Having a girl who understands you in everything is a double blessings 💕. Wakati uko na stress, yeye ndo anakuwa wa kwanza kunotice hata before umwambie😋. A girl who can tell you anything openly without minding if it'll hurt you or not 💓💓.
Shillah, I always call her "my stress killer" she got every reason to make my day blossom😋. But all that won't make me forget the heartbreaks I was served with Recho 💔 and KANTHA.. they all acted the same but at last what did they turned into?? 😭. Bob will never again offer his heart to anyone🙏🙏.
Tukiwa tumeketi kwa bed na Shillah tukimcheka Essie 🙆,, hapo ndo tulirealize hakuwa ameenda,, wivu haingemuruhusu asonge hata steps tatu😪😪. Kabla sijamaliza kusema, mtoto wa mtu aligonga mlango😲.
Shee: 🙆umechoma walahi🤔. Kamfungulie basi....
ME: Esther ingia tu, hatukufunga🤦🏽♂️.
HER: Siingii ndani, ninataka tu kukwambia kitu then niende🙏. Am sorry kama hukufurahia presence yangu🙏.
ME: (to shillah) should I go??
That night nilikuwa na usiku mrefu aje,, after kutoka nje, Essie alinipea barua na kunishow nisionyeshe mtu🙏. Alisisitiza kuwa niisome usiku ka hakuna mtu🙆. Hakuonekana kujam lakn alikuwa more serious than before 🤔.
ME: But mbna huingii,, karibu tukaekae bana,, sasa unaenda kuboeka pekee yako??
HER: Sky siwezi kaa nikiangalia food yenye nilikupikia ukakataa kukula😭. Madharau haiwezi pita hapo🙏.
ME: Relax girl,, nakosaje kukula food yako na venye umejisacrifice kunipikia aki,, nishakula yote😋😋.
ESSIE: (surprisingly) umekula sangapi? Let me see,, (akajaribu kuingia but nikamzuia)
Food yake yote ilikuwa kwa sufuria😭. Na angeingia aione for real hiyo ingemuaffect kwa njia moja au nyingine 🙏🙏.
HER: I know unadanganya Sky,, but why,, you shouldn't have allowed me to cook😭. Imgn huo muda wote??
Shillah: Sky si umemprank vya kutosha ak,, mwache akuje aone💓💓,, unajuwa hakuna kitu mbaya kama kumpikia mtu na akatae kukula😭. Essie ingia🙏🙏.
Nilijuwa hapa sasa mbio zangu za sakafuni zimeanza kuishia ukingoni😭. Niliamua tu kumruhusu aingie,, hapo nilikuwa nimetarajia lolote au chochote🙏. Haswa nilijuwa tu ningeanza kilipa rent anytime 🙆🏾♂️🙆🏾♂️.
Kwanza nilimwacha yeye aingie🙆🏾♂️. Nilingoja aseme kitu but alibaki tu kama amekimia chumbani🤔🤔. Kuingia nikapata kwa sufuria hakuna kitu😲😲,,
ESSIE: Wow❣️ kwan hutakangi kula mbele ya watu ama😋. I thought ulikuwa unadanganya tu, kumbe ulikula💕.
ME: Yaa mm nimezoea kula pekee yangu😋😋. Food ilikuwa tamu sana🤗. I wish ungepika mingi💕.
ESSIE: Don't worry,, supper sasa nitakupikia tamu zaidi😋😋.
ME: Atheeeee😭😭😭😭.
Shillah akapasuka kwa kicheko🙆🙆.
ME: walahi venye nimekula ivo,, hadi kesho ndo nikule tena😋😋.. kwan unataka kunipasua tumbo. Aki tu Esther wewe🤗🤗.
SHEE: Excuse me guys,, kuna mtu ananichekesha kwa simu hapa,, let me talk to him😂😂. Waaah💔😂.
Kusema tu ukweli sijui ugali yenye ilikuwa kwa sufuria iliendanga wap,, sijui shillah aliificha wapi🙆. Mm sikukula kitu,, infact njaa ilikuwa inaniua🙆.
ESSIE: Okay kesho nitakuja kukupikia tena 😋. (Looking if shee was around) but Sky make sure hiyo barua unaisoma alone please sawa🙏.
ME: Sawa🙏. So wazae wanakam wen??
Essie: Leo usiku ama kesho asubuhi,, they went to my elder brother's graduation 🙏🙏. Huenda wachelewe💕.
ME: Pia ningependa sana kukushukuru 💓. How are you managing to recover my rent??
HER: Don't worry.. I was given these plots, so pesa ni mm hueka💕.
ME: 😲😲kwa hivyo kumbe wewe uko na doh mingi ivo😲.
ESSIE: Hahaa si mob vile,, but venye naona, wewe unadhani mm ni mtoi sindio??😪😪.
Alipofika hapo nikajuwa kimeumana🙆🏾♂️. Am sure she was just acting normal but alikuwa amesikia venye nilikuwa ninamwongelelea🙆🏾♂️. Mara that nilidecide kuchange topic haraka..
ME: So Essie,, unadate??
Kwanza akashangaa🤔🤔,, "Sky unaniuliza swali lenye wewe hutaki kuulizwa??" She asked back..
ME: Nooh si ivo, yan ni venye tangu asubuhi sijaona mtu akikukol. Si leo ndo ungefaa kuenjoy na BF wako😋😋. Kupelekana out ivi🤗.
HER: I wish ningekuwa naye twende out🙏. Sisi huwa hatupewi muda wa kuinterract na wasee,, kama sio kwa church na shopping, hakuna place ingine tunaweza enda🙏.
ME: Si ungenishow mapema twende out bana😋. Ningekupeleka swimo, bora ulipe wewe✌️.
ESSIE: Sure?? How about tommorow??
Haya yote nilikuwa nasema ili kumake sure amesahau chenye alikuwa anataka kusema🙏🙏. Sikua na haja na out💔. But yeye alikuwa more serious 😲. Nilianza kuomba shillah arudi haraka ndo tukatize hiyo risto🙏.
Bahati nzuri tuliskia kengele ya gate yao,, wazae walikuwa wamerudi😋😋.
HER: Sky tuonane,, sitaki wanipate huku koz mathe huwa hataki nikija huku🙏.
ME: Okay bye bye💓. Careful 🙏🏼.
According to my view, Esther was new in the world of love,, bado ndo alikuwa anajuwa mambo na BF and girlfriend. Mara nyinyi aliniuliza maswali yenye anaonanga yakiulizwa kwa movies🙆. She didn't know I had already given up on love💔💔.
Chumbani kulitulia kukawa hamna kelele tena,, deep in my heart, I was asking myself if I should fall in love again 🤔. The bigger side of me said no, mtu kama hamjaanza kudate anakuanga poa sana but wacha muanze mapenzi😭.
"Wee kwan unasinzia? Niite mara ngapi ndo uitike🤔" nilishtukia shillah akiwa ameketi kando yangu🙆🏾♂️.
ME: Ooh sorry 🙏🏼. You wanted to tell me something Shee 🙏. My ears are all yours 🤗.
HER: Si kwanza ule,, ndo hiki chakula🙏.
ME: Ngojaaaa, umenikumbusha,, hiyo food ilikuwa hapo kwa sufuria ulikificha wapi🤔??
SHEE: Guess where🤗.
Aliamka na kuchukua bag yangu ya nguo😲😲. "Ngài shillah yani unaweka ugali kwa nguo zangu na ni safi😭😭"
HER: Relax, sikuweka kwa nguo zote,, nilikuwa naficha kwa mifuko ya trousers na makoti😂😂.
ME: kumbafu 🙆🏾♂️🙆🏾♂️. Aki usiniambie uliweka hadi hiyo suit yangu💔💔.
SHEE: Yote ilikuwa kukusave tu,, haya basi chagua, ununue sabuni ya 50 nikuoshee nguo ama uwe ukilipa rent 3500 monthly 🤔🤔.
ME: Kwa hiyo uliweka hadi kwa mashati ya white??.
HER: Oh my goodness,, hadi kwa boxer yako😂. Aki hii si mm niliweka🙆♀️🙈🙈.
ME: toka hapa😂.
The following day Essie hakukanyaga kwangu ju wazae walikuwa around 🙏.. after shee kunioshea nguo zote, aliingia kwa nyumba na letter kwa mkono 😲😲.
HER: So Bob niambie,, kumbe mmepanga nihame kwa hii plot??
ME: What are you talking about? Hii ni nini umebeba??
Shillah: Ngài unaniuliza mm na ni barua nimetoa kwa nguo zako😪. Nimewakosea nini yani??
Oh god,, hapo ndo nilikumbuka nilikuwa nimepewa barua na Essie 😭😭. Tangu niifiche kwa nguo zangu ndo niisome usiku na nikasahau😭. Kwani Essie alikuwa ameandika nini???
To be continued 😭😭. Unataka kupita tu tena 😭😭.mniombee😂😂😂??.