Shee alikuwa anashangaa kwann niliambia Recho kwamba I was someone's BF na sikua nae🤦🏼♂️, I could see the surprise all over her innocent face,, hata hivyo the message to Recho was very clear,, alishindwa kudate na msee alidrop out akiwa form 2🙏, hiyo pekee ilinipa sababu ya kumkatia simu💔.
Shee: Sky did I hear something like death?? How could she??
ME: Yashapita hayo mamaa,, si umesema hivo ndo dunia ya sasa ilivyo.. ndio alitaka kuniua kwa sababu ambayo hata mie sijaijua mpaka wa leo🙆🙆.
Urafiki wangu na Shee uliendelea tukawa tumezoeana kama ndungu na dada,, alifika mahali akaamua kunipa story yake pia,, kweli huwezi juwa kilicho ndani ya mtu mpaka akufungulie moyo ukisome wewe mwenyewe.. her boyfriend was kinda cheating person 💔. Mm nilikuwa nagongewa nje ya hao lakn yeye alikuwa analetewa kwa nyumba tena anaambiwa awapigie chakula ambacho hawakununua🙆🙆💔.
ME: Now I understand why you slapped me 🤦🏼♂️. Yours was so painful 💔😭.
HER: Thank God. That knife didn't get to my neck, sahi sijui ungekuwa unabonga na nani sky💕💕. Now imgn ni wangap wanapitia hali kama hii huko nje in the name of marriage 💔😭.
ME: Lakini wengi huvumilia ju huwa wanaombea wapenzi wao wabadilike💕.
Shee: Hapo sasa ndo nilikuwa nafika🙏. Inakuwaje umeomba God a change mtu wako kwa miaka mbili na bado hajachange🤔🤔.. mbna watu huwa wanaforce mungu awapee majibu yenye wao wanataka😪😪.
ME: Wait,, umenipoteza kidogo,, una maana gani??
HER: I mean, mungu huwanga amewajibu,, mtu asipochange juwa hilo ni jibu kutoka kwa mungu,, unaambiwa huyu mtu hatachange🙏🙏. Alfu wewe hapo unaforce mungu 😪, am speaking out of experience Sky 💕 I prayed for three good years💕.
ME: waah, shillah hujawahi kuwa open hivi💕. Am sorry for all that happened..
HER: Sasa niambie,, btwn me nd you, who should be crying here😂😂.
Before we could realize, it was already saa nne usiku,, hata hatukuwa tumepika🙆. "Weeh Sky let me go to my house, leo ujipange, mm nimechoka sitapika😂" she said.
ME: Si uchukue hiyo chai uende uchemshe na cake zii pale💕. Hata mm nimeshiba leo🤗.
HER: Haya basi asante🙏. Bye bye..
Everyone on our plot thought we were dating but there was nothing connected to love between us.
This lady was full of wisdom, hakuna siku ungekam up na swali akakosa jibu💕. I just liked spending time with her✌️. In just two weeks, she had already taught me a lot 🤗.
Nilijipata nimemtext akiwa kwa room yake tena🤦🏽♀️. "Hello I miss your encouraging words already 😂, can you come over now"
HER: Sky nimetoka kwako ndo nikupe muda wa kufikiria kuhusu maisha yako🙏. Kwan haijakuuma venye umeambiwa uliachia form two???
Nilikosa cha kumjibu🙆🏾♂️, what a clever girl she is.
ME: Sorry🙏. Good night 💕💕.
SHEE: Don't get me wrong boy,, you are now like a brother me, I have all rights to tell you anything, jaribu kufikiria kuhusu future pia 😋😋.
Shillah alikuwa too serious 😪,, lakn ukarimu wake ndo ulinipendeza, one day I think I will surprise her with a gift 🤔 which gift🤔🤔,, mmhh🤔 maybe a ring 🤔.....
"Hey wake up, it's morning kwan huendi kazi??" Niliamshwa na sauti ya malaika wa dunia😋💕.
ME: Oh gooosh,, you just spoiled my sweet dream.. si ungewacha nikukiss kwanza😪😪.
VOICE: Whaaat mm ni Essie bana sio shilah✌️. Kwan unaota saa moja asubuhi,, wow watu wenye mshamake it in life😋.
Hawa watu wawili waligeuka kuwa mabestie wangu wa damu💕. We shared everything, Essie alifika mahali akaanza kuniachia rent🙏, plots zilikuwa zao so angeniandikia receipt bure😋😋..
"Hahaa karibu, kaa chini kwanza alfu uniambie nani huenda kazi sunday🤣😂." Nilijikomoa
Her: 🙆🙆woih leo umenipata,, anyway I came to ask you something,, how is shillah treating you 🤝.
ME: Nice,, she's so kind and generous. So far I can't complain 💕.
Essie: Mmh why should you complain wakati mnalala pamoja siku hizi🤦🏽♀️🤦🏽♀️.
ME: Kwan mshaanza kupractice manifesto ya wajackoyah😂😂. Shillah huwa tunashinda naye huku kila siku,, but hajawahi lala huku🙏🙏. Who told you that??
HER: I heard you talking yesterday,, saa nne usiku.. you mean hakulala huku🤔.
Nilianza kuona signs of jealousness in Essie.. sababu ndo sikujua koz hatukuwahi kuongea kuhusu mapenzi🙏🙏. Anyway I decided to play fairly..
ME: Wait,, but si angekuwa hapa sahi kama angelalia huku,,, Essie?? (She looked at me) kwa hiyo ni vibaya akilala huku??
Essie: Ooh noo,, but you know,, yaa, I just felt a little concerned about it💕💕. But asilalie kwako sawa😋😋😋.
ME: Unajuwa nilikuwa nashindwa ni lini rich kid ka wewe akaamkia saa moja kwa mlango wangu🤔🤔. Can I guess something??
ESSIE: hahaa leave it,, leo nakula huku breakfast, mam and Dad travelled yesterday night 🙏🙏. Am bored alone na hiyo ndo imenifanya nikaja hapa kwako😋😋. Kwa hiyo mwambie leo asikuje 🤗🤗.
What was that kama sio kawivu😪. Na venye nilikuwa nimemzoea shillah. "Okay mm sina anything 😂, maybe uende ukam na food💔🙆🏾♂️" I teased her.
Alipotoka nikaamua kumtext shillah nimshow hiyo risto,
Shee: Am hearing everything,, huyo mtu ameanza kudevelop feelings kwako of which I don't like it at all😪😪, nangoja akuje then nikamie charger yangu🙏 nataka kujua intention yake🙏.
ME: But I hope you are not planning to do anything bad koz you are not that kind of a person. Unajuwa wewe unapenda sana kuchange mind🙏🙏.
HER: Yes,, I like changing everything, clothes, phones, earrings but there's one thing I cannot change at any cost✌️✌️.
ME: And what is that??
HER: My man✌️✌️.
"Wait,, but you said hauna BF in your life!" I replied..
HER: I "said" but now I do😏😏. Do you wanna know him? Don't worry am coming to show you now?
Essie akarudi na unga kilo nne,, mafuta litre moja na sugari😲😲.
Essie: Soo, what next😋😋.
ME: Hizi zote😲
HER: na bado as long as you will......
Shee akapisha mlangoni🙆🏾♂️.
ESSIE: hello Sky 😊..............
To be continued.... Unataka kupita bila LIKE sindio😂. Leo niko free, fikisha 10 shares na 400likes nidrop next.. Mnaona nianguke na nani hapa😂😂🙈🙈.