Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHANGA TISA  EP: 18
Gonga94 Β· Stories

SHANGA TISA EP: 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHANGA TISA
EP: 18

MTUNZI: ASHROUPH K.A
{TAYLOR PERRY WA TZ}

"Usione kama na kutukana mama yangu, tatizo una boa sana, haupendi kuushughulisha ubongo wako hata chembe. Ndo maana toka umenizaa mpaka leo, haujawahi kunifunza njia yoyote ile ya halali ya kuingiza pesa. Zaidi ya hii ya hii moja kunikuwadia!".

"Mwanagu, hata mimi sio kama ninapenda. Ni hizi shida na marejesho vikoba ya kusha damu!".

"Ndo ujiongeze sasa! Muulize huyo Pengo unayempenda kuwa, amejuaje kuwa jana niliingizwa Lodge na wahuni. Na akutajia majina yao. Laa sivyo namfungulia kesho ya udhalilishaji mahakamani!".

"Bahati, hebu tusifikie huko! Wewe shukuru mungu umepona, hayo mengine tuyape mgongo!".

"Sitaki, lazima Pengo aeleze ukweli, laa sivyo...!".

Ni kama vile Bahati alitaka ikae wazi kuwa, mtu aliyempelekea majeraha yale ya kichwa mpaka akazimimia ni Pengo, na wala si mwingine!
**

Huku upande mwingine, Chausiku alipitia nyumbani kwa Kadra, akabisha hodi mlangoni kwa muda mrefu sana bila kufunguliwa. Ila, wakati wote akiwa hapo nje, alikuwa haishi kuzisikia sauti za kimahaba zikitokea ndani ya nyumba hiyo ya Kadra,

Chausiku akawaza,

"Au leo Pengo yupo nyumbani mchana huu? Mbona lakini sio kawaida yake!?".

Aliwaza, ila akaamua kusogea mpaka dirishani. Kwenye dirisha la chumba alimokuwa akilala Kadra na mumewe siku zote.

Ila, alipofika hapo dirishani, alistaajabu kusikia miguno ya mtu anaye gugumilia utamu wa tendo la ngono safi, ikiongezeka maradufu!

Chausiku akajaribu kuchungulia ndani kupitia kioo cha dirishani.

Mama yangu! Ndipo akamwona rasmi Kadra akiwa amejilaza kitandani huku anajiingizia zinga la tango kubwa ukeni mwake.

Chausiku akafurahi sana. Akaona shoga ake kidawa, tayari keshaiva. Usikute hata chupa kesha jua kuikalia!

"We mwanamke! Hebu acha ujinga, mwenyewe unanogewa kama nini. Alafu hata pazia hujashusha, hauogopi kupigwa chabo!?".

Kadra alikurupuka, mara baada ya kuisikia sauti ya Chausiku ikiongelea dirishani kwake. Mbio mbio akalitoa lile zinga la tango ukeni na kwenda kuufungua mlango.

Chausiku akazama ndani.

"Nilikuwa na malizia zoezi la mwisho mwisho, siunajua leo ndo siku yangu rasmi kwenda kuwaonyesha wale mashangingi kuwa naweza kukalia chupa!?".

"Najua, usije tu ukaniangusha, maana ndo utakuwa mwisho wa ushoga wetu. Ujue wenzangu wanahisi kama vile unaenda tu kuwasanifu!".

"Leo sikuangushi shosti!?". Alijibu Kadra, huku akivaa haraka haraka ili waende kwenye shoo yao ya siri. Show ya kushindana kukavilia vyupa!

Walitoka zao nje, wakakodi boda, safari ya kuelekea Tanga mjini kwa macheni ikashika moto. Ili wakaonyeshane mautundu yao!

**

Bado Pengo alibaki kuishi kwa kujificha ficha, akawa hata haendi tena nyumbani kwa akina Bahati. Akawa anakutanaga tu na mama Bahati kwenye magesti na Lodge mbalimbali, yote kwa yote, ili tu asimtie tena Bahati machoni!

"Eti daddy, tutakuwa tunakutania huku mafichoni mpaka lini!? Ujue nimemiss kutiwa juu ya kitanda changu!? au wewe haupendi?".

"Mama Bahati, kwako siji tena, ng'oo! Labda Bahati ahame, maana sitaki kula kuku na mayai!".

"Sijakuelewa Pengo, ina maana Bahati anakutaka!?".

"Aisee! Sio lazima kila kitu uambiwe, na siku zote akili za kuambiwa changanya na zako!"

"Mmh!? Bhasi atanikoma, sipo tayari nikupoteze kisa mwanaharamu yule. Kwanza ndo hivyo tu hajui, baba yake alijinyea siku ananitungisha mimba, mana alikuwa na kibamia kiduchu kama cha kuku, alafu leo hii mtoto niliyemzaa atake kunikatisha huu utamu unaonipa!? Wala tu jamani, ataondoka yeye kama alivyoondokaga baba yake, ili akupishw wewe!". Mama Bahati alionyesha udhaifu wake mbele ya Pengo. Pengo akajua mchezo ushakwisha, tayari kesha mudu kumtoa Bahati kwenye njia yake...ITAENDELEA

KUNA MOTO MPYA UMEANZA KWENYE HADITHI YANGU YA SUPA TEACHER HUKO NI ? ZAIDI YA HAPA KWENYE SHANGA TISA.

Je, nani zaidi kwa Mama Bahati!? Mtoto au mchepuko!? Usikose Ep inayofuata. Ni ?

Soma full kwa Tsh 1000/=
06755365
Jina Komba

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHANGA TISA EP: 18

SHANGA TISA
EP: 18

MTUNZI: ASHROUPH K.A
{TAYLOR PERRY WA TZ}

"Usione kama na kutukana mama yangu, tatizo una boa sana, haupendi kuushughulisha ubongo wako hata chembe. Ndo maana toka umenizaa mpaka leo, haujawahi kunifunza njia yoyote ile ya halali ya kuingiza pesa. Zaidi ya hii ya hii moja kunikuwadia!".

"Mwanagu, hata mimi sio kama ninapenda. Ni hizi shida na marejesho vikoba ya kusha damu!".

"Ndo ujiongeze sasa! Muulize huyo Pengo unayempenda kuwa, amejuaje kuwa jana niliingizwa Lodge na wahuni. Na akutajia majina yao. Laa sivyo namfungulia kesho ya udhalilishaji mahakamani!".

"Bahati, hebu tusifikie huko! Wewe shukuru mungu umepona, hayo mengine...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shanga-tisa-ep-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shanga-tisa-ep
SHANGA TISA  EP: 20
SHANGA TISA EP: 20
SHANGA TISA EP: 15
SHANGA TISA EP: 15
SHANGA TISA  EP: 17
SHANGA TISA EP: 17
SHANGA TISA  EP: 16
SHANGA TISA EP: 16
SHANGA TISA  EP: 11 FUNDI: ASHROUPH K.A    {TAYLOR PERRY WA TZ}
SHANGA TISA EP: 11 FUNDI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ}
SHANGA TISA  EP: 10 ASHROUPH K.A
SHANGA TISA EP: 10 ASHROUPH K.A
SHANGA TISA  EP: 14
SHANGA TISA EP: 14
SHANGA TISA  EP: 13
SHANGA TISA EP: 13
SHANGA TISA  EP: 09
SHANGA TISA EP: 09
SHANGA TISA  EP: 19
SHANGA TISA EP: 19
SHANGA TISA.  EP: 4
SHANGA TISA. EP: 4
SHANGA TISA.  EP: 08
SHANGA TISA. EP: 08
SHANGA TISA  EP: {02}
SHANGA TISA EP: {02}
SHANGA TISA  EP 05
SHANGA TISA EP 05
SHANGA TISA  EP 06
SHANGA TISA EP 06
SHANGA TISA EP 07
SHANGA TISA EP 07
SHANGA TISA. EP: 1
SHANGA TISA. EP: 1
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.19K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.14K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

484
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

242
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

77
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

30
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

13
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

4
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.41K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest