Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Daddy alizidi kuwaka usiku ule Yani aliongea ilibakia kidogo tu anipatie laana lakini Mom alisimama akamwambia tafadhari acha ameshasikia hawezi kukaidi Tena amri Yako usije ukampa Mtoto laana nakuomba πŸ™πŸ™ daddy nakuomba unisamehe Niko tayari kuolewa na Hakim hapakuwepo na namna ilinibidi nikubali kuolewa na Hakim Ili kuzishusha hasira za baba Yangu! Niliondoka pale sitting nikaelekea chumbani kwangu nilichukua simu yangu nikawasha data nilikuta Boss Paschal kanitumia msg nyingi mno alikuwa ananiomba niingie online! Baada tu ya kuwasha data Paschal alinipigia.....
""Mine are you okay!?""
""Boo I'm not okay""
""What happened!?""
""I can't even explain""
""Pendo Tell me something You scare meπŸ₯ΉπŸ₯Ή""
""Any way nakuomba ruhusa kesho sitoweza kwenda kazini pia usije ukashangaa Kwa sababu huenda ndo nimeshaacha kazi hivyo!"
""What is there!?""
""Nilianza kulia nikashindwa kuongea na Paschal nilizima data nikaweka simu pembeni nilijifunika gubi gubi nikaendelea kulilia kwenye mashuka na mito hisia zangu zimedhurumiwa kutoka Kwa mwanaume ninayempenda hivyo ndivyo nilivyokuwa najiambia kichwani kwangu! Pendo mwanangu hebu amka tuongee alikuwa ni mama yangu aliyekuja chumbani kwangu usiku wa manane baada ya kuwa Daddy ameshasinzia! Mwanangu nimeshindwa kabisa kusinzia nimehofia maisha Yako baba Yako amekukaripia sana hajawahi kuwa mkali kwako kiasi hicho tafadhari nakuomba uniahidi ya kwamba hautojidhuru kutokana na Yale maneno makali aliyokutamkia baba Yako! Usijali mama we nenda ukalale Mimi Niko sawa!

Pendo lakini ulikosea sana kumwambia baba Yako et tayari wewe una mwanaume wako ambaye unampenda na ilihali hapa nyumbani hatujawahi kumuona mwanaume yoyote kaja kukuchumbia tofauti na Hakim! Hebu nikuulize huyo mwanaume mwenyewe ni nani!? Mama Mimi nampenda sana boss Paschal nieleweni tafadhari nampenda etπŸ₯ΉπŸ₯Ή

Boss Paschal 😳😳 yule wa kufoka foka !? Yule aliyekufokea tangu siku ya kwanza tu mlivyoonana!? Kumbe ndo maana alikuja kutuokoa kutoka mikononi Kwa Mika!? Ndiyo maana alileta Hadi ulinzi wa CCTV camera nyumbani hapa Kumbe yote alifanya Kwa sababu Yako!? Ndiyo Mom nampenda πŸ˜”πŸ˜” haya ulianza kumpenda lini!? Hebu kwanza nikuulize hivi huko ndani tayari wameshaanza kukuchunguliamo Kwa hiyo hata huyo boss wako tayari umeshalala naye!? Mama hapana tunapendana lakini hatujawahi kufanya chochote! Una uhakika ya kwamba na yeye yuakupenda wewe!? Ndiyo Mom ananipenda! Sikiza nikushauri kitu Binti yangu bahati kama hii unayotaka kuikataa utakuja kuijutia Alf siyo lazima uolewe na mwanaume unayempenda kikubwa ni kuwa yeye anakupenda wewe Naomba uachane na huyo boss wako wa kufokafoka huyo hakupendi ila wewe ndo unayempenda yeye! Mapenzi Yako hivyo mwanangu unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi! Acha kutafuta uhasama na baba Yako olewa na Hakim mpate baraka zetu!

Mama alinishauri hivyo baada ya Hapo aliniaga akarudi chumbani kwake nililala kesho yake mapema Hakim alinipigia Simu Kwa video call sikupokea πŸ˜”πŸ˜” nilizima data nikaweka simu hapo😏😏hata baada ya Mimi kuzima data Bado hakuacha baada ya Mimi kuzima data alipiga kawaida sikupokea! Alinitumia Msg....
""how did you wake up my love!? And why don't you answer my texts that I sent you since last night !? Au Bado una hasira Kwa kile kilichotokea Jana!? ""
""I'm sorry I'm not even angry but ni vile tu Jana niliwahi kusinzia""
"" Ohk sweetheart nikuletee Nini as you know nitacam kukuchukua Kwa ajiri ya kuelekea hospital!""
""just anything""
""Okay, my queen, I will follow you""
""Okay ""

Nilijiandaa nikajiweka sawa baba yangu aliniita nilikwenda kumsikiliza aliniuliza Kwa mara ya mwisho unaolewa na Hakim au laa! Kama hauolewi naye vilete vitu vyao walivyokuzawadia Jana Ili akija hapa kukuchukua arudishiwe vitu vyake pamoja na mahari yake! aambiwe kuwa uchumba umeshindikana Alf ukishafanya hivyo utaondoka umfuate huyo mwanaume wako mkaishi huko hapa kwangu sikutaki Kabisa! Acha tu Daddy nitaolewa na Hakim πŸ₯ΉπŸ₯Ή nilirudi chumbani kwangu nikaendelea kumsubilia Hakim kuja kunichukua! Haikupita muda Hakim na Jase walifika pale nyumbani kwetu walikaribishwa ndani nilitoka nikaenda wasalimia Hakim alisimama akaniwowπŸ«‚πŸ«‚ Kisha akanipatia maua😹😹 niliyapokea nikaenda kuweka chooni kwangu😹😹 tuliondoka kuelekea hospital tulifanyiwa vipimo nilitamani hata Hakim apatikane na ngoma ilimradi tu nipate sababu ya kutengana naye😹😹😌 lakini Ndo basi Tena kaka wa watu hakukutwa hata na maralia🀣🀣🀣 ni msafi Kila Kona😹😹 Mimi nilipatikana na maralia nazani ni wale mbu walionitafuna kipindi tukiwa msibani Kwa mama yake na Paschal 😹😹 nilianzishiwa Tiba ya maralia uwwww Hakim sangapi asianze kujipa majukumu😌😌oh I'm so sorry my love how are you feeling tafadhari sogea ulale Hapa kifuani kwangu...... Kheeee😹😹 anayebembelezwa SasaπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈπŸ€ΈπŸ»β€β™€οΈ tuliondoka pale hospital et nashangaa badala wanirudishe home si wakanipeleka hotel kule Serena hotel πŸ™„πŸ™„

Vile tumefika parking et Hakim akanibebaπŸ™„πŸ™„ et akapanda kwenye lift kuelekea chumbani kwake huku akiwa amenibebaπŸ™„πŸ™„ et akawa ananibembeleza kuwa Mimi ni kagonjwa anatakiwa kunihandle vizuri πŸ™„πŸ™„ alinipeleka Hadi chumbani kwake akanilaza kitandani kwake aliagiza chakula Kwa ajiri ya launch Tukaletewa Juu
honey, please let me feed you and then you will drink medicine🫰🫰 After that you will rest✌️✌️ in the evening I will take you home right!? It's okay Hakim But I can eat alone .......oh habit Naomba uniruhusu nikuhudumie unaumwa etπŸ₯°πŸ₯° okayπŸ™„πŸ™„...... Alianza kunilisha lakini the way alivyokuwa ananilisha Mimi nilikuwa naimajini ni kama Boss Paschal ndiye anayenilisha😹😹 nilijikuta nimeikumbuka Ile siku aliyonilisha chakula boo Paschal kipindi tulipokuwa mbeya basi baada ya kumkumbuka paschal nilianza kusmile huku nikiwa nakula taratibu nilianza kuyapapasa mapaja ya Hakim Kwa kuzania kuwa yule ni Boss paschal..... Boo I like the way you feed me slowly the way you are romantic I love you my Boo πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹ wow I Love you too habit πŸ’‹πŸ’‹ Baada ya Hakim kuongea si ndo akili zikarudi pale sasa😳🀣😳 niliutoa mkono wangu haraka mapajani Kwa HakimπŸ˜†πŸ˜¬ nilitamani kumwambia kuwa hayo maneno hayamuhusu yeye lakini nikaona Wacha nivunge😹😹😹

Alimaliza kunilisha nikakaa kama nusu saa akanipatia dawa Baada ya Muda kidogo nililetewa juice ya matunda then Hakim alinilaza kifuani kwake akaniomba tupumzike nikiwa pale kifuani kwake si nikawasha data mie nilimumis paschal wangu vile nimewasha tu data simu ya boo ikaingia lile wenge na uoga nikakimbilia kubonyeza kile kidude Cha kukata kumbe ndo nimeipokea Ile video call 😳😳😳

Itaendeleaaaa.......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜


Daddy alizidi kuwaka usiku ule Yani aliongea ilibakia kidogo tu anipatie laana lakini Mom alisimama akamwambia tafadhari acha ameshasikia hawezi kukaidi Tena amri Yako usije ukampa Mtoto laana nakuomba πŸ™πŸ™ daddy nakuomba unisamehe Niko tayari kuolewa na Hakim hapakuwepo na namna ilinibidi nikubali kuolewa na Hakim Ili kuzishusha hasira za baba Yangu! Niliondoka pale sitting nikaelekea chumbani kwangu nilichukua simu yangu nikawasha data nilikuta Boss Paschal kanitumia msg nyingi mno alikuwa ananiomba niingie online! Baada tu ya kuwasha data Paschal alinipigia.....
""Mine are you okay!?""
""Boo I'm not okay""
""What happened!?""
""I can't even explain""
""Pendo Tell me something You scare meπŸ₯ΉπŸ₯Ή""
""Any way nakuomba ruhusa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-no-29

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-no
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 26πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 26πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

919
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

790
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

625
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

456
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

201
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

123
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

97
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

93
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

57
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest