Oh god,, hapo ndo nilikumbuka nilikuwa nimepewa barua na Essie 😭😭. Tangu niifiche kwa nguo zangu ndo niisome usiku na nikasahau😭. Kwani Essie alikuwa ameandika nini???. Adi mm mwenyewe nilishtuka kuliko shillah.
ME: Calm down please,, hatutaelewana kama utaendelea kushout ivi🙏🏼. Hata mm sijaisoma hiyo barua🙆🏾♂️. Let me see...
HER: see what? Sky hujawahi nidanganya😪. What's going on between you and Essie??
For the first time nilijuwa Shee was a short tempered girl.. she neither allowed me to read the letter nor listened to me..
"Hey Shee it seems umejam sana,, go relax tutaongea baadae, koz wewe unataka nikwambie ukweli na nikianza kuongea unanikatiza tena🙆🏾♂️🙆🏾♂️" I calmly requested.
Alienda akakaa kwake for 1hr ndo nikaamua kwenda huko💓. For real I didn't know what Essie had written. Pia Nilikuwa na haja sana ya kujua..
ME: Hey Shee,, can I come in please..
HER: Wait kwanza am naked 😱. Okay ingia sasa😪.
ME: You mean it's a crime to see your fruitful body......
HER: Sky usianze zako tena.. niambie.
Shee hakuwa na viti pia,, so I asked her if neza kaa hapo kwa bed 🙏🏼. Hata kama alikubali, niliona bado alikuwa amenijamia🙆🏾♂️.
HER: Unaonanga mm nikikuuliza ruhusa ndo nikae kwa bed yako?? Keti hapo tu...
ME: Please Bess,, you are being too harsh to me ak, sijui hiyo barua inasema nini, nilipewa jana nikasema ningeisoma jana usiku but nikasahau, can I see it🙏🏼🙏🏼.
Tulikaa na Shee masaa matatu bila kusuluhisha mambo,, for me that was a red flag, huwezi date na mtu hataki mzungumze wakati Kuna misunderstanding 💔😪.
HER: Why are you silent sky,, ongea nisikie.
ME: Am going to my house.. if you feel like I also have go through the letter,, utaniletea sawa.. it seems mm kukaa kwako imekuwa budden🙏. Lkn juwa tu mm sijui chochote kuhusu hiyo barua umekatalia💔😪.
"So ivo ndo umeenda?? Haukunywi chai??" Shee aliniuliza nikiwa natoka mlangoni..
ME: Chai haina faida kama hatuko in good moods.. hata wewe unajuwa hilo lakn hutaki kuelewa🙆♀️. Hivi ndo wewe hubehave mkikosana na mtu???
HER: what do you mean??
Nilitoka nikaingia kwangu only to find Essie sitting on my bed😪. Sasa hizi ni gani tena, sikumuongelesha I just took my phone nikaamua kuingia base ya pool💪.
Nikiwa base text iliingia kutoka kwa Shillah.. "so haukuingia kwako sky, tena unaacha mlango ivo sasa ni watu kuingia tu na kutoka😪😪,?? "
I replied, "who has entered my house again?".
HER: Who else can enter your house kama sio huyo Girlfriend wako😪!
ME: Oyah shillah,, hadi sahi mm sijajua nia yenu kwangu🙆🏾♂️. Kama bado ako huko, enda muongee muambiane ukweli, nikirudi utaniambia😪.
Nilipoona text ingine ikabidi niilenge,, sikuwa kwa mood ya kuchat. Kidogo ingine ikaingia😱
"Eti tuongee,, niongee na nani,, naenda kumtoa huko akitaka aambie mamake anifukuze kwa hii plot,, Sky nyumba yako sio ya kila mtu😪😪" bado sikurply..
Nilikaa base mpaka saa tano ikielekea saa sita mchana,, in my mind nilijuwa Shee ataacha kunipikia so nilienda kujipikia✌️✌️. Kufika nilipata ameweka kufuli kwa mlango yangu🤔🤔. Sikutaka niende kwake tena but ikanibidi..
Ngo ngo ngo
HER: Nani huyo,, wacha nikuje... Akh nilikwambia hapa usikongange mlango,, ingia tu, wewe ni tofauti na wengine 🤗.
ME: Pole basi,, uliniwekea ufunguo??
SHEE: Ingia ukae kwanza,, nataka tuongee kidogo🙏. Nimeona there's no need ya kunyamaziana💓💓. Sisi ni watu wakubwa.
ME: I have to cook please.. wewe kam kwangu kama unataka tuongee😪.
Her: Haya basi nenda ukafungue na kijiti😪. Sina ufunguo, ju inaonekana wewe pia umependa huu mchezo wa kunyamaziana sindio??
Hapa kila mtu alikuwa na mahasira zake,, hakuna aliyetaka kupembeleza mwengine,, ningejuwa shee kumbe kalikuwa kamepika nyama that day🙆♀️. Sijui kwann nilikuwa nahastate kukaa🙈. Mtoto alinipakulia lunch nikajipata nimeanza kusmile kimoyomoyo💓.
ME: You mean all this is for me and myself alone??
SHEE: We kula sky😪.
Kuuma ugali mara ya tatu, shee aliamka na kuanza kunipangia nguo zangu kwa bag yake😱. "Hey nguo zangu zinado nini kwako? What are you doing?" I asked.
Shillah: Sky utakula ama utashinda hapa ukiongea🤔. Ebu leta hii ugali uongee umalize kwanza ndo ukule😪.
I don't know why she was acting so serious like that,, hiyo iliniforce nipush na ugali hadi ukaisha✌️✌️. "Nijibu sasa,, Ngài hadi ulibeba gas na sufuria zangu😱?" Nilishangaa.
Sasa sikuwa nimeobserve kila mahali🙆♀️. Shillah had moved everything to her house; mattress, sheets and pasia yangu😱. "What is going on??? Mbna umehamisha vitu zangu??"
HER: From today,, tutakuwa tunakaa hapa na wewe😪. Kama mtu anaweza jifanya hapa et ju yeye hukuwachia rent...... Sky si ulisema hujui chenye huwa anataka kwako? Good, tumgonjee humu humu ndo tujue chenye huwa anataka😱😱.
ME: Shilla Shilla Shilla.. sasa tutalala aje wawili kwa bed moja🙆🏾♂️🙆🏾♂️. You know very well that weren't dating........
Her: Ngoja ifike usiku nitakuonyesha venye tunafaa kulala,, barua ndo hiyo😪😪.
,💔🙆♀️. Don't forget to LIKE 😭,, mlisema sina nyota ya mapenzi, hii ni nini😋🙈..