Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 5.
Gonga94 ยท Stories

BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 5.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


On my laptop ๐Ÿ˜ช, trying to remember the password after being confused ๐Ÿ™†. Dakika ishirini baadae bado sikuwa nimekumbuka password ya kuifungua๐Ÿ™†. Hii ni baada ya kupata another three boxes written valium, zaleplon, triazolam and zolpimist extended release ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ. Nilianza kushindwa kilichokuwa kinaendelea ๐Ÿค”. Mara hii sikutaka kumuamsha Recho ๐Ÿ˜ช.

Nilishinda kwa laptop only to find out that she had changed the password,, Wait mbona niandikie mate na wino ungalipo๐Ÿค”. "Where is my phone?" I asked myself.

Haraka nilifika kwa room nikampata Recho ameamka yupo kwenye simu yangu yuaisorora๐Ÿ˜ช.

ME: Can I have my phone please,, just a minute?

HER: Babe kwan bado uko na number ya Ian,, naona amekutext hapa et uwe careful,, why๐Ÿค”??

ME: Ian?? Who's Ian?

I pretended not to know him,, at that time nilikuwa nimeanza kufunguka macho๐Ÿ™. Nilichukuwa simu na mara hiyo nikaingia Google, oh my gosh ๐Ÿ™†๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

I was left speechless after I found the meaning of valium and the other pills๐Ÿ˜ญ. Valium is a pill for sleeping, but when taken overdose, it can kill you slowly ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ™†. Hii dawa ndo watu huekewa kwa vyakula,, first, inaua memory yako usikumbuke chochote๐Ÿ˜ญ, kwa hiyo mtu anaweza kuwekea kwa food na aende,, after one week ndo wewe unakufa, no one will suspect๐Ÿ™†.

But mbna Recho anifanyie ivi๐Ÿ’”, nimemkosea nini mm?? Obviously I knew ni yeye koz hakuna mtu nilikuwa naye before ๐Ÿ’”๐Ÿ™†. Hata hivyo I decided to act smart but my heart couldn't manage to bear the pain๐Ÿ˜ญ. Sometimes I found myself crying rivers๐Ÿ˜ญ. Ndio nilimkosea mamangu wa kambo, lkn sidhan kama nilihitaji kupitia hayo mateso yote, after paying Recho's bills for two good years ๐Ÿ’”.

A week later, Recho was still thinking that nilikuwa bado sikumbuki chochote,, this chick could talk to anyone, flirting, organizing dates with other guys, alijuwanga ikipita siku moja nitakuwa nimesahau๐Ÿ˜ญ.

"Do you deserve this Sky? Si una nyumba yako, what is holding you here, already umejuwa haupendwi๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ" my heart whispered to me๐Ÿ™.

Kweli niliona kuishi mbali na Recho ni sawa dunia na kuisha๐Ÿ˜ญ. I loved that girl with my everything, kilichokuwa kinanipa kiwewe nii... Mbna anifanyie ivo๐Ÿ˜ญ??,

Siku mbili baadae moyo wangu ulishindwa kuweka uchungu uliokuwa mzito kama nta๐Ÿ™๐Ÿ™. I decided to approach her..

HER: Babe, you know I love you right๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹. Kwanza jana hukunipa ile pesa nilikuomba ya kuenda party ya classmate wangu๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.

ME: But si pia wewe unajuwa sijaingia kazi kwa siku tatu sasa๐Ÿ™. Nikiingia nitakupa๐Ÿ’•.

HER: Si ukope babe,, hata kama ni kwa zenka, nimeona unapewa 10k๐Ÿ’•. Ukiingia kazi utawarudishia๐Ÿ˜‹.

"You mean nikope pesa nikupatie uende party๐Ÿค”, Recho what about our future??" I asked.

She laughed loudly, "okay relax babe, no one knows about tomorrow right? Let's enjoy today๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹, tommorow is not promised" she charmed .

ME: It's okay, ebu hiyo simu yako๐Ÿ’•.

Hapo hakuresist koz alijuwa hata akinipa password yake, keshoye nitakuwa nimesahau๐Ÿ™. Alishangaa kuona sijamuuliza kitu lakn nimeifungua simu,, sema kuingia kwa watzap๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”.

Hehee, hapo ndo kulikuwa na kila kitu, Recho was chatting with a girl saved Samantha ๐Ÿ˜ฒ. They were discussing about me๐Ÿ˜ญ.

RECHO: please why is he taking too long, you said in three days atakuwa amekufa...

SAMANTHA: It seems damu yake ni nzito sana dear,, Be patient ๐Ÿ˜‚. Sky gonna finally be death๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹.

RECHO: Lakn haoneshi dalili,, kwanza kwa bed, this boy is a monster ๐Ÿ˜‚.

Samantha: Chunga asikufie juu yako,, Jacob, Smith na Ricky watamiss hiyo nunu yako mammy๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹.

Recho: Mbona umesahau Carly na yule sponsor wa fourth year๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Aki hawa watu wataniua๐Ÿ‘๐Ÿ†..

Recho alishangaa kuniona nikilia,, "Babe after all these two years ๐Ÿ˜ญ, what did I do?" I asked.

HER: What babe,, why are you crying ๐Ÿ˜ฒ. Let me see? Oh my God, oh my ๐Ÿ™†๐Ÿ™†, babe ulijuwaje password ya WhatsApp ๐Ÿ™†. Ngร i (she sat down).

I said nothing, just took my phone, few clothes and my laptop nikaishia kwngu๐Ÿ’”๐Ÿ™. It seemed like love wasn't my thing ๐Ÿ˜ญ. That was my hardest and painful moment in my life ๐Ÿ˜ญ. Nilifikiria kujiua huenda ningeebukana na machungu ya dunia๐Ÿ’”.

Hata heri ya KANTHA, sasa mbna Recho anataka kuniua๐Ÿ˜ญ, what have I done ๐Ÿ™†๐Ÿ˜ญ, nililia kama mtoto lkn hakuna aliyekuwa karibu kunivuta machozi๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ.

Recho hakuwacha kunifwata,, this time aliogopa kuja kwangu,, kukol tu na matext..

Nilistay kwa nyumba for three days, no food no anything, just crying and sleeping.. hii aliwatia jirani wasiwasi ikabidi wakamwambia caretaker wetu๐Ÿ™๐Ÿ™,, saa tatu usiku hivi, niliskia mtu akipisha mlangoni๐Ÿ˜ญ. Kuenda kuamka kwa bed nikaanguka,

ME: Rechooo, sitaki tena๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.(bado niko chini)

"It's me Essie, caretaker ๐Ÿ™. Please open the door for me ๐Ÿ™†, what happened??" She asked..

Sauti yangu ilinisaliti kwa mara ya kwanza,, nilifungua mdomo ukabaki ivo,, kufungua macho nikamwona Esther amesimama mbele ya bed yangu๐Ÿ™.

HER: SKY what is wrong,, amka.. Ngร i Shillaaaaah๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ๐Ÿ—ฃ๏ธ, please come..

she called my neighbor who had moved to our plot recently.. they carried me outside. Shillah akaleta juice, waliniambia baadae et nilikunywa 5litres pekee yangu๐Ÿ™†๐Ÿ™†.

Essie (caretaker) asked Shillah to check out on me,, hakuwa anaenda kazi kwa hiyo alishinda akinitembelea the whole day..

Shila : Sky leo utakula nini?? Mm nimepika waru kwa wali๐Ÿ™.

ME: Me niko sawa,, nisikue mzigo kwako please.. you are being so nice to me..

Shillah: but am not complaining ๐Ÿ˜‹. You know in this world,, nothing is permanent, leo naeza kuwa nazo kesho niombe๐Ÿ™. Alfu nilikuwa na swali pia?

Simu yangu ikagiriza kwa bed,, "sorry just a minute ๐Ÿ™" nilisema huku nikiingia nyuma ya pasia..

Shillah: ๐Ÿค”๐Ÿค”mbna tena ukachange sura?? Kwan ni nani alikuwa anapiga??

ME: Don't mind Shee, okay uliza sasa, ulikuwa na swali gani๐Ÿ™.

HER: Mbna the other day ulikuwa ivo,? What is eating your mind up.. ulifutwa kazi, ulifiwa na relative ama ulikuwa mgonjwa??

ME: So kuna huyu dem..........

Niliwekelewa kofi na Shilah ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

HER: Hata nilidhani ni kitu ya maana,, nani sahi huwa analia jua ya dem๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.. Sky are you mad,, yani mapenzi ndo inataka kukuua๐Ÿ™†. Usiniambie chochote kuhusu mapenziโœŒ๏ธโœŒ๏ธ.

Hapo ndo Shee alinifungua macho,, "yani mm najililia huku pekee yangu na mwenye amenicheat ako tu happy na wanaume wengine,, no more trusting.. in a relationship, everyone cheats. Kulia ni uamuzi wako wewe mwenyeweโœŒ๏ธโœŒ๏ธ" nilijiambia mwenyewe..

Shee: What are you thinking about?? Food ndo hii๐Ÿ™.

ME: So you said no one is loyal nowdays๐Ÿค”๐Ÿค”.

HER: Ni wewe umesema sio mm,, but kupata msee loyal ni ngumu kama kupumua na mdomo ulimi ukiwa nje na umefunga mapuaโœŒ๏ธ. Wait so unajaribu๐Ÿ˜‚.

ME: Oh my goodness, it's impossible ๐Ÿ™†.

Shee: Yes umesema it's impossible ๐Ÿค—๐Ÿค—..

Recho akakol tena๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช.. "Sky ignoring someone will not make her regret, let her know that you are still doing fine๐Ÿ’•๐Ÿ’•" she begged me to just receive the call..

ME: Hello?

VOICE: beb please,, am missing you, come home๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Let's talk and solve this.. am sorry ak๐Ÿ˜ญ.

ME: Sorry I died the way you had planned.. and for your information, Sky is someone's now๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช. Continue entertaining those men with your ๐Ÿ‘...

Shee: ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ.

RECHO: Whaat๐Ÿ˜ญ. please ni mabeshte wangu ndo walikuwa wananiadvice kukuacha๐Ÿ™†๐Ÿ™†. Ilikuwa ngumu kudate na msee alidrop out form two Na mm niko University ๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ.

ME: So nimegraduate lini ndo unanitaka tena??

I hanged up the call, "Shee can you imgn?" I asked her ๐Ÿ˜ช.

HER: eti uko na mtu already. Who??............

To be continued . Leo usipite bila kuweka alama bana๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹. Then am having hard time kuandika story jioni aki wakuu ... masaa ya job imechange so naingia kejani late sana๐Ÿ˜ญ. Hadi nimeanza kufikiria kutake break kidogo๐Ÿ™. Nimetaka advice yenu, twendelee na morning episode pekee ama tuchukue break kiasi๐Ÿฅฐ. Wewe unaona aje?

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 5.



On my laptop ๐Ÿ˜ช, trying to remember the password after being confused ๐Ÿ™†. Dakika ishirini baadae bado sikuwa nimekumbuka password ya kuifungua๐Ÿ™†. Hii ni baada ya kupata another three boxes written valium, zaleplon, triazolam and zolpimist extended release ๐Ÿ˜ฒ๐Ÿ˜ฒ. Nilianza kushindwa kilichokuwa kinaendelea ๐Ÿค”. Mara hii sikutaka kumuamsha Recho ๐Ÿ˜ช.

Nilishinda kwa laptop only to find out that she had changed the password,, Wait mbona niandikie mate na wino ungalipo๐Ÿค”. "Where is my phone?" I asked myself.

Haraka nilifika kwa room nikampata Recho ameamka yupo kwenye simu yangu yuaisorora๐Ÿ˜ช.

ME: Can I have my phone please,, just a minute?

HER: Babe kwan bado...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/body-count-part-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi body-count-part
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 3.
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 3.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ†. part 9.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ†. part 9.
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 2
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 2
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ†  part 10
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 10
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 4.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† Part 4.
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 1.
BODY๐Ÿ†COUNT๐Ÿ‘ part 1.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 7
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 7
BODY๐Ÿ‘ COUNT๐Ÿ† Part 8.
BODY๐Ÿ‘ COUNT๐Ÿ† Part 8.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 6.
BODY๐Ÿ‘COUNT๐Ÿ† part 6.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.22K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

1.05K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

780
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

324
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

323
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

285
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

236
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

195
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

184
SHAMIRA 105 na 106

SHAMIRA 105 na 106

180

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.8K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.52K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.95K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.78K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest