Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 2  alikuwa tu mkaka flan smart,ana sifa zote za mwanaume mzuri, handsome, mtanashati๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ’ƒnikajisemea
Gonga94 ยท Stories

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 2 alikuwa tu mkaka flan smart,ana sifa zote za mwanaume mzuri, handsome, mtanashati๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ’ƒnikajisemea

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
lakini mbona kanipita miaka nilivyomkadiria nikaona anafika 27_30๐Ÿ™„ kifup sikumpenda๐Ÿค”

akaanza tusalimia akamkumbatia mama ake๐Ÿค” akaja akampa mkono mzee jabir wakasalimia mara Mzee jabir amlaumu haji kumsalimia Kijijini akajibu majukumu meng amsamehe bure,

akaja nipa mkono mimi mambo? poa mama mkwe akadakia ndo mkeo huyo ooh nashukuru kumfahamu karibu sana asante waitwa nani zawadi ok mimi naitwa amani nashukuru kukufahamu pia ok,

akaondoka zake chumbani ๐Ÿค”nawaza ndo nimfate au๐Ÿ˜‚๐Ÿค” nkatulia tu kidogo ma mkwe akasema eti niende khaaa ma mkwe nae๐Ÿฅบ๐Ÿ™„ nikaenda mdogo mdogo nikaingia kwa woga ๐Ÿค” nikakuta katoka kuoga yupo kifua wazi na kipens chake anachezea zake simu,

nikakaa zangu kitandani yeye kwenye sofa hana muda na mimi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿค” akalala kabisa wee nikatoka๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ nikaenda kukaa na wifi zuu chumbani kwake,

mchana akaamka bas wifi zuu akasema tukale akatuandalia chakula uko uko chumbani tukawa tunakula basi mimi nkawa na aibu ๐Ÿ˜ yeye yuko bize anakula uku anachat, mbona hauli akaniuliza nakula ๐Ÿ™ˆ unakula polepole kwanini?

nikajibaraguza nakula๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ usiku ukafika nikawa nawaza leo ntajuta๐Ÿฅบ sa aman alikuwa ameenda nje, nikajikuta nalia wazaz wamenkomesha๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ akaingia mbona unalia?๐Ÿค” ha_hamn_a hamna wakati unalia niambie una tatizo gani? bhana ee kwani kusema bei gani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nikamwambia nalia wazaz wangu wamenilazimisha kuolewa kwanza akacheka๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ afu akanambia kwahiyo hukutaka kuolewa? ndio๐Ÿ˜’ ooh pole sana,kwahy unatakaje? hapo ndo ikawa kipengele๐Ÿฅฒ okay sikia usilie mbona ni jambo dogo hilo,weee si hautaki mume? usijali kuhusu hilo wewe kaa tu Kwa amani hapa ukijisikia umechoka au unataka kuondoka niambie nakupa talaka bas so etiii eeeh?

mmmmh nikawaza mbona kirahis๐Ÿ˜ณ yaani akaniacha nilale kitandani yeye akalala kwenye sofa ๐Ÿฅณ nikasema au ana matatizo huyu kaka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nkalala mpaka asubuhi hakunifanya chochote๐Ÿ˜ณakaamka zake mimi nilikuja shtuka ndo ananiamsha kuniaga anaondoka kazini pia anampitisha anko wake stand arud kijijini๐Ÿฅณ

tukaagana nikamtakia kazi njema,muda kidogo nikaamka na mimi kuoga wifi zuu akaja nisalimia alikuwa ananipenda sana wifi angu, baada ya kumaliza kazi tukawa tumekaa sitting room tunapiga story,mama mkwe akasema anaondoka kwenye mishe zake mjini tukabaki watatu,mimi wifi na dada wa kazi

jioni amani akarudi kazini nikampokea ๐Ÿ˜Š tukaingia chumbani ,akawa ananiuliza umeshindaje mke wangu salama tu za kazi nzuri kabisa pole na uchovu wa kazi usijali ndo ukubwa,

afu jana nilikwambia usiwe mnyonge kama kuna kitu unataka unaniambia yaan usiwe na huzuni mama ajue sawa ila sikumuelewa mwenzenu Ina maana kwa watu tu_act wanandoa lakini chumbani ni kama kaka na dada,sa nawaza na yeye alilazimishwa kuoa au๐Ÿ˜ณ

akasema ataniita roommate nikamuuliza kwanini akasema sababu tunalala chumba kimoja๐Ÿ˜‚hata hiyo siku ya pili pia hakunigusa nyieee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

asubuhi nikawa mimi nimewahi kuamka nikatoka nikakuta wifi zuu anadeki wifi unaenda wapi asubuh yote hii nakuja kusaidia kazi mmmh wewe ni bibi harusi bhana utafanya siku zijazo jamani kwa kazi gani hizo nishindwe kufanya wifi aaah..

! hamna bhana ngoja wik iishe ,basi aman akatoka nikambebea bag lake nimsindikize kwenye gari aondoke, mama mkwe akatoka tukasalimiana mama mkwe akasema mkeo hana nguo weekend ufanye mpango ukamnunulie sisi tulimnunulia chache tu akachague mwenyewe sawa hamna shida tutaenda hiyo weekend, si ndio mke wangu ndio wakaondoka

basi week nzima hatukufanya chochote ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃlakini tukiwa sitting room na watu ni mashamsham na kupretend kumbe ndani wala hatugusani๐Ÿ˜‚ sijui aman ana shida gani jamani analala zake kwenye sofa, asubuhi ananiamsha roommate mimi naenda kazini ubaki salama ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

ebu ngojeni nirudi kwanza

HAKIKISHA UKIMALIZA KUSOMA UNASHEA ILI USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Maoni

You're not logged in

Tangazo - SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI โ€“ Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 2 alikuwa tu mkaka flan smart,ana sifa zote za mwanaume mzuri, handsome, mtanashati๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ’ƒnikajisemea

lakini mbona kanipita miaka nilivyomkadiria nikaona anafika 27_30๐Ÿ™„ kifup sikumpenda๐Ÿค”

akaanza tusalimia akamkumbatia mama ake๐Ÿค” akaja akampa mkono mzee jabir wakasalimia mara Mzee jabir amlaumu haji kumsalimia Kijijini akajibu majukumu meng amsamehe bure,

akaja nipa mkono mimi mambo? poa mama mkwe akadakia ndo mkeo huyo ooh nashukuru kumfahamu karibu sana asante waitwa nani zawadi ok mimi naitwa amani nashukuru kukufahamu pia ok,

akaondoka zake chumbani ๐Ÿค”nawaza ndo nimfate au๐Ÿ˜‚๐Ÿค” nkatulia tu kidogo ma mkwe akasema eti niende khaaa ma mkwe nae๐Ÿฅบ๐Ÿ™„ nikaenda mdogo mdogo nikaingia kwa woga ๐Ÿค” nikakuta katoka kuoga yupo kifua wazi na kipens chake anachezea zake simu,

nikakaa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chumbani-kwetu-2-alikuwa-tu-mkaka-flan-smart-ana-sifa-zote-za-mwanaume-mzuri-handsome-mtanashati-nik

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chumbani-kwetu
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 5  nikashtuka๐Ÿ˜ณnimeumbuka cheee....!!!๐Ÿ™„ abeee zima hiyo taa inaniumiza macho nikasema uyu mjinga
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 5 nikashtuka๐Ÿ˜ณnimeumbuka cheee....!!!๐Ÿ™„ abeee zima hiyo taa inaniumiza macho nikasema uyu mjinga
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 3  basi weekend ikafika,baada ya kunywa chai tukaondoka amani akawaambia wasituhesabu chakula cha mchana tutakula huko huko
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 3 basi weekend ikafika,baada ya kunywa chai tukaondoka amani akawaambia wasituhesabu chakula cha mchana tutakula huko huko
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 4   basi watu wanaanza kumuonea wivu betty๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 4 basi watu wanaanza kumuonea wivu betty๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ila nyie jamani nilimpa sababu alikuwa zaidi ya rafiki kwangu kanisaidia mengi,
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š9  basi nikamwambia mume wangu akasema twende hospital nikafanyiwa uchunguzi
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š9 basi nikamwambia mume wangu akasema twende hospital nikafanyiwa uchunguzi
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š6  nilijuta kabisa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ alivyomaliza akawa ananipa pole,sa mimi pole inanisaidia nini jamani ,akaenda
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š6 nilijuta kabisa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ alivyomaliza akawa ananipa pole,sa mimi pole inanisaidia nini jamani ,akaenda
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 8  Mimi naogopa๐Ÿฅบno usiogope hakuna kibaya kitakukuta mmh wakati umesema mauzauza sijui hamna bhana usijali mke wangu, umesikia
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 8 Mimi naogopa๐Ÿฅบno usiogope hakuna kibaya kitakukuta mmh wakati umesema mauzauza sijui hamna bhana usijali mke wangu, umesikia
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 7  oyaah jafe eeeeeeh...!๐Ÿ—ฃ๐Ÿ’ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ chakulalia hichi hapa mpumzishe makomwe na marumumeti wenu adi kesho๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 7 oyaah jafe eeeeeeh...!๐Ÿ—ฃ๐Ÿ’ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ chakulalia hichi hapa mpumzishe makomwe na marumumeti wenu adi kesho๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 1  naitwa zawadi,story
CHUMBANI KWETU ๐Ÿ’š 1 naitwa zawadi,story
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

1.1K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

906
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

648
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

165
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

124
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

103
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

7

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.69K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.43K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.85K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.69K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.64K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest