Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SHANGA TISA.  EP: 08
Gonga94 Β· Stories

SHANGA TISA. EP: 08

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHANGA TISA.
EP: 08
MTUNZI: ASHROUPH K.A

HAUWEZI kuamini, Bahati alinuniana siku hiyo na mama yake, akagoma katu katu kupewa namba hizo za simu za Pengo na mama yake.

"Sinimesema sitaki? nitamuomba mwenyewe, kwani huwa sianakuja hapa kila siku kulewa?". Alisema Bahati, japo kwa jazba????

"Bahati, kwani kuna utofauti gani hizo namba nikikugea mimi na akikugea Pengo mwenyewe!?". Mama alimjibu.

"Nimesema kaa na namba zako, sizihitaji tena!". Bahati aliinuka juu nakutoka nnje kwa hasira.
Huku nyuma akimwacha mama yake akiwa anacheka sana kupita kiasi!????

"Hahaha,???? huyu mtoto naona anataka kupita alipo patoka. Hajui kuwa Pengo ndo usingizi wangu mie!? Mwana mshenzi huyu".
Alisema. Kisha akazipanga glass zake za kuwatilia wateja wake pombe hapo mezani. Tayari kabisa kwa kuianza kazi yake. Kazi ya kuuza pombe. Lakini hata na bangi pia, japo bangi huiuza kwa usiri sana.tena kwa siri mno! Kuliko hata jinsi anavyouuza mwili wake kimapenzi kwa baadhi ya wateja wanao hadaika na umbile lake.

Kwani sio siri, mama Bahati aliumbika kupita kiasi. Pengine kuliko hata baadhi ya mabinti unaowafamu hapo mtaani kwenu. ????

Mana alikuwa na tako, tena tako tako kweli???? lile la kuvunja chaga. Shingo yake ndefu kama ya twiga. Matiti ya wastani, yaliyomfanya muda wote wanaume wa hisi pengine hata kuzaa bado hajazaa.

Kiuno cha aina yake, kilicho bonyea ndani na kumwaga kwa kichini kama nyuki dondola ???? Ama hakika mama huyu alikuwa ni maana halisi ya kile tunacho kiita umbo namba nane.

Kuna baadhi ya nyakati, hata Bahati alikiri kuto kuufikia japo robo tu ya uzuri wa mama yake.

Ni mlevi gani aliyelewa klabuni kwa mama bahati alafu akavumilia kuyatizama tu matako yake pasina kuyatamani?

Jibu ni hapana. Mana hakuna! hakuna hata mmoja aliyekuwa na jeuri hiyo. Wengi miongoni mwa wateja wake wa pombe, waligeuka na kuwa wateja wake wa ngono pia, mana walishindwa kula kwa macho kila itwayo leo!

Kitu kilichomfanya Pengo asiwe na hisia za dhati sana za mapenzi kwa mama huyo. Ndo hivyo tu alizifuata pesa zake. Kwani kila alipomlala, Pengo alilipwa ada yake. Tena ada ya manaa kabisa, mana zilikuwa nu pesa taslim zaid ya shilingi elfu arobaini kwa kila walipo lala na kuzagamuana. ????

******
Kadra alichambwa sana na manesi, akaambiwa aache woga. Maana akiendekeza tabia yake ya kujidekeza kitandani nakujifanya hawezi kuhimili uume wa mumewe wenyewe pete, basi atampoteza mume. Na badala yake wataibuka makonkodi wengine wamsaidie shughuli ya kiunyumba! Nesi alisema;

"Wee endelea tu, au haujui kupata mume wa aina hiyo ni bahati? Wenzako wanawasakanya kwa udi na uvumba na bado hawampati, wewe unachezea bahati!?".

"Labda dokta useme wewe, maana mimi nimechoka. Na kama hamtaki aweke wazi hapa hapa. Kwani sio siri, hata mimi mwenyewe sijawahi kuijaribu bakora ya mwanaume mwenye pete. Naitamani kama nini!". Awee, Kadra aliposikia maneno hayo ya manesi, ili bidi akomae, ghafla akalipuka neno na kusema;

"Jamani dokta nitajitahidi, japo sio rahisi, nyie kawaida tu ila.... bila shaka hata ninyi wenyewe hamuwezi kuuhimili uume kama huo!".

"Kadra, unataka kutangaza vita na mimi!?, hebu sema suu uone!". Dokta wa kike aliyehusika na tatizo la kadri siku hiyo, alitania, ndipo kadra akaomba tu wa mwache mume wake. Wasije kuchepuka naye bure.

Baada ya mazungumzo hayo marefu ya utani, kadra aliruhusiwa kurejea nyumbani. Ila akapatiwa vidonge maalumu vya kusisimua homoni, ili awe anavimeza nusu saa kabla ya kuanza tendo la ndoa na mumewe! Ili vimsaidi kulegeza nyongo, pelvic muscles na mji wa uzazi, vitanuke vizuri wakati wote wa tendo!

"Ahsante sana dokta. Nitafanya hivyo, ili nisiabike tena!"

"Pambana shoga angu, ni fursa hiyo ujue!".

Wote walicheka kwa nukta hiyo.

Ndipo jirani wa karibu wa Kadra akaja nakumchukua shoga ake, wakatoka wote nnje huku akimsimanga. Akimtaka aache uzembe kitandani. Na badala yake amkatikie mumewe kama mwehu!

"Acha ufara Kadra! Hogo la jang'ombe hilo. Lipambanie vyema, ukicheza.....!".

"Hebu acha hizo Chausiku, ujue ile ni bahati mbaya tu"

"Bahati mbaya? Wakati hadi kujinyea ulijinyea!? Hahaha!" ????

"Usiongee kwa nguvu bhasi, utafanya watu wote watajua!". ????

"Acha wajue, tena wafahamu kuwa, mumeo ana bakora yenye Pete, ndefu kaa ya punda!". ????

Kadra alitizama chini kwa aibu.???? Huku wagonjwa waliokuwapo hapo mapokezini wakimtizama Kadra kwa mshangao. Tena wakinongona kwa chini chini.

"Ndo huyu!"

"Eee"

"Huyu ndo yule aliyenasiana!?".

"Kha! Natamani kumwona huyo bwana ake, ili nimpe maua yake!"

"Acha tu shoga angu, mana ninavyopenda dyudyu kubwa, nene na ndefu.. aki nikimwona na muiba!".

"Sio wewe tu, hata manesi wanamtani huyo jamaa ake kama nini, nimewasikia mwenyewe kwa masikio yangu wakisimuliana!".

"Unasemaje?".

"Habari ndo hiyo shosti! Ndefu tamu babu. Fupi inakera". ???????? ..ITAENDELEA

Je, UNAHISISI PENGO ATASALIMIKA KWELI? MAANA NI KILA MWANAMKE ANAYEZIPATA HABARI ZAKE, LAZIMA ACHIZIKE. HATA MIMI SIJUI, TUKUTANE EP 09

AU PATA FULL STORY KWA KULIPIA TU TSH 1000/=
NAMBA: 0675536572
JINA: MVUNGI

MALENGA MWENYE KALAMU ILIYOSAHAULIKA NYIKANI!

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHANGA TISA. EP: 08

SHANGA TISA.
EP: 08
MTUNZI: ASHROUPH K.A

HAUWEZI kuamini, Bahati alinuniana siku hiyo na mama yake, akagoma katu katu kupewa namba hizo za simu za Pengo na mama yake.

"Sinimesema sitaki? nitamuomba mwenyewe, kwani huwa sianakuja hapa kila siku kulewa?". Alisema Bahati, japo kwa jazba????

"Bahati, kwani kuna utofauti gani hizo namba nikikugea mimi na akikugea Pengo mwenyewe!?". Mama alimjibu.

"Nimesema kaa na namba zako, sizihitaji tena!". Bahati aliinuka juu nakutoka nnje kwa hasira.
Huku nyuma akimwacha mama yake akiwa anacheka sana kupita kiasi!????

"Hahaha,???? huyu mtoto naona anataka kupita alipo patoka. Hajui kuwa Pengo ndo usingizi wangu mie!? Mwana mshenzi huyu".
Alisema....

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shanga-tisa-ep-08

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shanga-tisa-ep
SHANGA TISA  EP: 20
SHANGA TISA EP: 20
SHANGA TISA EP: 15
SHANGA TISA EP: 15
SHANGA TISA  EP: 17
SHANGA TISA EP: 17
SHANGA TISA  EP: 16
SHANGA TISA EP: 16
SHANGA TISA  EP: 11 FUNDI: ASHROUPH K.A    {TAYLOR PERRY WA TZ}
SHANGA TISA EP: 11 FUNDI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ}
SHANGA TISA  EP: 10 ASHROUPH K.A
SHANGA TISA EP: 10 ASHROUPH K.A
SHANGA TISA  EP: 14
SHANGA TISA EP: 14
SHANGA TISA  EP: 13
SHANGA TISA EP: 13
SHANGA TISA  EP: 09
SHANGA TISA EP: 09
SHANGA TISA  EP: 19
SHANGA TISA EP: 19
SHANGA TISA  EP: 18
SHANGA TISA EP: 18
SHANGA TISA.  EP: 4
SHANGA TISA. EP: 4
SHANGA TISA  EP: {02}
SHANGA TISA EP: {02}
SHANGA TISA  EP 05
SHANGA TISA EP 05
SHANGA TISA  EP 06
SHANGA TISA EP 06
SHANGA TISA EP 07
SHANGA TISA EP 07
SHANGA TISA. EP: 1
SHANGA TISA. EP: 1
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

*AFANDE MILLAN😎* *46&47*

1.07K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

940
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

915
SHAMIRA 44 kwa 45

SHAMIRA 44 kwa 45

199
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

197
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

174
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

163
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

148
SHAMIRA Sehemu ya 46

SHAMIRA Sehemu ya 46

120
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

19

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS πŸ₯° yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Mdada mie nikaanza kupiga ukelele wa furaha na bila kujigikiria mara mbili mbili nilimkumbatia Anfrey mwamba naye ni kama alitegemea hivyo maana alinipokea tena kwa hamu kubwa "Anfrey asante asante...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 16
@majario LIVE

SONGA NAYO....... Basi ikabidi waniache, nikaingia ndani nikawa nimeloa chepechepe na binti angu nae vile vile hakunibanduka kabisa mikononi mwangu "Karibu sana baba karibi, jisikie upo nyumbani.." Nikiwa chumbani navaa niliweza kumsikia mama...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest