Haraka Haraka Mr Allan Aliweka Mipango sΓ wa Na kuunda Acc Fake zisizo pungua 10.
**
Asubuhi Taarifa ya iliyotikisa Nch ilikua Juu ya Video Zile Wananchi Waliandamana Kila Sehem Wengi walielekea Mpaka Ulipo Mgodi Kulikua Na vurugu Nyingi Kuwafukuza Waarabu
Police waliwaweka Chini ya Ulinzi Makregani na Wazir Mkuu Na Moja Kwa Moja Walifikishwa Mpaka Mahakamani
Ushahid wote mr Allan Alisimama Katika Kesi Hiyo na Kuhakikisha Wote Walio Husika Wanatajana
Muddy Alifikishwa Mahakamani video Ilimuonesha Kwenda Nyumban kwa Alex ile Siku Akiwa Na vijana Wa Makregani Muda Tena Akirejea Na Askar police na Kuonesha hafaham Kitu Ilitosha Kumbana Katika Usaliti na Ufisad Na Makosa Mengi ya Kuvujisha Siri za police aliukumiwa Miaka30 jela Na Faini
Wakati Makregani kwa Kosa La Kudhurum mali ya Taifa Kwa FAIDA Zao Wenyew walihukumiwa Miaka 30 na Kutaifishwa Mali zao Zotee Wanazomiliki Walihitahidi Kwa Nguvu zote kujitoa kwenye Kesi Hiyo Lakini Mr Allan Alihakikisha Hawapo nafasi Ile
"Hapa Tumemaliza Hukumu imetoka Leo Kesho Tupeleke Shauri mahakaman Kuhusu Mauaji Yote Na wahusika Wote hapa Tunawaamsha Na Kesi Zote Mbili Na Hii ya Miaka Iliyopota Upotevu wa Siraha "
Mr Allan Alikua Akijadili na vijana Wake Juu ya Kuwaangamiza Zaidi Mawazir Wote Wabaya
Mr Makregani na Kundi lake walirudishwa Tena Mahakamani Na walikutwa na Makosa MENGI sanaa Pamoja Na Yale mauaji
Walihukumiwa Kifungo cha Maisha Na Kazi Ngumu wakiwa Gelezan
"Hatimae kila Kitu Kimeisha Alex"
Trisha Alikua Amekaa Akitazama Taarifa ya Habari Na Habar Kubwaa Zilizokua Zikiongelewa Ni Juu ya Makregani na Wenzie Na Hukumu Zao Alijiongelea Huku akitazamana pic ya Alex Iliyokua Kwenye Simu Yake
*****
Aizack hakumwambia Trisha Kuhusu Video wala camera Ya Nyumban kwa Alex
Siku Zilipita Maisha Yaliendelea Tumbo la Trisha Lilikua Kubwaa
Aizack walijitahidi KutΓ futa Habari za Alex Na Kina Joseph Wahakupata Kitu Chochote Kilicho ashilia Alex Yupo hai waliacha Lipite Nalo Wakaendelea Na Majukumu Mengine ya Kurinda Nchi
"Leo Twende Beach Basii "
Aizack Alikua akimwambia Trisha
"Aaah Nmechokaaaaa"
Trisha Alijibu Huku akilala Miguuni mwa Aizack
"Inuka Banaa"
Aizack Alimwambia huku akimshikambavu Kumtekenya
"Achaa Bhnaaa Naumia Mwenzio"
Trisha Akilalamika
Aizack akazidi Kumtekenya
Trisha Alikua SΓ sa Ni mtu Mwenye Furaha Akiwa Na Aizack hata mambo Yalipo isha Aliamua Kubak KWA Aizack
Walitoka Na Kwenda Beach wakiwa Beach Trisha Alikua Ni mtu Mwenye Furaha Sanaa Unaweza Sema Alishasahau Kabisa Habari za Alex Na Maisha Yote ya Nyuma
Aizack Alifurahi Kuwa Pamoja Na Trisha Moyoni mwake Alikua Akimpenda Sanaa
Wakiwa Hapo Aizack Alitoa Pete na Kupiga Goti Mbele Ya Trisha
Trisha Naomba Unisamehe kama Nitakua Nimevuta Mipata But Nakupenda Kiukwel Nakupenda Tangu mwanzo Nilipo Kuona Ile Siku Mtaan Kwenu Ulinivutia Sana Niruhusu Niwe Moyoni kwako Hii hausiani na KILA Kilichotokea Kwetu Naomba Uwe Mke Wangu Trisha Love You for really T" Aizack Aliamua Kutoa la Moyoni Mwake Alihisi Muda Umefika Baada Ya Kulimeza KWA Kipindi Kirefu Sanaa
.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni
Click here to login and comments