SHANGA TISA
EP 07
FUNDI: ASHROUPH K.A
{Taylor Perry wa Tz}
Watu walijaa nje ya nyumba ya Pengo,
wakiulizana nini hicho kimetokea, kwani kwa kelele alizopiga Kadra ziliashiria kabisa tatizo zito kupindukia,
Pengina hata mtu angalidhanishia ni msiba!
Au kipigo cha mbwa koko!
"Jamanieee, vunjeni mlango tuingie, haiwezekani dakika zaidi ya tano zinapita kizembe na bado tupo hapa, mtu anauliwa huko ndani!?".
"Ndio, tuingieni tukaokoe!
Wanaume wenye misuli yao mine wakaukanyaga mlango wa nyumba ya Pengo kama karatasi.
Kitasa kikajipachua, wananchi wakazama ndani wakiwa na jazba!
Moja kwa moja hadi chumbani kwa Pengo.
Daa! Ile wanaingia tu chumbani, walipokelewa na harufu mbaya ya haja kubwa iliyochanganyika na damu ndani yake!
"Pengo, umemchinja mkeo?"????
"Hapana jirani, ni siri tu za ndani"????
"Siri za ndani?"????
Hapo sasa majirani waliokuwa na mawazo toauti tofauti kichwani wakaanza kuelewa!
Maana bado bakora ya Pengo ilikuwa imenasa ndani kabisa ya tundu la mkewe.
"Nisaidieni majirani, nakufa jamani,mume wangu kanichana!"????
"Wewe nawe? Unakuwa kama mtoto wa shule! Miaka yote hiyo bado tu haujamzoea mumeo? Kumbe ndo maana kila siku unalalamika kuwa anachepuka!".
Chausiku, ambaye huyu ni jirani wa nyumba ya kwanza tu toka hapo kwa Pengo, aliropoka,
Tena kwa kumchana makavu Kadra hadharani bila chenga!
"Usiseme hivyo Chausiku. Wewe haujui tu, Mume wangu si kama wanaume wengine!".
"Wapi wewe, hebu ishia hapo hapo. Acha kuanika mambo ya ndani hadharani. Wewe pambania kombe shoga angu!".
Chausiku na wanawake wengine wachache waliondoka zao.
Wakaona kabisa swala hilo haliwahusu,
Kwani lilikuwa ni laki ndoa zaidi kuliko hata kiujirani mwema!
Baadhi ya wazee wa heshima, walijaribu kuwa achanisha Pengo na mkewe kwa kuwavuta ili wapachuane.
Ikawachukua muda mrefu kidogo,
Ila baadaye sana. Nyama ya Pengo ikasinyaa zaidi.
Ndipo ikanasuka kutoka humo ndani ilipokuwa imenasiana!
Kadra akabaki anatoka damu, ndipo wakafanya uamuzi wakumfikisha kwenye hospitali kuu ya Wilaya ili apatiwe matibabu ya kina na kushonwa!
********
Bado Bahati alikuwa na msongo mzito sana wa mawazo, akawaza kitu chakufanya ili ampate Pengo kwa mara nyingine tena.
Akaona njia pekee ya haraka ni kwa kutumia fedha kama anavyofanyaga mama yake. Hapo ndipo Bahati akafungua begi lake kubwa na kukitoa kibubu chake cha kuhifadhia fedha. Kisha akakivunja na kuzivuna fedha za kutosha tu alizokuwa akizihifadhi kwa siri ndani ya kibubu hicho!
Kwani hata mama yake mzazi hakuwa akizifahamu.
Zilikuwa ni fedha ambazo, Bahati alipanga kuzitumia pindi atakapo hitimu kidato cha nne, kwa maana mwenendo wake mzima wa kimasomo alifahamu fika kuwa haukuwa mwema.
Hivyo alijua kabisa kuwa, hata faulu mtihani huo wa kidato cha nne.
Alishawaza siku nyingi na kuona ni bora afungue genge au saluni ya kike mara tu atakapo maliza elimu yake ya sekondari.
"Potelea pote! Wacha fedha hizi ni mlipe Pengo kama ada, maana hata mama yangu humlipaga pia. Na ndio maana Pengo kesha mfundisha na kumzoesha mama bakora yake. Lazima na mimi ni gharamike!".
Alijiwazia mawazo ya kaliba hiyo kichwani mwake,
Huku akizihesabu fedha zile nyingi tu kupindukia!
"Waoo! Kumbe nimedunduliza fedha nyingi kiasi hiki?".
Bahati hakuamini kabisa mara alipomaliza kuhesabu na kupata jawabu lake.
"Kha!? fedha taslimu, shilingi laki nane!?" ????
Alijikuta akicheka bila kutarajia!
Akaamini fika kuwa, hizo zitatosha kabisa kumlipa Pengo ili amzoeshe jinsi ya kuhimili bakora kubwa yenye pete, ili naye aionje starehe hiyo. Starehe pekee aliyokuwa ameibakisha kuifanya hapa duniani!!
"Hapa, nitachukua kiasi, zingine nitazibakisha. Wala sitampa zote, maana natumai nitaelewa haraka".
Bahati alikata shauri, akachukua bunda moja la noti, akalitia mfukoni pasina hata kulihesabu, zingine akazirudisha kwenye mkoba wake maalumu. Kisha akauficha ndani kabisa ya sanduku lake lile kubwa la nguo! baada ya hapo akatoka na kuelekea kibarazani, akatizama kila pembe, ila hakupatapo kumtia Pengo machoni kwa siku hiyo.
Bahati akaona isiwe taabu.
Akamfuata mama yake na kumnong'oneza kitu sikioni.
"Mama, eti Pengo kafika hapo kilabuni leo kweli?". Aliuliza Bahati katika namna ya kunong'ona.
"Hapana mwanangu, kwani nini kimezidi huko?".
"Sio kitu mama, nilitaka tu kujua, maana sikuchukua namba ya simu ya yule baba niliyelela naye jana! hivyo nikahisi pengine Pengo atakuwa nazo ili anigaie!".
"Mmh! Sasa unataka iweje?".
"Kwasasa, labda unipe namba za Pengo, ili nimpigie anipatie namba za yule sponsa!".
"Ati nini? Wewe leo wakuzitaka namba za Pengo? Siumekuwa ukimnanga hapa masiku yote kuwa hakufai kwa lolote?".
"Mama, lakini si ni namba tu!? sina la zaidi naye ujue".
"Akuu, ngoja nimpigie mie nikuunganishe naye weye!".????
Bahati aliposikia hivyo, akazira.
Akatoka zake nje mkukumkuku na kumwacha mama yake akiwa amebaki sebleni peke yake!
Mama akacheka!
Nakujiridhisha kuwa, Lazima Bahati aliwapiga chabo, hivyo kuna kitu cha ajabu anakitaka toka kwa Pengo!
Wivu ukaanzakumea kati yao, mama na mwanaye! Wote wakawa wanaihusudu kubwa. Tena yenye pete juu.....ITAENDELEA
JE, UNAHISISI NINI KITATOKEA? TUKUTANE SEHEMU INAYOFATA ILI TUJUE NINI KITAKACHOJIRI
AIDHA, UNAWEZA KUPATA HADITHI HII IKIWA FULL KWA KULIPIA TSH 1000/= BADALA YA TSH 2000/=
AU KUVISOMA VIPANDE KUMI VYA MBELE KWA KULIPIA TSH 150/= KWA KILA KIPANDE KIMOJA
MALIPO YAFANYIKE KWENDA NAMBARI HIZI
0675536572 TIGO
0692353657 AIRTEL
JINA LITAKUJA
"MVUNGI"
WAHI TU WAHI...
CHEZEA YENYE PETE WEWE! ????????
#MALENGA MWENYE KALAMU ILIYOSAHAULIKA NYIKANI!
https://whatsapp.com/channel/0029VbAn7XYJP20v4L8NGV2J.