Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Niliongozana na hakim hadi katika mlango wa kile chumba alichokuwa amekilipia alifungua akaweka mabag ndani mimi nilibakia nimeganda tu mlangoni😁😁 sikutaka kuingia kule katika kile chumba hakim alivyomaliza kuweka mabag alikuja pale mlangoni akanibeba juu🫣🫣 karibu kipenzi changu nimekuleta huku ili upate kunizoea kwa sababu naona hauko free sana na mimi! Aliniambia hivyo kisha alinipeleka chumbani akanilaza kitandani.......
""Pendo...""
""Abee""
""Kuna namna fulani hivi natamani uwe pale unapokuwa karibu yangu lakini why haiwi kama ninavyotamani mimi?! Nimekuleta huku tukae wawili peke yetu tuongee kirafiki why hauko free juu yangu kwanini hauonyeshi kufurahia pale unapokuwa karibu na mimi??!.... hilo swali niliulizwa na hakimu nilitamani kufunguka nimwambie ukweli lakini niliwaza mara mbilimbili atajisikiaje?! Atalipokeaje?? Wazazi wangu watayapokeaje hayo maamuzi yangu!? Nilimjibu hakim nikamwambia ni vile tu cjakuzoea nikikuzoea tutakuwa marafiki! Alijaribu kunicare kwa kila kitu lakini tatizo ni moyo wangu upo kwa mtu mwingine tuliongea kidogo baada ya hapo tulitoka tukaenda kuenjoy usiku mida ya saa sita tulirudi chumbani nilifika pale chumbani nikaenda kukaa kwenye sofa hakim anifuata pale akaniambia kipenzi changu huwezi kunizoea endapo kama ukiendelea kujiweka mbali nami nakuomba uwe free kwangu et! Lakini hakim cwezi kukuzoea kwa haraka kiasi hiko unatakiwa unipe muda......

Basi naomba tuingie bafuni tukaoge wote baada ya hapo tutalala wote paale kitandani natamani usiku huu wa leo ukawe ni usiku wa kusheherekea mapenzi yetu nina imani ukishanipatia mwili wako hautoniogopa tena utakuwa free kwangu na utanizoea pia! Kheee kwa hiyo unamaanisha et mimi nawewe twende bafuni wawili?! Ndiyo my love sielewi hata unachokiogopa na wakati utaenda kuwa mke wangu hivi karibuni..... lakini bado hatujawa wanandoa hakim ni mahali pekee ndo kitu ulichonilipia lakini ndoa bado haijapita siwezi kukuruhusu wewe kuugusa mwili wangu kabla ya ndoa kupita..... lakini pendo mimi tayari ni mmeo nimeshakulipia mahali yani cjy hata ugumu uko wapi ?! Hakim alianza kunivua nguo kwa nguvu niliwaza nguvu za kupambana naye sina nafanyaje sasa ili nijiokoe mikononi mwa huyu shetani hapa nilijaribu sana kumzuia hakim lakini wapi sikuwa na nguvu za kutosha niliwaza kitumbua changu tena kiliwe na leo si nitakufa ni bora hata mlaji angekuwa ni paschal lakini siyo huyu mbakaji huyu..... hakim alifanikiwa kunichania nguo yangu niliyokuwa nimeivaa kifua chote kilibakia wazi alianza kunitomasa kifuani kwangu niliona hakim yuko serious kufanya kile alichokidhiria niliivuta cm yangu nikagusa kwenye fingerprint ikajitoa lock nilipiga kwa my boo

Vile ndo imeanza kuita hakim aliisikia ile simu akataka kuichukua tukaanza kuing'ang'ania alichokifanya hakimu aliipigiza ile simu sakafuni kila kitu kikasambaa niliogopa sana hakim aligeuka akawa mkali kama chui baada ya kunivunjia simu alinisogelea akanisukumia kitandani nikanyanyuka aliniwasha kibao kimoja kikali nikahisi kupoteza network.... nilianza kulia huku nikiwa namuita boo please help me naomba unisaidie boo wangu nakufa nililiaπŸ₯²πŸ₯² hakim alininyanyua pale kitandani akaubana mdo wangu aliniuliza huyo boo ni nani?? Huyo ndo anayekufanya wewe ushindwe kunipenda mimi?? Hivi unajua kama nimekununua kwa pesa nyingi sana?! Hakim alianza kunipiga alinipiga mno nilivyo mweupe niligeuka nikawa mwekundu alitoa hadi mkanda wake akaanza kunipiga nao nikiwa nachupi tu pomoja na blezia ile nguo ya juu alinichania..... alinipiga hadi akatosheka baada ya hapo alirudia tena kuniuliza boo ni nani?? Nilimwambia boo ni mwanaume wangu unampenda right?? Nilimwambia ndiyo ninampenda.... nilikuwa nishajitoa mhanga tu kama kuniua aniue tu thats why niliamua kumjibu.....baada ya kumwambia kuwa ninampenda paschal na siyo yeye hakim alifungua bag yake akatoa bastola alinisogelea akaniambia nakuua pendo nilimwambia its okay hakim go aheadπŸ₯ΉπŸ₯Ή baada ya kumjibu hivyo alinyanyua ile bastola akataka kunipiga nayo kichwani lakini nilikinga mikono niliona yule mbwa yuko serious anaweza akaniua et ilibidi nimpigie magot nilimuomba anisamehe asije akaniua hakimu alinibeba juu juu akanitupia kitandani kama mzigo zile kelele nilizokuwa nazipiga kule chumbani ziliwaamsha waliokuwa kwenye vyumba vya jirani na chumba chetu! Walikwenda wakawaita walinzi ili waje kuangalia kinachoendelea kule chumbani ni kitu gani.....

Walinzi walikuja wakagonga mlango hakim alienda kufungua akawauliza mna shida gani?? Walimuomba awapishe ili waweze kuingia kuja kuangalia kama kule chumbani kuna usalama au laaa!?? Nilinyanyuka pale kitandani nikajifunika blanket nilijisogeza pale ili angalau wale walinzi waweze kunipa usaidizi wa mimi kuondoka kule chumbani hakim baada ya kuniona alinyanyua siraha yake juu aliniambia ukisogeza miguu yako hapo nakuua...... huyu ni demu wangu mimi nimemnunua hamuwezi kunipangia namna ya kumtumia..... baada ya hakim kujibu vile kila mtu pale aliondoka huku akiwa anajiuliza kumbe ni malaya?! Mabinti wa siku hizi bwana yani unakuta kibinti ni kidogo badala kisome au kitafute biashara halali kifanye vinakimbilia kwenye kujiuza matokeo yake ndo hayo sasa kupigwa na kudharilishwa ...... wale walinzi hata wao waliondoka lakini walimuomba hakim asifanye fujo tena kwa sababu anawasumbua wateja wao....... malizana naye huyo malaya buana kama vipi tutelekezee sisi huku nje tupunguze ukame kiongozi utakuwa umetusaidia sana mademu yanaringa hayo yanajiuza bei ghari ukiomba mkopo yanakunyima yani ulilipe ulilete hotel ya gharama kama hii alf et likuzingue aweee hata mimi nafumua twenzetu mwanangu muache jamaa kwanza amnyooshe huyo malaya wake kula ovyo vya watu.... waliongea walinzi wawili waliokuwa wamebakia pale mlangoni baada ya hapo waliondoka bila kunipatia msaada wowote!

Hakim alifunga mlango akarudi pale nilipokuwa aliniuliza hivi unajua kama tayari wazazi wako wameshakuuza kwangu?! Unatakiwa kufanya kila kitu ninachokitaka kwa sababu pesa ninazowadai wala hamtokaa muweze kuzilipa..... nilijiuliza kichwani huyu anaongea kuhusu nini?! Hakim kuna barua alizitoa akanionyesha zilikuwa ni barua za mkopo wa pesa nyingi sana ambazo wazazi wangu walizikopa kutoka kwenye campuni ya kina hakim ambayo inajishughurisha na maswala ya mikopo baada ya wazazi wangu kushindwa kulipa lile deni kwa muda mrefu ndo wakaamua kuniweka mimi rehani hakim aliniambia yeye na familia yake walikuja tanzania kwa ajiri ya kuja kuiuza nyumba yetu na mali zetu zingine ili kuweza kufidia hilo deni lakini baba yangu alivyomuona hakim aliwaomba wasifilisi vitu vyetu yeye ataniuza mimi kwao nikawe hata mke wa hakim baada ya wao kuombwa hivyo ndo wakaamua kufika nyumbani kwetu kuja kuniona kama kweli nafaa au laa?! Walivyoniona walinikubali nahapo ndipo walipoianzisha mipango ya harusi yangu na hakim...... nilisikitika sana niliumia sana nililia mno hakim aliniambia wewe ni wangu nina haki ya kukufanyia chochote kile nilishakununua pendo na hautakiwi kuendelea kuniletea ujuaji wako hapa!..... hakim alilock ule mlango wa chumbani akatunza funguo kwenye mfuko wa suruali yake aliniamuru niende nikaoge na nijiandae kwa ajiri ya kumfurahisha..... nilichukua towel nikavaa baada ya hapo nilijongea kuelekea bafuni mwili wote ulikuwa unaniuma fikilia yale maumivu ya kutolewa bikira jana jumlisha na kipigo cha hakim bila kusahau kudharilishwa alikonidharilisha hakim kwa kuniita malaya mbele ya wale walinzi pamoja na wageni waliokuwepo kwenye vyumba vya jirani na kile cha kwetu! Niliumia mno nilitamani kujiua usiku ule nilitamani kunywa sabuni ya maji iliyokuwemo kule chooni ili nife πŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή

Niliwaza kumbe ndo maana nilipomwambia daddy ya kwamba mimi simpendi hakim aliwaka kama moto nililia huku moyoni nikiwa naapia ya kwamba sitokaa nikawasamehe wazazi wangu kwa hiki walichonifanyia...... nawachukia sana najuta kuzaliwa na nyieπŸ₯ΉπŸ₯Ή huenda hata dada yangu prisca mlimuuza huko oman nyie ni wazazi wa aina gani mnaowageuza watoto kuwa vitega uchumiπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilitamani nimpate boo paschal nimwelezee kile kinachoendelea kwa upande wangu ili aweze kunisaidia lakini je nampataje ndo hivyo tayari niko kwenye mikono ya hakim na tayari kaishanivunjia simu na laini zangu.....nikiwa bado naendelea kujihoji maswali hakim alinigongea mlango wa chooni aliniuliza unaoga masaa mangapi pendo?! Nilimuomba samahani nilipasha maji haraka nikaukanda mwili wangu sikuweza hata kuoga kwa sababu ya yale maumivu makali..... nilimaliza kujikanda nikajifuta futa vizuri nikatoka kule chooni nilirudi chumbani nikamkuta hakim kavua nguo zake kabakia na boxa tuπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή

Itaendeleaaaaaaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜


Niliongozana na hakim hadi katika mlango wa kile chumba alichokuwa amekilipia alifungua akaweka mabag ndani mimi nilibakia nimeganda tu mlangoni😁😁 sikutaka kuingia kule katika kile chumba hakim alivyomaliza kuweka mabag alikuja pale mlangoni akanibeba juu🫣🫣 karibu kipenzi changu nimekuleta huku ili upate kunizoea kwa sababu naona hauko free sana na mimi! Aliniambia hivyo kisha alinipeleka chumbani akanilaza kitandani.......
""Pendo...""
""Abee""
""Kuna namna fulani hivi natamani uwe pale unapokuwa karibu yangu lakini why haiwi kama ninavyotamani mimi?! Nimekuleta huku tukae wawili peke yetu tuongee kirafiki why hauko free juu yangu kwanini hauonyeshi kufurahia pale unapokuwa karibu na mimi??!.... hilo swali niliulizwa na...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-no-32

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-no
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 26πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 26πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*

920
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22

790
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

626
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

458
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

201
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

123
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

97
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

95
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

57
KWAKO RUSHINE DE REUCK.

KWAKO RUSHINE DE REUCK.

6

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary Post Mpya
Rajshree (born October 8, 1944) is one of those 60s actresses people still remember with a smile. She’s the daughter of legendary
@majario LIVE

filmmaker V. Shantaram and actress Jayshree, so films were always a part of her world. She started as a child artist in Subah Ka Tara and was later introduced as...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest