Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 2.
Gonga94 · Stories

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 2.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
CHUO CHA MIHEMKO

SEHEMU YA 2.

Siku ya pili ya chuo ndiyo ilinikamua akili kuliko hata ile siku nilianguka mikononi mwa yule mkaka wa pikipiki.

Unaweza usiamini Usiku mzima nilijigeuza kitandani kama maandazi ya Morogoro yakikaangwa kwenye mafuta ya baridi.
Sura ya yule jamaa ilinichezea akili kama beats za Konshens , hasa kila nikifumba macho naona dimple zake, kila nikikumbuka kumbatio lake najikuta navuta blanketi kama nasaka joto la mapenzi yake.
Mh, bado NAWAZA nimependa au, nimemtamani au nimefanyaje mimi, kumlisha na ule ushamba wangu kwenye mahusiano noma sana.

"Neema, usilewe mapenzi ya mtu ambaye hata jina lake hulijui," nilijikumbusha mara kadhaa. Lakini moyo ulikuwa umeshikika kama mbegu ya parachichi kwenye ganda, ushaingia, hutoki????????.

Asubuhi ikafika, nikaamshwa na makelele ya wasichana waliokuwa wanapiga picha na madude yao ya iPhone kwa staili ya "first day vibes." Nilipojitazama kwenye kioo nikaona mwanadada mmoja wa nguvu na wa maana kinoma sketi ya jeans, top ya off-shoulder, viatu vya block heels, na mwonekano wa “usinikosee bro, sijakuomba.”

Nikajipulizia manukato ya "Temptation," nikahakikisha kila nywele umelala na kisha nikashika pochi yangu nikaelekea CAFETERIA kupata breakfast kabla ya orientation.

Nikiwa kwenye mstari, mara nikasikia sauti ya kiume nyuma yangu, sauti laini kama imetoka kwenye redio ya classic. Mh! Mbona ninaisifia sauti hiyo asije akawa yule mkaka jamani..

"Excuse me, hivi hii foleni inaenda haraka au tuandike CV tukisubiri?"
Nikacheka kidogo, si kwa sababu ya utani wake, la hasha, bali kwa sababu ya sauti yake ilikuwa ni yake yule!!????, kwa sauti hii nzuri awee lazima niangalie ninani.

Niligeuka taratibu kama mlango wa ofisi ya mkuu wa shule. Alikuwa ni YULE YULE mkaka wa pikipiki aliyenibeba kama malaika wa msaada wa dharura. Lakini sasa alikuwa amevalia suruali ya jinzi, t-shirt nyeupe iliyomkaa mwilini kama muvi ya Netflix na perfumu yake ilikua inachokoza matamanio kama DJ anavyochokoza beats kabla haijalipuka.

"Wewe ndo yule…?"
"Wa pikipiki?" akakata kauli huku akitabasamu. "Ndio mimi Neema."

Nikastaajabu, "Unanijua?"
"Niliona ID yako ilipoanguka wakati wa ajali yetu ya mapenzi," akasema huku akitabasamu kwa maringo.

Nilijikuta nikipoteza mwelekeo. Nikapokea chakula kama robot kisha tukakaa meza moja.

"By the way, naitwa Kelvin," akasema. "Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili pale engineering."

Engineering. Hapo hapo moyo ukawa kama ka-taulo kaliko loweshwa, kajisikie vibaya kujificha.

Mazungumzo yakatupeleka mbali tukacheka, tukagawana juice, hadi chips zangu akaomba kipande. Nani angeamini? Mimi Neema ambaye nilikuwa na roho ya chuma, ghafla na smile kwa Kelvin kama nimesukumwa na upepo wa mihemko, au nimelogwa jamani????

Baada ya kifungua kinywa, tukatembea hadi uwanja wa orientation. Kila mtu alikuwa makini kumsikiliza Dean of Students, lakini mimi nilikuwa makini na tabasamu la Kelvin. Kila alipotazama upande wangu, macho yetu yaligongana kama risasi na silaha.

Nakwambia, ni kama kuna sumaku kati yetu bana, roho zilianza kuzungumza kabla hata ya midomo.

Wakati wa mapumziko, Kelvin akanifuatilia mpaka pembeni ya jukwaa.

"Neema, kuna kitu kimoja nataka kukuambia…"
Moyo wangu ukaanza kudunda kama ngoma ya jandoni. Nikajiuliza, “Hivi anataka kuniambia ananipenda? Na kama akichanganya sikwepeshi namkubalia”

Basi bwana Akanitazama kwa makini, akasogea karibu, pumzi yake ikihema karibu na shingo yangu. Halafu akasema:

"Leo kuna bonge la party pale hostel za Engineers… sitaki uikose."

Nikakenua. "Party? Mimi? Mimi sipendangi hivyo vitu."
"Ndio maana nakutaka uje – uone tofauti," akasema.
Sasa ningefanya je jamani, ndio hivyo tayari nilikuwa mtumwa wake kwenye maswala ya upendo, mh! Ila mimi jamani????

Usiku ulipofika, moyo ulikuwa unanishawishi kwenda, lakini akili ikawa inasema “Utaharibu record yako Neema. Umesema huwezi daiwa na mwanaume.” Lakini kiukweli, moyo ulishawahi, yaani kama asilimia mia moja, nafsi ilikuwa na asilimia 10 huku moyo ukiwa na asilimia 90, sasa hapo naimani umeshajua ni upande gani utashinda, kwenda au kubaki.

Basi bwana, Nikakimbia, nikaivaa ile gauni nyeusi ya kuonyesha shape, nikaweka perfume ya “midnight magic,” nikaangalia kiooni na kusema, “Leo sitoki kumlaumu moyo.”

Baada ya hapo nikaondoka huku wadada baadhi ambao walikuwa Hosteli siku hiyo wakinishangaa sana.

Nilipofika kwenye party, Kelvin alikuja kunipokea mwenyewe. Akanipeleka sehem ya juu ya jengo, mahali walipochoma nyama na watu wachache waliokuwa na nidhamu ya kula, si wale wa kuruka na kupiga kelele.

Tukaanza kuongea… juu ya maisha, familia, ndoto zetu… Kelvin alikuwa tofauti. Hakuwa wa kawaida. Hakuwa kama wale wanaume wa mtaa waliokuwa wakitoa like kwa mapaja ya wanawake mitandaoni. Alikuwa na mvuto halisi, na heshima ya mwanaume aliyelelewa kwa mikono ya mama mwenye maadili, sio wale wa mtoto kua unipe pesa????

Usiku ulipochafuka, alinipatia koti lake kunikinga na baridi. Tukakaa kimya kidogo. Kisha akanishika mkono na kusema:

"Neema, sijui kama ni mapema kusema hivi, lakini kuna kitu najisikia… na nahisi naweza kukupenda."

Aweeeeeeeeeeeeeeeee, huyu makaka kayakanyaga aseeee, ananiambia je????

Mh! Ahaaaa!

Nilinyamaza. Sauti yangu ikakosa sauti. Unajua sauti kukosa sauti ndio leo bana????

Ndani ya moyo wangu nikasema, “Hivi huu ni mwanzo wa mihemko, au ndio mwisho wa bikira yangu ya hisia?” niliendelea kujisemea mwenyewe ndani ya moyo

---

GONGA LIKE TWENDE SAWA..

FOLLOW PAGE YANGU, MAANA HUO NDIO UPENDO BURUDANI ZIENDELEE..

Maoni

You're not logged in


Tangazo - My true love mwanzo Hadi Mwisho
My true love mwanzo Hadi Mwisho
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 2.

CHUO CHA MIHEMKO

SEHEMU YA 2.

Siku ya pili ya chuo ndiyo ilinikamua akili kuliko hata ile siku nilianguka mikononi mwa yule mkaka wa pikipiki.

Unaweza usiamini Usiku mzima nilijigeuza kitandani kama maandazi ya Morogoro yakikaangwa kwenye mafuta ya baridi.
Sura ya yule jamaa ilinichezea akili kama beats za Konshens , hasa kila nikifumba macho naona dimple zake, kila nikikumbuka kumbatio lake najikuta navuta blanketi kama nasaka joto la mapenzi yake.
Mh, bado NAWAZA nimependa au, nimemtamani au nimefanyaje mimi, kumlisha na ule ushamba wangu kwenye mahusiano noma sana.

"Neema, usilewe mapenzi ya mtu ambaye hata jina lake hulijui," nilijikumbusha mara kadhaa. Lakini moyo...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chuo-cha-mihemko-sehemu-ya-2

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chuo-cha-mihemko-sehemu-ya
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 12
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 12
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 3
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 3
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 15
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 15
CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 9
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 9
CHUO CHA MIHEMKO  SEHEMU YA 1
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 1
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 11
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 13
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 13
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 14
CHUO CHA MIHEMKO SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

812
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

582
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

504
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

370
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

305
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

187
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

94
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.65K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.52K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest