Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04
Gonga94 ยท Stories

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04


Ilipoishia....
Mwanangu mbona umezubaa kuna tatizo huko nyumbani"
"Heee unasemaa",nilijikuta nikisindwa kuongea vizuri mbele ya mama yake na Martha......

ENDELEA NAYOOOOOO..
"Unatatizo gani kijana mbona kama haupo sawa", Mama mkwe aliongea hapo ilibidi nitumie akili zangu za kuzaliwa.
"Mama kiukweli nina tatizo, boss ameniambia niende kazini sasa ivi na niwahi ndio mana unaniona kwenye hii hali"
"Ungesema mwanangu aya nenda ukifika nyumbani umtarifu binti yangu Martha anitafute sawa"
"Aya mama "Nilikuwa namjibu huku nikiita usafiri wa pikipiki kwa ajili ya kuwahi nyumbani kwenda kumpa dozi mke wangu.

Ndani ya dekika 7 nilikuwa tayali nimeshafika nyumbani na kumpa dozi mke wangu kama inavyo takiwa na baada ya kumaliza Martha alikuwa akinilalamikia sana,
"Ipo siku utakuta nimekufa humu ndani maisha gani haya oscar"
"Sitachelewa kurudi tena mke wangu na kuanzia kesho nitakuwa nakuja mda mwafaka zaidi ili tuzagamuane kipenzi"., nilimwambia Martha.
Licha ya utamu niliokuwa naupata kutoka kwa mke wangu kuna mda nilikuwa namuonea huruma kwa alivyo kuwa analalamika ivyo ikanibidi nimtafute doctor peter kuangalia kama anaweza kunisaidia kwenye hili na aliniomba tuonane kwa ajili ya mazungumzo zaidi,
"Ndio ivyo doctor kama nilivyokueleza raha napata sawa nikifanya mapenzi na mke wangu lakini tatizo ni mtetemo unao mshika mke wangu anakuwa anateteme ka sana mpaka anaogopesha".
"Usijali kijana mda sio mrefu nitaenda uingeleza nikashauliane na madoctor wenzangu kuangalia namna ya kulitatua ilo tatizo"
"Heeee!!kama unaenda uingeleza vip hali ya mke wangu huku?"
"Nimekwambia naenda ila sijakwambia kwamba sitarudi huku ni lazima nitarudi kukupa majibu".
Doctor peter aliongea na hakutaka kuongea maneno mengi alinyenyuka nakuondoka hapo ndipo nilipojua kuwa zile milion 100 lazima nizitolee jasho.

Kwakuwa mda ulikuwepo wa kutosha niliamua kuzunguka kwa ajili ya kuangalia flame ya biashara, na kama unavyojua ukiwa na pesa karibu kila kitu utakipata tena kwa mda mwafaka nilifanyikiwa kupata flame na nilirudi nyumbani na kumweleza mke wangu pia tulishauliana biashara gani tufanye na wote mawazo yetu yaliangukia kwenye kuuza nguo za special.
Siku zilisogea huku tayali tumeshafungua biashara na mda mwingi mimi nikiwa dukani na mke wangu akiwa nyumbani sasa siku moja mama mkwe alikuja kumtembelea mwanae na ata yeye alishangaa juu ya sisi kumiliki nyumba hakutegemea kama tutawahi kufanyikiwa kiasi hicho ilikuwa mida ya saa 6 mchana mimi niliamua kutoka dukani na kwenda nyumbani ili kusubiri mda maalumu ufike wa kumpa dozi mke wangu.

Nilifika nyumbani mida ya saa 6:40 nakuwakuta mama na mtoto wakipiga story mke wangu alielewa kuniona pale mana ndio mda wetu ule wa kuzagamuana,
Mama mkwe wangu ni mtu wa dini sana ajabu ile nafika tu mama mkwe akasema simameni niwaombee niwape baraka wanangu.
"Mmh mama ata siku nyingine utatuombea",Mke wangu aliongea.
"Martha ndio mana huendi kusali siku izi emu simameni niwaombee", Mama mkwe aliongea kiukali kidogo hapo ilibidi Martha awe mpole tu na mama mkwe akaanza kuomba huku sisi akili zetu zikiwa kwenye saa 7:00.
Mama mkwe alianza kuomba na kama unavyojua watu wa dini mda mwingine wanatumia mda mrefu kuomba ndivyo ilivyotokea saa 7:00 ikatukuta tukiwa bado pale na mama mkwe bado anaomba tu gafra Martha alidondoka chini,
"Marthaaa!!",Mama mtu aliita alivyoona mtoto wake kaanguka chini nakuanza kutetemeka.
Mama mkwe wangu aliendelea kumkemea mke wangu akijua ni mapepo yamepanda mimi wakati huo nikizidi kutetemeka tu na jasho kunitoka nisijue cha kufanya.
"Pepo tokaaaa... toka pepo katika....", aliendee kuomba mama mkwe.

Nilifikilia nakuona huu ni ujinga sasa nilimbeba mke wangu nakumpeleka chumbani huku mamamkwe akinifata ilibidi nimwombe atoke nje mara moja,
"Nitoke nje!! mwanangu yupo katika hali mbaya unaniambia nitoke?"
"Ndio mama nakuomba utoke tu na atakuwa sawa Martha",nilimjibu.
"Natoka na ole wako mwanangu asiwe sawa, ole wako Oscar utajuta", aliondoka huku kaniachia vitisho na wala siku yajali maneno yake zaidi ya kuvua nguo zangu na kuuandaa mtambo wangu wa mabao vizuri kwa ajili ya mechi, kama kawaida yetu tulianza kuzagamuana mpaka pale hali ya mke wangu ilipoanza kuwa sawa na akaanza kunipa ushirikiano na kila mtu kufika kileleni,
Ajabu mke wangu akaanza kulia baada tu ya kumaliza kufanya nae mapenzi,
"Unalia nini sasa Martha na wewe??"
"Huoni kilichotokea leo naanguka mbele ya mama yangu mzazi"
"Usijali hali itakuwa sawa tu ila hatakiwi kujua mama yako hii siri yetu nakuomba sana mke wangu usimwambia",niliongea kwa upole mana nilijua mambo yana weza kuwa mabaya zaidi kama akimwambia mama yake.
"Nakupa siku tano(5) oscar dawa iwe imepatikana na mimi nirudi kwenye hali yangu la siivyo tutaonana wabaya", Martha aliongea.
Tukiwa bado tunaongea mle chumbani,
"Ng'oong'oong'oong'oo!!, wewe oscar mwanangu anaendeleaje humo ndani", alikuwa ni mama mkwe aliye kuwa akigonga hodi tulinyenyuka mimi na mke wangu nakujifuta jasho kisha kuvaa vizuri na wote tukatoka kwa pamoja tukimkuta mama mkwe wangu amesimama mlangoni,
"Nini kinachoendelea kwenye hii nyumba?",
Ndio swali la kwanza tulilokutana nalo kutoka kwa mama mkwe.
"Mama nilianguka tu"
"Ulianguka na hilo tatizo limekupata lini la kuanguka Martha?"aliuliza kwa mara nyingine.
Wote tuliangaliana tu tusijue cha kusema mbele ya mama mkwe wangu...ITAENDELEA
Tangazo - Boost your balance
Boost your balance
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04

DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 04


Ilipoishia....
Mwanangu mbona umezubaa kuna tatizo huko nyumbani"
"Heee unasemaa",nilijikuta nikisindwa kuongea vizuri mbele ya mama yake na Martha......

ENDELEA NAYOOOOOO..
"Unatatizo gani kijana mbona kama haupo sawa", Mama mkwe aliongea hapo ilibidi nitumie akili zangu za kuzaliwa.
"Mama kiukweli nina tatizo, boss ameniambia niende kazini sasa ivi na niwahi ndio mana unaniona kwenye hii hali"
"Ungesema mwanangu aya nenda ukifika nyumbani umtarifu binti yangu Martha anitafute sawa"
"Aya mama "Nilikuwa namjibu huku nikiita usafiri wa pikipiki kwa ajili ya kuwahi nyumbani kwenda kumpa dozi mke wangu.

Ndani ya dekika 7 nilikuwa tayali nimeshafika nyumbani na kumpa dozi mke wangu kama inavyo takiwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/dozi-ni-saa-7-00-mchana-04

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi dozi-ni-saa
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (01)
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (01)
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (02)
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA (02)
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 05
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 05
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 03
DOZI NI SAA 7:00 MCHANA 03
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.81K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.45K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.22K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.9K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.87K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.71K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.63K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.61K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.59K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest