Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 26πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 26πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya kuwasalimia wale wageni pale sebleni nilitoka Mimi na Shangazi tukaelekea chumbani kwangu nilikuwa na mawazo Hadi kichwa kilishaanza kuniumaπŸ™†πŸ™† Aunt...... Shhhhhh🀫🀫 hapa hakuna Cha kushtukizwa Wala mdogo wake na kushtukizwa najua unachotaka kusema ni hikohikoπŸ˜’πŸ˜’ jiandae tu Kwa ajiri ya ndoa we si unaiona hiyo familia jinsi ilivyo ni watu wenye pesa hebu angalia sura ya huyo mwanaume anayeenda kukuoa Binti yangu ni bonge la bwana heheiyaaaa haloooo toto la kiiraq unaenda kutulia zako South Africa kama nakuona Binti yanguπŸ₯°πŸ₯° Aunt alizidi kuongea pale huku akiwa anapiga vigeregere Kwa shangwe na furaha kubwa sana lakini Kwa upande wangu sikufurahia hata kidogo! Kichwani kwangu nilikuwa namuwaza Boo Paschal mwanaume ambaye moyo wangu ulimpenda tangu siku ya kwanza tu nilivyomuona!

Nakumbuka baada ya mazishi ya Madame Nancy ambaye ni mama yake na Paschal zilipita siku 14 na baada ya Hapo Paschal na baba yake waliondoka kuelekea nchini marekani ambako ndiko liliko chimbuko la ukoo wa baba yake na Paschal! Na hata wazazi wa Paschal makazi Yao ilikuwa ni USA huku Tanzania walikuja kuwatembelea ndugu wa upande wa Madame Nancy pamoja na kijana wao Paschal ambaye biashara zake aliziwekeza zaidi nchini Tanzania! Paschal aliondoka kwenda marekani Kwa ajiri ya kwenda kupumzika alienda pia kuangalia kama ataweza kupata eneo zuri Ili aweze kuihamishia campuni yake huko USA baba yake alimuomba ahamie nchini marekani Kwa kuwa hataki Tena kuendelea kumuacha huku Tanzania anahofia kumpoteza kama ilivyokuwa Kwa mama yake! nakumbuka Boss Paschal aliniahidi ya kwamba pale atakaporudi Tanzania basi atakuja kunichumbia rasmi na kunivisha Pete ya uchumba Ili tuweze kuweka wazi uhusiano wetu Kwa ndugu Jamaa na marafiki na Baada ya hapo tuweze kufunga ndoa! Na kwenda kuyaanza maisha mapya huko nchini marekani!

Hapana Aunt mtanisamehe lakini siwezi kuolewa na Hakim 😒😒 Pendo Kwa hiyo unataka kubishana na sisi wazazi wako!? Unataka laana yetu au kipi unachokitafuta!? Hutaki kuolewa unataka kuowa!? Tushapokea zawadi na mahali kutoka Kwa bwana harusi hapa kinachosubiliwa ni ndoa tu full stop! Aunt aliniambia hivyo Kisha akawa ametoka kule chumbani Kwangu huku akiwa anapiga vigeregere! Niliufunga ule mlango wa chumbani kwangu nikachukua simu Yangu nikamtafuta Boss Paschal! Kwa njia ya video call!
""Hell Boo 😒😒""
""Hello mine""
"" I miss you Boo ""
""Miss you more baby but nitacome kama siku tatu zijazo mbele''"
""It's ok darling tafadhari usichelewe! Ukichelewa hautonikuta Boo please nakuomba uje hata kesho""
""What is going on Pendo please baby stop crying and tell me the truth Kuna nini et!? Nini kimetokea!? πŸ₯ΊπŸ₯Ί""
""Boo I need you to be my husband I don't want anyone Nakuomba uje Mimi nakupenda wewe natamani wewe ndo uwe Mme wangu😒""
""Oh it's okay baby I know right and I love you I'll be your husband ok!? Please don't worry baby wangu usilie basi nitakuja Kwa ajiri Yako nakupenda zaidi mamaa nakuahidi nitakuoa na nikirudi Tanzania nitakuja kukuchumbia umesikia mamangu haya Naomba ufute machozi Yako kipenzi changu please baby stop crying you know how much I love you I love you baby I love you""
""Love you more baby I love you more boy I love you more and more πŸ˜”πŸ˜”""

Sikumwambia kama tayari Kuna watu wameshafika nyumbani kwetu kunichumbia Mimi alinibembeleza akanisihi ya kwamba baada ya siku mbili tatu atarudi Tanzania! Kabla cjamaliza kuongea na Paschal mama yangu alinigongea mlango! Pendo fungua mlango Binti Yangu! Hey darling see you later bye I love you bye 😒😒 nilikata simu Baada ya hapo nilijifuta machozi haraka then nilikwenda kumfungulia Mom aliniambia niende nikawapatie wageni chakulaπŸ™†πŸ™† nilitoka nikaambataa naye Hadi jikoni tayari walikuwa wameshapakua ilibakia kwenda kupanga mezani nilikibeba kile chakula Kwa heshima nikapeleka mezani nilikipanga vizuri sana kikakaa katika muonekano mzuri sana Hakim alishika simu yake akawa ananirecord vile nilivyokuwa nakiweka kile chakula katika staili nzuri inayovutia! Baada ya kumaliza kupanga chakula niliwakaribisha Kwa heshima sana walinawa baada ya Hapo Kila Mmoja alijisevia kipenda roho nikiwa naondoka pale sebleni Hakim aliniomba samahani Naomba unisevie chakula kwenye sahani yangu! Nilismile then taratibu Kwa umakini nikaanza kupakua chakula vizuri kutoka kwenye hotpot kukiweka kwenye sahani ya Hakim nilikiweka chakula vizuri baada ya Hapo nilimkaribisha nilifanya Kwa staha sana make nilijua pale kinachoendelea kutafutwa ni point kama kweli ni wife material au laaa! Baada ya kumkaribisha Hakim chakula wale wazee wote walisimile then walimpongeza baba yangu pale mbele yangu walimwambia hongera 🀝 unajua kulea baba yangu alifurahi sana na hata wale wazee walifurahi sana baada ya Hapo watu wote pale walianza kula! Baada ya Chakula nilikwenda kuondoa vyombo Kisha nikasafisha meza nilipomaliza wale wakwe waliniita walinipatia marundo ya pesa kama zawadi ya kuwa na adabu pamoja na tabia njema! Nilipokea Kisha nikawashukuru sana! Nilianza kuondoka kuelekea chumbani kwangu lakini Hakim aliniita nilirudi Hadi pale alipokuwa amekaa Hakim alitoa kibox Fulani hivi kizuri sana akawa amenikabidhi huku akiwa anasmile aliniomba niende nikaifungue zawadi yangu Alf baada ya Hapo nitarudi kuja kuwatoa Ili waweze kuondoka!

Thank you Thank you Hakim 🀝nilimshukuru Kisha nikaondoka kuelekea chumbani kwangu nilifika nikaviweka vile vitu kitandani baada ya Hapo niliichukua simu yangu nakuanza kuzitizama picha za boss wangu Paschal nampenda I love him much πŸ˜”πŸ˜” Yuko katika moyo siko tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi yake yeye nitafanyaje Mungu wangu mbona huu mtihani unakuwa mgumu kwangu boo I love you I Love you so much hisia zangu ziko kwako itakuwaje SasaπŸ˜’πŸ˜” niliongea Kwa sauti huku nikiwa naendelea kuzitizama picha zake! Mara mlango wa chumbani kwangu ulisukumwa aliingia shangazi alisogea pale nilipokuwa nimekaa aliniambia umeona Sasa nilichokwambia nimekwambia mwanangu hiyo familia ni Rich family unaona mipesa hiyo😍😍 cheki hiyo zawadi aliyokupatia mmeo mtarajiwa hebu ifungue tuone

Shangazi alinikabidhi kile kibox Cha zawadi aliyonipatia Hakim nikawa nimeifungua huko ndani nilikutana na saa nzuri sana shangazi aliichukua Ile saa akanivisha mkononi kwangu unatakiwa uivae mkononi kwako Ili akuone ukiwa umeivaa aliniambia aunt yangu Ile saa ilinipendeza sana haya twende ukawaage wageni tayari tarehe ya ndoa yenu imeshapangwa kilichobakia ni card tu kuandikwa na kuchapishwa! Imebidi tuipeleke Kwa haraka Kwa sababu mmeo mtarajiwa pamoja na familia yake watakuwa hapo Serena hotel wakisubilia Wewe na Hakim muweze kufunga ndoa Ili muondoke pamoja kuelekea South Africa Kesho nazani ni siku ambayo wewe na Hakim mtaenda hospital Kwa ajiri ya check up na baada ya vipimo card za harusi zitaandikwa na kuchapishwa then zitasambazwa Kwa watu wachache tu haitokuwa sherehe kubwa mwanangu sherehe kubwa mtaenda kuifanyia huko South Africa!

Shangazi yangu aliendelea kunipatia mipango yote iliyopangwa kwenye hicho kikao kati ya familia yangu na familia ya Hakim......

Tukutane hapo badae Katika sehemu inayofuata........

Itaendeleaaaa...........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 26πŸ’˜πŸ’˜


Baada ya kuwasalimia wale wageni pale sebleni nilitoka Mimi na Shangazi tukaelekea chumbani kwangu nilikuwa na mawazo Hadi kichwa kilishaanza kuniumaπŸ™†πŸ™† Aunt...... Shhhhhh🀫🀫 hapa hakuna Cha kushtukizwa Wala mdogo wake na kushtukizwa najua unachotaka kusema ni hikohikoπŸ˜’πŸ˜’ jiandae tu Kwa ajiri ya ndoa we si unaiona hiyo familia jinsi ilivyo ni watu wenye pesa hebu angalia sura ya huyo mwanaume anayeenda kukuoa Binti yangu ni bonge la bwana heheiyaaaa haloooo toto la kiiraq unaenda kutulia zako South Africa kama nakuona Binti yanguπŸ₯°πŸ₯° Aunt alizidi kuongea pale huku akiwa anapiga vigeregere Kwa shangwe na furaha kubwa sana lakini Kwa upande...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-no-26

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-no
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 32πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 30πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ NO 31πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 29πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ NO 27....28πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23

631
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25

496
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7

203
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8

141
SHAMIRA sehemu ya 38&39

SHAMIRA sehemu ya 38&39

115
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01

112
UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17

UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17

67
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11

62
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |

4

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.54K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.77K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.24K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.63K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.63K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.56K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.47K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 11
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Noela alipoondoka hakujua hata aende wapi. Alitembea polepole barabarani, machozi yakimtoka na wala hakujali. Aliumia kwa sababu alisalitiwa na watu wawili muhimu sana kwenye maisha yakeπŸ’”. Alikumbuka dalili alizowahi kuona kwamba...

SHAMIRA sehemu ya 38&39 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 38&39
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana sijafanywa hivyo akanmbia nini wewe umegawa namba kwa wanume zako wanatuma sms unajifanya kushaangaaa unanichukuliaje wewe. Kwanini unanidhalilisha shamira mpka najuta kuwa...

MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI | Post Mpya
MASWALI YA BILIONEA WA FALME ZA KIARABU, KHALAF AHMAD AL HABTOOR KWA RAIS WA MAREKANI |
@majario LIVE

1- Mheshimiwa nani alikupa ruhsa kuingiza Ukanda wetu katika vita dhidi ya Iran na kwa gharama gani uliwaza kuwa watu wa kwanza kuteseka ni nchi za Ukanda huu ambao ndio...

UTANIITA SHEMEJI.   SEHEMU YA 17 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI. SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO............... Mda ulienda jioni ilipofika akatoka kazin ,baada ya kufika nyumbani tu salamu ya kwanza aliingia chumbani na kufungua kioo na kutoka kwenye kibalaza kilicho pembezoni mwa chumba chake . Alifika...

AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01 Post Mpya
AMIRAH WANGU   Sehemu ya 01
@majario LIVE

Tunaanza... Asubuhi na mapema, Sheikh Abdullah alimuita binti yake, Amirah, ambaye alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu. Amirah alitoka chumbani kwake na kumfuata baba yake ili kumsikiliza....

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Madam hakuwa na maneno mengine ya kuongea zaidi alijiinamia kama mtu anaefikiri kitu, ili kuepuka kesi mtoto wa mama Mira mie nikaamka na mwanangu haoo mpaka chumbani kwetu na...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
@majario LIVE

Nikafunga gari ,kisha nikashika mkono akawa bado hayupo sawa kakasilika sana, ila niliona kidogo hasira yake imepungua pale ambapo ibra alipiga simu na kusikia maongezi ya ibraa, basi bwana...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
@majario LIVE

Nikasema mama.nisikilize, unasikia mke wangu, haipo kama unavyowaza wewe. ,mi yule.sio mwanamke wangu, yule.ni shemeji yangu, ni mwanamke wa ibraa, na tulikuwa tunakutana wote jioni hiiii, mi uyu demu nimekutana...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Hatimae ule mda wa kuwasili huyo mkaka wa kuitwa Anfrey ulifika walimpokea kwa furaha sana wazazi kama wazazi walimzawadia kijana wao gari ya milioni 80 Mimi nilikuwa kwa mbali natazama...

AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20* Post Mpya
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
@majario LIVE

Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu. Kwa...

KWAKO RUSHINE DE REUCK. Post Mpya
KWAKO RUSHINE DE REUCK.
@majario LIVE

Nikiwa kama mpenzi na shabiki mwanachama wa Simba niliyenyooka ninajikuta nina wajibu wa kusema ukweli pale panapohitajika ili kama kuna hatua za kuchukuliwa zichukuliwe mapema na mhusika kabla jambo...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi bwana rasmi tukaanza aya mahusiano bubu sasa, ambayo mimi binafsi sikuwa nimeyaafik kabisaaa, na wala sikuwa nayafurahia ata kidogo ,ila mchumba si kaamua basi powa, nikaona ngoja...

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania Post Mpya
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
@majario LIVE

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Tuma...

UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16* Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI.* *SEHEMU YA 16*
@majario LIVE

SONGA NAYO............. Zilipita dakika kadhaa nikatoka na kumfuata sebleni , akataka kuendeleza story zake nikamwambia aaah 🀚nioneshe kazi za kufanya kwanza ,kama ni maongezi baadae. Hakuwa na shida akaanza kunionesha mazingira yote...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
@officialgonga LIVE

SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." Niliweza kumsikia madam akiongea hivyo, kwakuwa mimi huyu mama namuona boya sikutaka kumjali nilimpita nikaelekea chumbani lakini nikiwa katika...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest