Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  artist

JINSI YA KULIPATA TENDO LA NDOA TAMU KWA MUMEO/MPENZI WAKO

3rd Jul, 2025 Views 56

JINSI YA KULIPATA TENDO LA NDOA TAMU KWA MUMEO/MPENZI WAKO

Tando la ndoa kwa wanandoa haipo kwa ajili ya kutengeneza watoto tu. Kama mke, kila mara lazima uwe tofauti kwa mumeo.
Mshawishi mumeo, usiruhusu mumeo akuombe tendo la ndoa kila siku, usiwe na ratiba ya tendo la ndoa .
Kuwa mbunifu, na wala usitabirike. Mpe ile anayostahili.. kama ukipoteza mvuto kwa mumeo, basi umepoteza thamani yako kama mwanamke.
Kuwa sehemu ya mipango ya mume wako.Hakuna kitu mume wako atakipenda kama kumuomba tendo la ndoa , toa aibu....huyo ni mume wako.. mmehalalishwa, mwili wake ni mali yako pia...

Inashangaza kuna baadhi ya wanawake hata hawajui dhakar za waume zao zikoje.

#Ichezee unavyotaka, usiku usilale na miguo ... acha ngozi yako laini imguse mumeo... kuna raha kubwa mwanaume anavyoguswa na ngozi yako laini...msisimuko wake ni wa kiwango cha PhD.
Mwanaume anavyokuwa satsfied na tendo la ndoa siku zote anakuwa stable kiakili na kimwili... anafurahia maisha na atatamani kurudi nyumbani kila mara...

#Msikariri kwamba tendo la ndoa lazima iwe usiku tu, fanyeni hata mchana...kama uko nyumbani na mumeo yupo kazini...mwite hata muda wa lunch aje nyumbani... fanyeni tendo hata la nusu saa tu...huo ndio ubunifu na ndoa haitaboa.

Mtii mumeo kwa moyo mmoja, kamwe usimweleze kwamba upo hapo kwa ajili ya watoto..kumbuka ulianza kumjua yeye kabla watoto hawajaja.

Mbembeleze mumeo, weka kichwa chake kwenye kifua chako.

Muombee... mpe kiss ya kibabe... mmmhwwwwaaa.. yeye ni mumeo.. mali yako halali kabisa hata malaika mbinguni wanajua.

??????????Kuwa romantic uwapo nyumbani, vaa nguo laini za mitego....usivae mivitenge na magauni magumu kama bibi yangu wa kule kwetu Ivilikinge, Makete..
Kuwa msafi kila muda... Nukia kwa manukato yenye mvuto, usinukie mapilipili hoho na mavitunguu swaumu.

Usionekane kama una miaka 50 wakati hata 40 hujafikisha...

Narudia tena fanya mazoezi, acha nyama choma, chips mayai, mapizza, na mavyakula mengine yenye wanga mwingi.

Tunza vizuri mwili wako, mwanamke ni pambo ndani ya nyumba na fahari ya macho ya mume.sasa ukipoteza mvuto kwa kujiachilia umefanya kosa kubwa sana.
Fanya jitihada kupigania mwili wako uwe katika muonekano MZURI WA KIMAHABA..

Tukutane kwenye group Wasp .

#MWANAMKE NA NDOA BORA.

#UCHUMBA NA NDOA BORA.

wasp me 0769228130.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

JINSI YA KULIPATA TENDO LA NDOA TAMU KWA MUMEO/MPENZI WAKO  >>> https://gonga94.com/semajambo/jinsi-ya-kulipata-tendo-la-ndoa-tamu-kwa-mumeo-mpenzi-wako
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA EPISODE 2

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE...5...6

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 3...4

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA 1

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈21

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈20

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 8

majario rewards 100 Comments 0
 

DADA WA KAZI EPISODE 7

majario rewards 100 Comments 0
 

Life in a Year (2020)

majario rewards 100 Comments 0
 

Kenya, Tanzania, Congo

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 40

majario rewards 100 Comments 0
 

POSHY QUEEN:

majario rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 39

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈19

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈18

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈17

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH 💋🙈16

majario rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈15

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 05 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 04 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 03 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 02 ❤❤.

majario rewards 100 Comments 0
 

HAIZIMI 01 ❤❤.

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

NIPE YOTE DADY 34

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈14

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈13

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

DAAAAAAAH💋🙈10

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

TUWASHUKURU KINA BABA

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest