Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
31 Jan 2026
235 views
VYOTE NDANI GONGA94
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 15
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ENDELEA......
" Kaa hapa sihitaji uumize kiumbe kilichopo tumboni " alizungumza malkia huyo huku akinisogezea kiti, sikuwa na ubabe wa kubisha nilikaa mara moja.
Nadhani sina haja ya kuficha ficha si siri tena naongea na mtu mzima anaejua shughuli shughuli za ndani na nnje. Akazungumza malkia Dorcas kisha akaendelea kuzungumza tena.
Nafahamu kuwa umemteka sana mwanangu, siku zote hakuwa akiinjoy tendo na malkia wake waita hivyo mara kadhaa alikuwa akinifuata kunielezea changamoto anazozipitia.
Hivyo nikaanza kazi ya kumtafutia vimada sasa vya hapa na pale.
Ni ajabu, hakuwa akifurahia kila baada ya tendo na hao wadada, wapo aliosema wabaridi ama wachafu ama wametumika mpaka ladha hakuna.
Ila kwako imekuwa tofauti, sifahamu nini umempa mpaka amekuwa katika hali ya usingizi namna ile.
Basi muda wote huo nipo tuli kama maji mtungini nikimsikiliza malkia Dorcas akizungumza, kama ilivyo desturi ni mwiko kumuingilia mtukufu malkia pale aongeapo hivyo nilitulia kumsikiliza.
Nikajikuta nikiduwaa, kila nimuangalia huyu malkia ni kama kuna mtu ananijia kichwani hivi...kuna upendo fulani nauhisi kutoka kwa huyo mtu ninao mkumbika ambao hauna mipaka .
" Niambie basi na wewe " sauti ya malkia Dorcas ilinishtua akiwa kanitandika kibao kidogo cha begani.
Nikabaki naduwaa nisijue nini cha kumueleza kwani muda wote alikuwa akizungumza mwenyewe, macho yangu hayakuwa sawa na ubongo wangu.
" Ina maana huikatikii wala ufundi wowote ? Mbona kijana wangu anachoka vile " alizungumza malkia Dorcas pale alipoona nimeduwaa.
Ndipo nikapata wazo juu ya analoliongelea nikabaki nacheka kichinichini nisiamini nikisikiacho π.
Nakuja
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala ...
ππππππππππππππππππππππππππππππππ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe ume...
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu ...
" Kaa hapa sihitaji uumize kiumbe kilichopo tumboni " alizungumza malkia huyo huku akinisogezea kiti, sikuwa na ubabe wa kubisha nilikaa mara moja.
Nadhani sina haja ya kuficha ficha si siri tena naongea na mtu mzima anaejua shughuli shughuli za ndani na nnje. Akazungumza malkia Dorcas kisha akaendelea kuzungumza tena.
Nafahamu kuwa umemteka sana mwanangu, siku zote hakuwa akiinjoy tendo na malkia wake waita hivyo mara kadhaa alikuwa akinifuata kunielezea changamoto anazozipitia.
Hivyo nikaanza kazi ya kumtafutia vimada sasa vya hapa na pale.
Ni ajabu, hakuwa akifurahia kila baada ya tendo na hao wadada, wapo aliosema wabaridi ama wachafu ama wametumika mpaka ladha hakuna.
Ila...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpishi-ana-utamu-wake-sehemu-ya-15
Maoni