Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
27 Jan 2026
182 views
VYOTE NDANI GONGA94
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
" Ni jani hili ama hua hakika, japo silifahamu ila limenivutia "nilizungumza kisha nikaondoka nikiwa na hilo ua mkononi mwangu.
" Ni marufuku kwa kijakazi ama mkazi wa ikulu kuchuma chochote ndani ya jengo hili, mali zote ni za mfalme wa himaya hii " nilisikia sauti ukingoni mwangu ikizungumza.
Ile kugeuka., si ndo kumuona mlinzi kauzu, wacha nianze kutimua mbio .....
" Naona bahati haipo upande wangu " nilizungumza huku nikisimama nikikodoa kwa aibu pale nilipogundua nimezungukwa na watu ambao naweza sema majemedari wa zamani enzi hizo...vile nilikuwa sielewi nikaamua nitulie kusomewa mashtaka.
" Ni vema kama utanifuata kwa hiari yako ama laah nitatumia nguvu " alizungumza yule kamanda mtukutu....sikuwa na budi zaidi ya kumfuata..hapo nimenywea mapepo yote pembeni..Amara mimi siamini nilipoa kupita maelezo π, ni vile sionekani ama laah huwenda ningekuwa kituko machoni mwenu wasomaji.
" Napokea mashtaka yenu " ilisikika sauti ikijibu.
Unadhani kipo nilichokielewa, fanya kama mnaniona hivi mie Amara form four felia π aiseee ni balaa.
" Mbele yako tumemleta mpishi mkufunzi wa ikulu, kabobea kwenye upishi wa kila chakula " alizungumza kamanda kauzu.
" Sawa mwaweza kunyanyua vichwa " alizungumza mtu aliyesemekana ni mfalme..
" We mwehu ni mfalme ama nakosea huwenda sioni vizuri " nilizungumza kwa sauti, ile sijakaa vizuri nilishtushwa na mtama wa pembeni...wacha nikae chini kuugulia maumivu ya makalio π.
" Uwe na heshima ni marufuku kufungua mdomo mbele ya mfalme bila ruhusa yake, ni vile u mgeni mahala hapa lasivyo ningekukata kichwa na kuwapa fisi " alizungumza kamanda yule.
" Ni kauzu huyu zaidi ya dagaa hakika, hashindwi kunikamua kiumbe huyu " nilijisemea kimyakimya huku nikijiokota pale.
" Mwaweza kuondoka mahala hapa nitawapokea tena siku ya kesho, namna nina uchovu siwezi kuwasikia " alizungunza mfalme huyo huku akijitupia kItandani.
" Ni wazi viuno vyangu vilimpagawisha vilivyo na ile dog niliyompatia " nilizungumza.
" Unasema nini wewe nini dog ? Ni lugha gani unayoutumia wewe " aliuliza yule kamanda mstaarabu....nikaishia kumuangalia tu bila kumjibu yoyote...moyoni mwangu nikishukuru kutosikiwa na kauzu ama laah angenikata kichwa hakika.
Nakuja
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala ...
ππππππππππππππππππππππππππππππππ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe ume...
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu ...
" Ni jani hili ama hua hakika, japo silifahamu ila limenivutia "nilizungumza kisha nikaondoka nikiwa na hilo ua mkononi mwangu.
" Ni marufuku kwa kijakazi ama mkazi wa ikulu kuchuma chochote ndani ya jengo hili, mali zote ni za mfalme wa himaya hii " nilisikia sauti ukingoni mwangu ikizungumza.
Ile kugeuka., si ndo kumuona mlinzi kauzu, wacha nianze kutimua mbio .....
" Naona bahati haipo upande wangu " nilizungumza huku nikisimama nikikodoa kwa aibu pale nilipogundua nimezungukwa na watu ambao naweza sema majemedari wa zamani enzi hizo...vile nilikuwa sielewi nikaamua nitulie kusomewa mashtaka.
" Ni vema kama utanifuata kwa hiari yako ama laah nitatumia...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpishi-ana-utamu-wake-sehemu-ya-7
Maoni