CHUMBANI KWETU ๐9 basi nikamwambia mume wangu akasema twende hospital nikafanyiwa uchunguzi
๐ nikawa na waswas sana mimba yangu itaharibika hapana hamna tatizo mke wangu tukarud nyumbani tuone kama itaendelea โ๐ป ikapita wiki bleeding haikati๐ซ๐ค
mpaka siku kumi na mbili๐ญ๐ญ๐ญbado tu siku hiyo betty akaja aliomba ruhusa akaja nitembelea tukashinda wote bado akawa ananitia moyo maana mimi nilishaanza kuwa na waswas akanambia usiogope rafiki angu huu ujauzito hautoharibika utazaa salama kabisa na hiyo bleeding itakata akanishika na tumbo akaniombea nkamshukuru kwel kidogo nikapata moyo bas akaaga nikamwambia ngoja nikaoge tukusindikize mimi na wifi maana ilikua jion wif anantembezaga kufanya mazoezi๐
nikaoga zangu nikabadili pad tukatoka tukamsindikiza betty akarudi kwake mimi na wif tukatembea tembea then tukarud nyumbani ,sasa nkawa kujikagua bleeding nikakuta imekata๐ณ nkampigia betty wee betty eti ulivyoniombea pale nmekuta bleeding imekata pad haijachafuka masaa matatu sahivi๐ณ kweli? ndiwo dah..!
ni jambo la kushukuru sana๐ kwa hili betty sikati tamaa kumbe maombi yanajibiwa eeh? kabisa mimi nashangaa tu wewee mwenyewe waogopa๐
kuanzia leo siogopi chochote wallah vile ata kitokee kitisho gani๐๐ kuanzia apo bleeding haikurudi tena mimba ikafika miezi tisa,siku hiyo nikakaa na wifi nikamuuliza mbona sijawah muona Shem wangu wifi unanbania๐น๐น
aiii jaman yupo Shem wako ila bado tu hujapata nafas ya kumwona ndo unanibania sasa sio vizuri hvyo wif angu hahah ntakutambulisha........
bas maana mpaka umemuuliza sio mchezo kabisa usijali ila mimi nilitaka nmtambulishe akikaribia taratibu za kunioa kwahyo hata hawa watu wa nyumbani hawamjui ndio hawamjui ila wewe nitakutambulisha wif angu umjue ntafrah sana ...
usijali ila leo mwenzio kiuno na mgongo vinauma itakua unakaribia kujifungua hauna siku nyingi uchungu utakuja weee wif tunaanza kutishana jaman sikutishi ila nasikiaga hivyo sasa unaogopa nini jamani๐น๐น๐น acha tu naogopa hatar ndo ukubwa huo mama yaan nawaza mno ๐ฟ usiogope mamy
sasa usiku sindo uchungu ukaanza๐ฟnyieee kumbe unauma hivyo๐พnikakimbizwa hospital kufika tukapokelewa vizuri ila ghafla uchungu ukakata๐ฅบ mume wangu akaomba likizo ya siku tatu lakini zilipita zote sijajifungua bado๐ญnilikasirika mimi yaani uchungu unauma unakata๐
nikabaki kulala na wifi zuu mume wangu tukamwambia awe anarudi kulala nyumbani tu ,
.
betty akanambia tumefika fainali lazima tushinde shoga angu ๐คธ๐ปโโ๏ธ nkamwambia inashindikana kujifungua naona ntafanyiwa operation๐ญ๐ญ
hapana utajifungua kawaida tu kesho narudi dar nije nikuone shogangu maana alikuwa ameenda kijijini kwetu kumtambulisha mchumba ake,basi kesho yake wakaja na mama angu mzazi kwakuwa walifika usiku wakasema tutakuja asubuhi kukuona,
asubuhi kweli wakaja na mume wangu pia akapitia pale hospital kuniona afu akaenda kazini ,
basi wifi zuu akasema ngoja mimi nirudi nyumban mara moja maana hapo hakurud nyumban hyo ilikuwa siku ya sita alikuwa na mimi tu hospital ,
nkamwambia sawa kwakuwa mama na betty wapo hamna shida akaondoka, basi bhana uchungu ukanishika tena ๐ญ๐ญ๐ญnkasema najua tu sijifungui wiki nzima hivi hivi nateseka usiseme hivyo bas rafiki angu mimi naamini leo utajifungua tu usipoteze matumaini mama pia akasema utajifungua mwanangu tena salama tunakuombea sana๐ uchungu ukachachamaa nyie nyieee๐ญ
betty na mama wakasema tunakuombea utajifungua ,basi nikaingizwa labour sasa kila nikipush zinatoka tu damu mtoto kagoma๐ฅบ yaani nilipush mpaka nahisi nakufa leo mara wakawa wanasema amekunywa midawa ya kienyeji nini huyu๐
nikasema hapa nina hati hati ya kufa mimi au mtoto๐ญ๐ญ๐ญ wakasema nikimbizwe theater kufanyiwa operation wakakamilisha taratibu nfanyiwe operation mume wangu na mama mkwe walikuwa wamefika,
basi wakawa wananipeleka theater kufanyiwa operation yaan nimefika mlango wa theater sijui nguvu za kupush yaan nilijifungulia mlangoni na hapo hapo nikapoteza fahamu๐ฅบ
nkaja kushtuka saa mbili usiku nikakuta nipo na mama,mama mkwe na betty wakanipa pole na hongera nimejifungua mtoto wa kike......!
Full story ipo whatsapp leo natoa ofa lipia tsh 2000 kwa airtel money 0782781603 RAHEL BOO kisha ncheki whatsapp kwa namba hiyohiyo
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi


Maoni