.
Kudhihirisha hilo akadai anataka kuondoka kwenda kuishi na mpenzi wake...lakini baba yake DON CODY hakuridhia maamuzi ya hayo akiamini bado SARA anapaswa Kuwa chini ya uangalizi wao..
SARA ambae muda huo barehe kali inamuendesha anapingana na baba yake na kutomsikiliza...muda mwingine anatoroka nyakati za usiku na kwenda kujirusha Kisha anarudi kwa kunyata asubuhi...mzee akaona ujinga kupelekeshwa na bao lake ...
Sasa Siku moja SARA akiwa amebaki na baba yake DON nyumbani..DON alimuomba SARA amsaidie kupeleka sanduku fulani kwenye basement ya siri iliyokuwa nyumbani hapo na wao hawajui ..
Baada ya kufikisha mzigo huo DON alitoka upesi na kumfungia SARA kwenye hiyo basement... mpaka muda huo SARA haelewi kinaendelea nini..
Kumbe ndio mwanzo wa maisha yake mapya baada ya kugundua sanduku alilobebeshwa Lina mahitaji yake muhimu...
Sa itakuwaje...
Siku,miezi na miaka ikawa inakata ndani ya hiyo basement ambayo hata upige kelele za namna gani hakuna atajae kusikia... kipindi chote mama yake yake akimtafuta DON akawa anampoza akidai huenda katoroka na yule mpenzi wake ambae hua anawahadithia..
Sasa Mzee alivyo kaksi licha ya mateso ya kimwili na kumuharibu Binti yake kisaikolojia akawa anamuingilia kimwili mpaka akapata ujauzito na akajifungua huko huko kwenye basement..
Mzee hakutaka kumpumzisha mwanae akamtwanga mimba yapili mpaka ya tatu...
Baada ya kujifungua mtoto watatu bibie SARA na baba yake ambae mpaka muda huo hajui amuitaje wakaona huyo Mtoto mmoja atolewe kumpunguzia mzigo SARA..
Akawekwa ndani ya kikapu na kuachwa na Mzee DON nje ya mlango Wa nyumba yao na ujumbe wa barua ukiashiria mtoto huyo katelekezwa..kumbe mchezo wote huo anacheza DON mwenyewe..
Watoto hao wengine ndani ya basement, hawakujua kuna dunia nyingine tofauti na hiyo wanayoishi... DON ambae ndio baba na ndio babu yao anawadanganya kwamba nje kuna sumu ya mionzi (radiation) hivyo hawawezi kutoka nje...
Licha ya mateso yote SARA hakuwahi kupoteza matumaini...anawafundisha watoto wake kusoma na kuandika huku akijaribu kutafuta namna ya kutoroka...
Hii ni true story juu ya Mzee DON aliyemshikilia mwanae mateka kwa miaka 20..full movie tayali tunayo Whatsapp 0742932384..bei sh 1000..link ya kutupata Whatsapp ipo sehemu ya coment....