Chombezo……………..KIJIJI CHA WAGENI!
Mtunzi…………………..Jack Mambo
Whatsapp………………0715919396
Umri…………….……….18+
KUMBUKA GROUP ZINAPOTEA ILA PAGE ZINAISHI,ILI USIKOSE UHONDO WA HADITHI ZANGU INGIA HAPA LIKE PAGE YANGU,HAPO UTAKUWA NA UHAKIKA WA KUSOMA STORY ZANGU KILA SIKU ----???????????? Story za Mambo
Sehemu ya 02
Kuona ni kuamini!Aliyeona na aliyesikia hawawezi kuwa na ushahidi sawa mahakamani,lazima aliyeona atapewa uzito kuliko yule aliyesikia tu bila kushuhudia kama macho!Ili uwe shuhuda inabidi ushuhudie,ndiyo maana mtu anasema niliona kwa macho yangu,huo ushahidi unakuwaga mzito kuliko ule wa nilisikia kwa maskio yangu!
Basi wana Tegamoyo wakasema kama jini yupo na ameonekana ufukweni kwao,kwanini wasishuhudie nao,pengine watapata hadithi za kusimulia wajukuu zao siku za usoni!
Nginjangija mpaka ufukweni,Moza akasema paleee,alisimama pale,basi wakasogea pale,lakini wakagundua kuna meli ya kifahari ufukweni pembeni ya mitumbwi yao ya makasia!
Basi wakasogea hadi kwenye ufukwe mkubwa,wakaisogelea meli,punde Mr Franklini akajitokeza akiwa amenyoosha mikono juu!
“We are not bad people!We’re good people!”,alipaza sauti mzungu kuona kama wanaweza kuelewana!
Wakati huo kizungu kilikuwa mtihani mzito kwetu,basi wanakijiji wakatazamana,hapo akatokea shujaa mmoja mkalimani,yeye kidogo amesoma soma huko mjini!
“Anasema wao siyo watu wabaya ni watu wema!”,kijana alitafsiri wanakijiji wakatazamana!Bado wanaishangaa ile ngozi ya mzungu!
“I’m here with my family,I am with my daughter and my beloved wife!”,aliongea mzungu,wanakijiji wakamtazama kijana!
“Anasema yupo hapa pamoja na mkewe na binti yake!”
Mzungu akatoa ishara kwa mkewe wasogee,basi wakasogea mbele ya meli yao na kupunga mikono huku wanatabasamu!
“You se now!We’re good people,please welcome us to your community!”
“Anasema ni watu wema,tuwakaribishe kwenye ardhi yetu!”,kijana aliongea lakini bado walikuwa na wasiwasi,kijana akajua tu wenzake wanaogopa ngozi!Lakini yeye ni msoni tofauti na wengine,kwahiyo anajua kuna wazungu,waarabu,wachina na kadhalika,kwahiyo lilikuwa jambo la kuwaelekeza wenzake wakubali kuwapokea wazungu!
“Let me talk to them,and I’ll get back to you!(Ngoja niongee nao nitakurudia),kijana aliongea na mzungu!
“Thank you my friend!”
Mzungu alishukuru,kijana akaanza kuwaelewesha wanakijiji kuwa duniani kuna watu wa aina nyingi sana,na hao wanaowaona ni wazungu,lakini bado kuna wachina,waarabu,wahindi na kadhalika!
“Kwahiyo hawa ni watu siyo majini!?”,aliuza mzee kiongozi wa Tegamoyo!
“Hawa ni watu sema tu wao ngozi zao ni tofauti na zetu,lakini ni watu wa kawaida kabisa!”
“Hawana madhara hawa kweli!?”
Kijana Zeka alikutana na maswali mengi,lakini aliyajibu kwa utulivu sana,akahakikisha wanakijiji wote wanaamini kuwa wazungu si majini,ni binadamu kama wao tu!
Baada ya kuwaweka sawa wanakijiji,Zeka akaenda hadi mbele ya meli ya wazungu ,ambayo muda wowote ingewashwa wakasepa zao kama wasingekubalika,au kama wangeona dalili yoyote ya kufanyiwa ubaya!
“Hey friends,it’s safe now,you are welcome!”(Marafiki,ni salama sasa mnakaribishwa!)
“Are you sure it’s safe!?”(Una uhakika ni salama!)
“Come on!Don’t make them doubt you!”(Njooni,msiwafanye wawe na shaka kwenu),aliongea kijana Zeka kiisha akaachia tabasamu!
Basi Mr Franklin hakuwa na hiyana,akashuka huku nyuma mkewe na bintiye nao wakashuka,wanatembea watu wanawashangaa tu!Zeka akawapeleka hadi kwa mzee kiongozi wa kijiji!
“Karibu Tegamoyo!”,aliongea mzee yule ambaye umri umeenda na meno yake karibu yote yameng’oka kinywani!
“Ahsante!”
“Hahahahahahahahahhaa!”,walicheka wanakijiji baada ya kusikia Kiswahili cha Mr Franklin!
“Unajua Kiswahili unazungumza lugha yetu!”
“Kidogo,nilikuwa Zanzibar mwezi sasa,naelewa kidogo sana!”
“Hahahahahahaha!”
“Karibuni sisi ni watu wema!”
“Hahahahahahah!”
Mzee yule mcheshi alijaribu kuongea kwa lafudhi ya Mr Franklin,baasi wakacheka sana,ni hapo wakamshika watu kadhaa Mr Franklin,walitaka kuhakikisha kama ni binadamu wa kawaida,waliishangaa sana ngozi yao!
Basi wakachukuliwa wageni hadi kijijini,wakati huo nyumba zote zilikuwa zimeezekwa kwa nyasi na makuti!Wazungu walifurahia sana madhari,wakawa wanapiga picha na kuenjoi maisha ya Tegamoyo!
Lakini shingo ya Franklin ilikuwa inazunguka huku na kule,alikuwa anawashangaa sana warembo wa Tegamoyo,hakukuwa na binti mbaya hata mmoja,wote walikuwa warembo sana,lakini akilini mwake alikuwa amemhifadhi Moza!Frankilin alitamani kuvunja chaga na binti mrembo Moza!Akaanza mawindo yake taratibu bila mkewe kujua!
Wakati Mr Franklin anamuwinda Moza avunje naye chaga,ni wakati huo huo Zeka naye alikuwa anamuwinda Blenda,mrembo wa kizungu!Lakini sasa Zeka hakujua kuwa mke wa Franklin anammezea mate,anatamani wacheze ule mchezo wa kibaba mama!Patamu hapo!
Ilikuwa siku moja,ya pili mara wiki,Mr Franklin na familia yake waliendelea kula maisha Tegamoyo,hawakuonyesha hata dalili za kuondoka karibuni!
Wakati wanaendelea kukaa ndiyo walikuwa wanajitahidi kujifunza Kiswahili,basi siku moja Mr Franklin akamuona Moza kama kawaida yake mida ya mchana anashuka ufukweni!Binti alikuwa peke yake,basi mzungu akaona ndiyo muda muafaka wa kujitafunia minyama!
Moza hakuwa na wazo kuwa kuna mtu anamfatilia nyuma yake,wala hakuwa na wazo kuwa Franklini anakitaka kibuyu cha asali,japo alikuwa ameshampa zawadi nyingi sana!
Binti kafika ufukweni kasaula hana hili wala lile,taratibu akazama kwenye maji na kuanza kuogelea kwa raha zake,basi Mr Franklin akasimama kwa mbali,akamtazama binti mrembo akiogelea,chuchu zake saa sita zilimuacha hoi,shepu lake matata likazivuta hatua kutoka mbali,akasogea karibu!Moza alishtuka kumuona Franklin,lakini mzungu ndiyo kwanza anatabasamu!
MR FRANKLIN ANAKITKA KIBUYU CHA MOZA,ITAKUWAJEEEEEE?
????SOMA VIPANDE YA MBELE VYA HADITHI HII KWA KULIPIA VIPANDE 10 KWA 1,000/= AU YOTE FULL KWA SH 4,000/=
NAMBA ZA MALIPO NI HIZI!
TIGOPESA ????0715919396
M PESA ????0760199396
Majina ???? JACKSON MAGOSHA
LIPA NAMBA M PESA 5892883
Jina???? MR MAMBO
????MTAG MWENZAKO...MWAMBIE TUMEWASHAAAAA!
????Bandika...Banduaaaaaa!
#LIKEEEEEEEEEEEEEEEEEE????
#KOMENTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII????????????????
#SHAREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE????????????????
#ProfesaMambo
#GOD over everything!
[28/04, 11:05] Mr Mambo:
[20/08, 18:47] Tabasamu na Mambo:.