipa taarifa hilo toto limekufa humo ningekuona wa maana sanaaa wewe bado miezi miwili tu azae aah "

Masha alikata simu kwa hasira, akaifuta ile namba akatoka nje kurudi kwa Boazi hasira zake akaenda kuzimaliza kwa Boazi kitandani ....

Masha alikuwa anafatilia hatua za Vicky anajua anapo ishi clinic anayotumia na ndio akaenda kutoa pesa nyingi kwa kwa nesi ili amuandikie Vicky operation lengo lake likiwa Mtoto atakapo zaliwa tu basi auawe kabla hata Vicky hajamuona mwanae wala asijue amejifungua mtoto wa aina gani hilo ndio lilikuwa lengo la Masha

Mashambulizi yake yamegonga ukuta Vicky ameponea chupu chupu kwa kusaidiwa na Alberto bila kujua ...

Siku hiyo Alberto alishinda nyumbani kwa kina Vicky walikula na hakufanya kazi yeyotee , mpaka jioni kabisa ndio kaondoka kwenda kwa Rahul ..

"Rahul ,una uhakika kuwa masha ndie yule mwanamkee???" Mr Alberto alimuliza Rahul mana haelewi elewi mambo

"Ulinambia anakoti la brown muhumu saa yako ya Philippines vyote alikuwa navyo yeye ,kwanini umeniuliza ??"

Mr Alberto hakujibu swali la Rahul lakini kichwani alikumbukaa Wakati anamuingilia Masha ,alikutana na kitu cha tofauti kabisaa na kile cha mara ya kwanzaa

Akakumbuka bint alikuwa hajawahi kuingiliwa na mwanaume palikuwa padogoo sasa jana mbona amezama mzimaa mzimaa na anaonekana mzoefu

Hata alivyomkumbatia hakuwa yule wa siku ile ahisi kumjua kabisaa Masha ,aliona ndio mara ya kwanza kabisa kukutana nae

Akamwambia Rahul "nitafutie nyumba nataka kuishi mbali na Masha kwanza kuna vitu niweke sawa........"

Aliamua kukaa mbali na Masha huku kichwani akiwa na mawazo mengine kabisaaaa .....

"Usinambie unataka kumuweka karibu Abby"

"Natamani iwe hivyo mana nahisi kuwa na amani nikiwa nae kuliko Masha ,lakini sintafanya hivyo nataka tu kuwa huru na Masha"

,"nikuombe kitu, unajua tangu umeanza kumuongelea Abby, umefanya nimkumbuke sana Vicky ,nilimuona mara chache lakin nilimuelewa sana, kwakua wewe masha anakuelew sana Embu naomba unipelelezee huenda anajua hata ndugu yake mmoja na Vicky "

"Unataka kuoaa kakaaa, hahah"
Alberto alikubali ombi la Rahul akamwambia atamsaidia huku anamtania .....

Masha bado ananiandama Vicky kumbeee๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ
Mr Alberto nae anamuhama Masha ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„Kuna kitu amegundua kuhusu masha aauuuu???

Rahul nae anataka kuanza kufatilia habari za Vicky ,๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—

Ndo kwanzaaaa kuna kuchaaaa,

Mwisho season one tukutane season two .....

Byeee.
KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 20  >>> https://gonga94.com/semajambo/bilionea-ndani-ya-hoteli-sehem-ya-20
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

never give up harmonize
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest