Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 4  Tunaendelea na tulipoishia ……….  "Kwanini hupokei simu zangu?" aliuliza yule mdada huku anazidi kumsogelea Naseer
Gonga94 · Stories

CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 4 Tunaendelea na tulipoishia ………. "Kwanini hupokei simu zangu?" aliuliza yule mdada huku anazidi kumsogelea Naseer

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, Naseer kaganda tu hasemi kitu "kwanini hupokei simu zangu nakuuliza? au moyo wako ushahamia kwa huyu mwanamke ambae alikinga risasi ambayo ilibidi upigwe wewe? Naseer ni anamtizama tu hajibu kitu yule mwanamke akaendelea kulalamika sana na kumtolea maneno makali sana Naseer, yeye anamtizama tu na wala hamjibu kitu, mimi nikaona ni mambo yao hayanihusu yule mwanamke akaendelea kusema "mhhh na kwako hutaki nipajue, ila huyu mwanamke anapajua si ndy? kwanin pia hutaki nipajue? na unawaaminisha wazazi wako ety utanioa? Yaan kuna muda najiuliza upo na mimi…

kwasababu wazazi walisema tuwe pamoja? huoneshi kunijali, kunithamini wewe mkaka mimi ni mzuri sikosi mwanaume ila nimebaki na wewe kwa sababu ya wazazi wetu basi", mimi na huu umbea wangu nikasema "ooh kumbe ni wachumba haina shida: Naseer akamjibu "kwahyo unahisi ni mwanamke wangu huyo?" alijibu uku anarudi nyuma na kuweka sawa suti yake akaendelea kusema "hivi Ramla niongee mpaka lini kwamba kuna muda wa kuongea mimi na wewe na kuna wakuwa nipo busy na kazi kwan una shida unataka kupajua kwangu kwani wewe si nimekujengea? nyumba nikiwa na shida na wewe ntakuja kwako, mbona unanifuata mpaka kazini mhh ?mbona unakua sio msikivu etty" aliuliza kwa kupanic Ramla akasema "kwani mimi si mpenzi wako?, naruhusiwa kwenda na wewe popote ninapotaka…
kukufata popote ulipo ni haki yangu: akajibu Nasser "kwanini kama umepiga sijapokea kwanini hujatuma sms?", wakaendelea kuzozana kweli mpaka nikawa nahisi kichwa kinaniuma sana hatimae Ramla aliondoka hadi nikahisi nimepumua nikawa najiuliza anawezaje kuishi na mwanamke wahivi jamani🤔🤔 mhh hapana ……

Muda ulienda ukafika muda wa kuondoka, nikatoka na Naseer , ila tulivyofika nje akamwambia dereva anipeleke mpaka nyumbani yeye kuna sehem anaenda sikuhoji hata nikimuhoji mimi ni nani kwake, nikawa nimefika nyumbani nikaingia ndani ndy kuwasha simu nakutana na sms ya Kareem ndefu kinoma yan inasema…..

(Sms; kwahiyo kisa huyo mwanaume uliompata ana hela ndio maana simu zangu unakata na mwisho wa siku unanizimia kabisa simu si ndy , yaani umeninyima since tupo chuo mpaka leo, leo unaenda kumpa huyo boya wako ambae umekutana nae kwa bahati mbaya tena kwenye ajali, fanya hivi kila mtu afany yake, lakini hili utalilipia Nasma)…
Ile sms ilinitisha sana kwakweli yaani sikutaka kuamini kwamba mwanaume ninaempenda kiasi hiki ananiiacha🥺🥺 kirahisi rahisi tu jaman nilimchukia Naseer ghafla kama asingenikataza kupokea simu wakati ule labda Kareem asingeniacha, nikasahau kabisa kujiuliza kajuaje kama nilimsaidia mtu na bado nipo nae mpaka hiv sasa tena ninaishi kwake, nikamchukia mkaka wa watu wakati ni mpenzi wangu ndy angetakiwa kusubiri maelezo kutoka kwangu, nampigia Kareem anatumika means ameni block asee nililia🥺😭😭 jaman mhhh nililia sana ……

Lakini mpaka muda huo Naseer hajarud na sijui kaenda wapi ila mimi sikujali wala nini nikawa busy na mambo yangu nikaamua kwenda kula kwa sababu mlango unafunguliwa kwa password na Naseer anaijua hivyo sikua na wasi wasi hata kidogo….

Usiku ulipita na asubhi ikaingia nikaamka nikajiandaa natoka sebleni namkuta Naseer kalala kwenye kiti nikamuamsha "sir mbona umelala hapa?" , Naseer akashtuka kutoka usigizini akanamby "leo hakuna kwenda officine pumzika tuu", sikuitika wala sikufanya chochote nikageuza moja kwa moja chumbani ninapolala , nikafika nikatoa simu na hiv pale ni free wifi ni mwendo wa kuperuzi tu mguu juu😁😁…

Ulipita muda sasa ni mchana nikainuka nikapike, kabla sijafika jikoni naskia Kama kuna mtu jikoni ndy kuchungulia namkuta ni Naseer ypo anapika na hivi nina hasira🤨 nae nahis yeye ndy sabab za mimi kuachana na mpenzi wangu kwa sababu ya sheria zake za hovyo pale officine nkaganda tu namtizaama kwa hasira kweli sijui hata nimfanye nini ili aumie kam ninavyoumia saa hizi, yan nakumsaidia kote haya ndy malipo kweli? nilizidi kukasirika kwakweli yaani ambae angefungua moyo wangu kuutizam angejua jinsi hasira yanguu ilivyoo juu ya yule mwanaume yaani namchukia sana najua asilimia mia yeye ndy sababu ya mahusiano yangu kuvunjika , akageuka akanitizama akanambia "karibu tupike" sikuwa na hiyana nikasogea mpaka jikoni Naseer alinitizama kwa makini na kuniuliza "upo sawa?" nikajibu nipo sawa asijali, tukawa tumepika tumemaliza tukasonga mezani, kwenye meza Naseer akaniuliza "kwani Nasma upo sawa kweli?" nikamjibu "ndio kwani kuna nini?" , akanitizama sana usoni huku mimi natizama chini akanambia "haupo sawa, nambie kinachokutatiza kuwa huru" nikajikuta naropoka "nataka kuacha kazi", nilisema kwa msisitizo mkubwa, alinitizama akauliza yani siku ya kwanza kuanza kazi ndy unataka kuacha kazi nilimjibu kwa ujasiri kweli "ndio" , akanitizama akaniambia "nipe sababu kwanini unatak kuacha kazi wakati ndio siku ya kwanza kazini? nipe sababu" nikaanza ongea kwa uchungu🥺 na kwa kujiamini kweli yaani "ndio kwasababu kazi yako imenifanya mahusiano yangu yamevunjika , kisa ulikataa nisipokee simu, mpaka nimeachwa umefurahi si ndy? wee upo na mahusiano yako lakini mimi nateseka hapa umefurahi sasa?" niliongea kwa hasira mpaka machozi yanatoka😭😭 , Naseer akanitazama kwa makini akanisogelea akanikumbatia🫂 kwa nguvu haponatamani nimtoe ila kwa upande mwingine nahitaji hilo akanambia hivi "kosa ni la kwangu au la mpenzi wako?, angekua anakupenda kweli angekusikiliz ila anaonekana alikwa anakutaftia sababu tu ya kukuacha" , wee nilihisi kama ananichawia nikazidi kulia 😭😭🥺muda huo bado nimemkumbatia🫂 Naseer, mara simu yangu ikaita namba ngeni nikapokea , taarifa nilizopata nilihisi kuishiwa pawa kilio kikazidi mara kumi yake😭😭😭😭😭…

ITAENDELEA……..

Full 1000
Whatsp 0784468229
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 4 Tunaendelea na tulipoishia ………. "Kwanini hupokei simu zangu?" aliuliza yule mdada huku anazidi kumsogelea Naseer

, Naseer kaganda tu hasemi kitu "kwanini hupokei simu zangu nakuuliza? au moyo wako ushahamia kwa huyu mwanamke ambae alikinga risasi ambayo ilibidi upigwe wewe? Naseer ni anamtizama tu hajibu kitu yule mwanamke akaendelea kulalamika sana na kumtolea maneno makali sana Naseer, yeye anamtizama tu na wala hamjibu kitu, mimi nikaona ni mambo yao hayanihusu yule mwanamke akaendelea kusema "mhhh na kwako hutaki nipajue, ila huyu mwanamke anapajua si ndy? kwanin pia hutaki nipajue? na unawaaminisha wazazi wako ety utanioa? Yaan kuna muda najiuliza upo na mimi…

kwasababu wazazi walisema tuwe pamoja? huoneshi kunijali, kunithamini wewe mkaka mimi ni mzuri sikosi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-sikimbii-tena-nitavumilia-sehemu-ya-4-tunaendelea-na-tulipoishia-kwanini-hupokei-simu-zangu-aliu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-sikimbii-tena-nitavumilia-sehemu-ya
 CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 5 Acha niendelee kulia tena kwa sauti kubwa😫😩😭, maan nilivyokumbatiwa kwa nguvu pale siwez
CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 5 Acha niendelee kulia tena kwa sauti kubwa😫😩😭, maan nilivyokumbatiwa kwa nguvu pale siwez
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

549
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

521
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

440
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘

385
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘

291
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72

MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72

187
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

184
MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23

130
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

100
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

93

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.02K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.27K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.26K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
@majario LIVE

Mama akaningalia akanmbia ni mlige uyo ndo anakuliza.nikasema mama nampenda sana niombee msamaha kwake. Mama mi naumia naumia sana . Hataki kuwa na mm. Na hana mda na mimi. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed🥹🥹 nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest