Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SHANGA TISA  EP: 17
Gonga94 ยท Stories

SHANGA TISA EP: 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
SHANGA TISA
EP: 17

MTUNZI: ASHROUPH K.A
{TAYLOR PERRY WA TZ}

BAADAYA kutoka humo Lodge, Pengo alipiga simu moja kwa moja nyumbani kwa mama mzazi wa Bahati, akamweleza kila kitu kuwa, mwanaye yupo Lodge kuna wahuni wamemzimisha. Mara baada ya kumpelekea moto kwa mtindo wa mtungo!

"Pengo, acha masihara yako bhana. Ujue nipo tu kitandani na kusubiria!".

"Wewe endelea kusubiria embe chini ya mnazi, mimi huko leo siji ng'oo! nipo kwangu na mke wangu wa ndoa. Fanya hima ukamnusuru kwanza mwanao, utajua mwenyewe, chelewa chelewa afe!". Pengo alikata simu, kisha akatafuta kibanda cha chips usiku huo hapo Tanga mjini. Akanunua kuku nusu na chips zake. Akavil vyote kutokana na njaa ya ghafla aliyoipata kule lodge mara baada ya kupelekewa moto mkali na Bahati!!...

Ghafla simu ya mama bahati ikaingia, Pengo akapokea muda huo huo.

"Wewe, umesema yupo Lodge gani!?"

"Mkumbala Lodge! Barabara ya sita Tanga mjini hapa!".

"Sawa, ngoja niende. Mana naipigia simu yake haipatikani!".

Mama huyo alikata simu, akachukua tax ili impeleke huko ilipo mkumbala Lodge.

Ndani ya muda mfupi tu akamudu kufika, akapokelewa na wahudumu wa Lodge hiyo, ndipo akaulizia uwepo wa mteja anayefahamika kwa jina la Bahati Nasibu!

"Ndio, mteja huyo tunaye, kwani shida nini!?".

"Nimeambiwa kuwa eti amezidiwa sana, Mana amepigwa mtungo na wanaume wengi kwa mkupuo! Na huyo Bahati ni mwanangu wa pekee. Hivyo naombeni tu mnipeleke nikamwone!".

"Mmh!? Mbona hatuna taarifa hiyo!?".

"Hamuwezi kuwa nayo, ndo maana nawaambia. Nipelekeni nikamwone!". Mama bahati alilazimisha huku akipiga makelele, hadi wahudumu wakaona isiwe shida. Wakaongozana naye mpaka kwenye chumba alichokuwa amekodi Bahati. Ila walipofika, walishangaa kweli kukuta mlango ukiwa wazi.

Ikawabidi wafungue nakuzama ndani.

"Toba ilahi!". Wote walishangaa, kwani bado Bahati alikuwa amelala chini kwa kuzimia, huku damu nyingi zikimvuja kichwani.

"Maskini mwanangu, ni nani wamekufanyia ukatili huu, si ni mara kumi elfu wangenifanyia mimi!? Ujue wewe ndo kula yangu na jeuri yangu hapa mjini!?". Mama mzazi wa Bahati alilaani.

Wahudumu wakapiga simu polisi ili kupata msaada, maana tukio hilo lilikuwa la kipolisi, wala si vinginevyo.

**
Kesho yake, Pengo ndo alikuwa mtu wa kwanza kumpigia simu mama Bahati, na kumuulizia juu ya maendelei ya kiafya ya Bahati!

"Nambie bebi, vipi. Mwanentu anaendeleaje!?". Alihoji Pengo

"We acha tu, anaendelea hivyo hivyo. Nakushukuru sana kwa taarifa yako. Mana usingenambia wewe, pengine mwangu angelifia pale pale Lodge usiku ule. Mana so kwa damu hizo alizokuwa anavuja!".

Bahati aligeuza shingo, akamtizama mama yake akiongea na simu hiyo, akajua tu. Bila shaka anaongea na Pengo. Akasubiri kwanza amalize ili amuulize baadaye.

Ndipo wakaongea kwa kirefu mpaka mwisho, ila mama bahati alipotoa tu simu yake sikioni. Bahati aliinua mdomo wake na kumuuliza,

"Kwani mama ulikuwa unaongea na nani!? Au ni Pengo!".

"Ndio, siunajua huyu ndo baba yako mdogo!? Na laiti asingenipigia simu kuna mbia kuwa kuna washenzi wamekufanyia huu unyama, wala nisingejua kitu pengine mpaka sasa!"

"Hahaha! Mama, ivi una akili kweli, yeye alijuaje kuwa nipo Lodge, au haujajiuliza swali hili!? na amejuaje kuwa nimepigwa mtungo!? Ee!?. Zinduka mama yangu, acha kuwa nyuma nyuma kama mkia". Bahati aliongea kwa kumkejeli sana mama yake! Hadi mama Bahati akajishangaa kidogo, Mana sio siri pengine Pengo alijua kitu kuhusu tukio zima lililomkuta mwanaye!

Aliwaza hivyo mama Bahati . Ingawa kimoyomoyo! .......ITAENDELEA

Full Tsh 1000/=
Lipa hapa
0675536572
Jina: komba
Tangazo - nitakusemea kwa baba unaniumiza
nitakusemea kwa baba unaniumiza
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHANGA TISA EP: 17

SHANGA TISA
EP: 17

MTUNZI: ASHROUPH K.A
{TAYLOR PERRY WA TZ}

BAADAYA kutoka humo Lodge, Pengo alipiga simu moja kwa moja nyumbani kwa mama mzazi wa Bahati, akamweleza kila kitu kuwa, mwanaye yupo Lodge kuna wahuni wamemzimisha. Mara baada ya kumpelekea moto kwa mtindo wa mtungo!

"Pengo, acha masihara yako bhana. Ujue nipo tu kitandani na kusubiria!".

"Wewe endelea kusubiria embe chini ya mnazi, mimi huko leo siji ng'oo! nipo kwangu na mke wangu wa ndoa. Fanya hima ukamnusuru kwanza mwanao, utajua mwenyewe, chelewa chelewa afe!". Pengo alikata simu, kisha akatafuta kibanda cha chips usiku huo hapo Tanga mjini. Akanunua kuku...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shanga-tisa-ep-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shanga-tisa-ep
SHANGA TISA  EP: 20
SHANGA TISA EP: 20
SHANGA TISA EP: 15
SHANGA TISA EP: 15
SHANGA TISA  EP: 16
SHANGA TISA EP: 16
SHANGA TISA  EP: 10 ASHROUPH K.A
SHANGA TISA EP: 10 ASHROUPH K.A
SHANGA TISA  EP: 14
SHANGA TISA EP: 14
SHANGA TISA  EP: 11 FUNDI: ASHROUPH K.A    {TAYLOR PERRY WA TZ}
SHANGA TISA EP: 11 FUNDI: ASHROUPH K.A {TAYLOR PERRY WA TZ}
SHANGA TISA  EP: 13
SHANGA TISA EP: 13
SHANGA TISA  EP: 19
SHANGA TISA EP: 19
SHANGA TISA  EP: 09
SHANGA TISA EP: 09
SHANGA TISA  EP: 18
SHANGA TISA EP: 18
SHANGA TISA.  EP: 4
SHANGA TISA. EP: 4
SHANGA TISA.  EP: 08
SHANGA TISA. EP: 08
SHANGA TISA  EP: {02}
SHANGA TISA EP: {02}
SHANGA TISA  EP 05
SHANGA TISA EP 05
SHANGA TISA  EP 06
SHANGA TISA EP 06
SHANGA TISA EP 07
SHANGA TISA EP 07
SHANGA TISA. EP: 1
SHANGA TISA. EP: 1
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

8.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

5.49K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.17K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

1.91K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

1.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.72K
RUNGU LA KIPOFU 21.

RUNGU LA KIPOFU 21.

1.64K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.62K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

1.62K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest