.
I didn't know why ESSIE was behaving like that 🤔, mwanzo ni yeye ndo aliniintroduce kwa Shillah 🙏, how come tena awe hataki kutuona pamoja,, anyway, walisema anayekuchukia siku zote huwa hakosi ila ya kukutia. Tukiwa tu kwa hao tumetulia, Essie alionekana kutaka kuniambia kitu lakn akakatishwa na hodi ya Shee mlangoni,, kila aliyekuwa na macho angeona jinsi uso wa Esther ulifura ghafla🙆.
ME: karibu ndani😋.
To he honest Essie hakupenda hivo,, na ili kumhakikishia kwamba hakuna kilichokuwa kinaendelea Kati yangu na shee,, nilimshow yeye aendelee na alichokuwa anataka kusema🙏🙏.
ME: ESSIE,, sie tuendelee na story zetu🤗🤗, ulikuwa unasema🤔. Unajuwa wewe sometimes huwa unanibamba sana💓💓.
She smiled as she looked at my stress killer shee..
"What? Mbna unaniangalia hivo😂. Ama mlikuwa mnanisengenya🙆" shillah pretended..
ESSIE: Sky mbna hukunishow mtu akiingia hapa kwako lazima apite hadi kwa bed yako😪.
SHEE: Hahaa, inakuuma mm nikilala kwa bed yake🤦🏽♀️🤦🏽♀️. Mm nikiboeka na kwangu huwa nakam kupolea humu ndani hata kama yeye hayupo💕💕.
Lakn mbna hawa watu walikuwa wanabehavi ivo,, hakuna mtu tulikuwa tunadate kati yao🤔🤔. "Hey guys, sijui kwann mnaonekana kuuvunja urafiki wenu💔, what's wrong with you both ? Mbna mnabehave ni kama mko na wivu ivi?". Obviously nilikuwa naambia essie but sikutaka adhanie nilimwambia yeye pekee🙏.
ESSIE: Shee unajuwa tulikuwa kwa important discussion please,, ulikujia nini upewe ndo utupatie space kidogo 😪😪.
SHEE: Eti ni ivo sky??
ME: 🙆🙆🙆alikuwa anataka kunishow kitu but ukainterupt, mybe hiyo ndo important koz hata mm sijajuwa🙏🙏. Can you please 💕💕.
Shillah: Okay I respect your privacy 💓. But please pia nilikuwa na important thing chenye nilitaka kukushow🤗🤗. Call me immediately after you are done 🙏.
ME: Sure I will 💕. Aauch!! Kwenda huko😂😂.
Shee alinifinya chuma 🍆 intentionally akiamka kuenda🙆🏾♂️🙆🏾♂️.
ESSIE: Are you sure akuna kitu kinaendelea kati yenu?? sky usinichoche please 🤦🏽♀️.
ME: Wait,, unajuwa hata mm sijajua reason yenye inakufanya ubehave ivi? Nimekwambia hakuna kitu,, kwan ni vibaya kukiwa na kitu kinaendelea?? Koz wewe ndo uliniintroduce kwa huyu Bess wako🙆. Niambie kama una kitu??
HER: Anyway, kwan hukuosha vyombo🤔, aki tu wanaume😂. Sasa chai utawekewa wapi??
ME: Maybe nichukue kikombe kwa Shee,,.
Alipoona nikiamka kuendea, "ama wacha tu😋, nitachukua zetu💕,".....
"Hahahaaaaaaa, uuuuuuih" sauti ya shillah ilisikika kutoka kwa nyumba yake😂😂.
ME: Weee ni nini unacheka huko kwako???
HER: mm niko kwa simu bwana,,, kweli sky umekosa company kabisa😂😂. Unaniongelesha ukiwa na mgeni🗣️🗣️🗣️🗣️.
Nilitaka nimwambie kitu but essie akawa amerudi na vikombe🙏. "Mbna unacheka beb,, ah sorry sky??" She asked.
ME: Am happy leo mmeamua kunisurprise😂. But ulitaka kuniambia kitu🤔. Am loosing patience 🤦🏽♂️. What was it??
She said nothing,, nia yake ilikuwa tu ahakikishe hatujashinda na shillah 😪,, I wish angejuwa venye tulikuwa tunachat🤗.
Hiyo siku yote tulishinda na Essie kwa hao,, mastory kuplay games kwa simu, am sure she wanted to hear something from me but💔💔💔.
HER: Hope you are enjoying my company boi😋??
ME: yes💕.
Kimya tena,, after like 5minutes ivi..
HER: So Sky, tell me more about yourself. Azn are you dating??
Hilo swali lilikuwa sawa na kuongeza msumari kwenye kidonda😪. Dating again? Sidhani kama kuna day nitakuja kupenda mtoto wa mtu kiukweli💔😭. What KANTHA and RECHO did to me, siwezi amini mtoto watu tena kwa hii dunia😭. Oh noh I can't imgne dating again,, to me all girls are cheaters😪😪.
HER: Hey, why are you silent?? Talk to me🙏🙏.
ME: Please I have really enjoyed spending time with you here.. see you tomorrow 😭😭💔.
Essie: Yani unataka kunitoa kwako?? Just because I asked you a simple question 🙆. Najua unataka kumuita shiila hapa,, kwa hiyo siendi hata naweza lala huku😪😪.(no reply) Sky?....(silence) Hey Sky...?
Nilipoimgn mapenzi nilokuwa nayo kwa Recho 💔 nilishindwa kujizuia,, Essie kunigeuza aniangalie kwa macho😭😭.
"Wot? Ngài Sky unalia ama machozi ni ya??" She asked
Shilah kusikia hivo alikuja haraka🙆🙆.
"Sky amka kwanza,, wee what has happened to him😪?" Aliuliza Essie.
ESSIE: I don't know,, amechange tu ghafla after nimemuuliza kama anadate🙆🙆.
SHEE: Oyah "bro" (essie akashangaa "bro") amka kwanza,,, na wewe Esther wewe,, mbna umemuuliza swali la ujinga kama hilo😭💔. Akh, sky??
Shilah alikaa kando yangu, "sky kwan tuliongea aje surely 😭😭, you should stop thinking about your past and start a new life again, kilichotokea kishatokea, you can't change your past🙏🙏"
ESSIE: 🤔🤔🤔kwan what happened shilah??
SHEE: Kama angekuwa amekutrust angekuwa ashakwambia kila kitu😪😪. Stop forcing someone to love you 😪. Akikupenda utaona tu anakwambia venye aliniambia🙏🙏.
ESSIE: You mean anakupenda wewe??
SHEE: Maybe koz he told me everything that happened😋. But please mambo na love usiwe unaongelea karibu na sky 😪😪.
ESSIE: Am sorry basi 🙏. Sky??
ME: I want to be left alone please.. we'll talk later 🙏🙏.
ESSIE: Wee tunaambiwa twende,, mbna umekaa??
Shillah: Kwan tuliingia hapa wote?, Wee enda, ninaenda pia🙏.
Mtoto wa landlord alipotoka tu ivi,, Shee kalinirukia tukacheka🤗🤗.
ME: Shhhh🤫🤫. Maybe hajafika mbali bana😂😂.
HER: 😂😂😂lakn wewe tu sky,, mm nilikutext ujifanye unalia sikusema ulie cha ukweli💔😂. Waah lakn hawa watoto wa wadoz wanakuanga na ufala😂.
ME: Nani amekwambia nimelia cha ukweli😂. Mentho plus ndo hiyo hapo💔😂. Aki sema kuboeka. Niletee lunch yenye ulipika nikule ak,, ninakufa njaa😂😂.
HER: Wacha jokes😂. Si ulipikiwa lunch wewe💔😂.
ME: Essie kitu anajuwa kupika ni kuchemsha maji pekee😂😂. Imgn maji ya ugali venye yalichemsha akaanza kucheka et niende nionje kama yameiva😂💔. Mm nakufa njaa bwana😂.
Kumbe essie hakuwa ameenda😭😭😭😭.
Hata before nimalize story😭😭. Kwa mlango😭😭, "sky fungua mlango kwanza😭😭"
To be continued... Tumechoma ak😭😭😭.weka Like bana🤗 only 10 shares si mnajua😍😍.