Ingia

Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

CHUMBANI KWETU πŸ’š 1 naitwa zawadi,story

18th Sep, 2025 Views 15

yangu inaanzia wakati nina miaka kumi na saba, siku moja wazazi wangu walinambia kuwa naolewa siku chache zijazoπŸ₯Ί

nijiandae dah sikuwa tayari kuolewa wakati huo lakini wazazi wakaniforce sikua na namnaπŸ˜”afu kibaya mtu mwenyewe anaenioa simjuiπŸ™„

zaidi tu kuna mzee anaitwa mzee jabir ndo alikuja kusema Kuna mtoto wa dada ake ndo anataka mke na yeye kaniona mimiπŸ₯Ίbasi mimi nilikua sitaki lakini wazazi wangu hawakutaka kunielewaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

nikamuomba rafiki angu ushauri anaitwa bety akanambia nisikatae bahati kama nikienda uko nsipomridhia mume nifanye visa mpaka niachweπŸ’ƒ nikasema asante kipenzi 😘 ushauri mzuri sana

basi nikafungishwa ndoa,siku ya ndoa yenyewe mume hakujaπŸ€ͺ🧐 nikaolewa na mtoto wa mzee jabir kwa niaba ya uyo mume,asubuhi ya siku iliyofuata tukaondoka Mimi,mzee jabir na mama wa mume alikuja Kijijini kufata mke wa mwanae(mimi)

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ basi wenyewe wakakaa mbele,mimi nikakaa siti ya nyuma nina mawazo hatari😭 nikapitiwa na usingizi sangapi nisiote tumefika nimekuta mume mwenyewe ni mzee😏 nilishtuka nikapiga keleleπŸ™„mamaaaaah....!!

mama mkwe akasimamisha gari kwanzaπŸ€”una nini zawadi? wakaanza niuliza ikabidi niseme nimeota wakanipa pole, safari ikaendelea tukafika mjini usiku tukapokelewa na mdada nikaambiwa ni binamu wa mume wangu, anaitwa zuhura akanambia nimuite wifi zuu basi akanipeleka nikaoge nikamfata,

kwanza alikua mcheshi hadi rahaπŸ₯° akanipeleka chumba kimoja akanipa kanga akanambia niingie kuoga ,bafu lilikuwa ndani umo umo, nikaingia nikaoga nilivyotoka akanipa gauni maana niliambiwa nyumbani nisichukue nguo nitanunuliwa huko hukoπŸ˜‰πŸ₯°

akanambia twende ukale sasa,akawa ananihudumia si mwajua bibi harusi tenaπŸ™ƒβ€ basi mama mkwe akanambia kuwa bahati mbaya mume wangu amepata dharura ameenda Zanzibar ila kesho asubuhi anarudi,

nikajisemea mngejua ata sina shida nae mbwa huyo😏 nikaambiwa nikalale mule chumbani peke anguπŸ™„kwanza nilikuwa naogopaje...!!

πŸ™„ bonge la chumba uwiiiiih....!πŸ™‚nikakaa nawaza hivi huyo mume atakuaje kuajeπŸ™„ usingizi ukanipitia πŸ˜”πŸ™Œ

asubuhi wifi zuu akaja niamsha amka wifi ukaoge unywe chai za asubuhi wifi salama umeamkaje salama pole na uchovu wa safari nishapoa,

basi nikaamka nkaoga nikaenda sitting room nikawakuta mama mkwe na mzee jabir nikawasalimia tukawa tunakunywa chai,kidogo house gal akawa ameingia na bag ametoka nalo nje ,

mama mkwe akasema eeeh huyu ashafika,akanigeukia mimi mumeo asharudi sasa dada katoka mpokea,kidogo tunasikia anakuja anaongea na simu uwiiii uwiiiiih..!

si kwa m_bass uleπŸ™„ nikaanza hisi moyo unaenda mbioπŸ₯Ί dah....!!!! sijui ntakutana na nini nimeolewa mtu simjui😭😭😭

ENJOOOOOOY GOOD STORY.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHUMBANI KWETU πŸ’š 1 naitwa zawadi,story   >>> https://gonga94.com/semajambo/chumbani-kwetu-1-naitwa-zawadi-story

#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Maoni

You're not logged in
Click here to login and comments
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
gonga94 official track
ZETU
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Tangazo - Mc Shabby Tatizo Moyo
Mc Shabby Tatizo Moyo
Mc Shabby Tatizo Moyo

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest